Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Amezoea vya Kunyonga, vya kuchinja haviwezi......

Amezoea vya HARAMU, vya HALALI haviwezi........

Chezea Tundu Lissu. Siku hiyohiyo, hati ya Muungano ikapatikana.

..Mwakyembe alidai kwamba kuna watu wamepanga kumuua? tena watu hao wamekodisha magaidi wa al-shabab.

..baada ya hapo Mwakyembe akaja na madai kwamba amekuwa poisoned na wabaya wake ktk siasa.

..tena ilifikia Mwakyembe, Samuel Sitta, na Ana Kilango Malecela, kwenda mpaka makanisani na kutoa ushuhuda kwamba Mwakyembe amewekewa sumu.

..mimi naweza kusema kwamba Mwakyembe ana tabia za kitapeli-tapeli.

cc Sikonge
 
Yani sijakuelewa kabisa, hujatoa hoja ambayo Mwakyembe amemshushua Lisu naona ni lawama zolizojaa hofu tu, TUNDU LISU MMOJA NI SAWA NA JESHI LA WATU 1,000,000/= LAZIMA UKUBALI NA KAMA KAKOSEA MPELEKENI MAHAKAMANI SIO MNAPIGE KELELE WEEE.

MALA NYINGI UKWELI UNAUMA SANA NA LAZIMA UKWELI USEMWE WAZI KABISA ILI WATANZANIA WAJUE WACHAGUE NINI MBIVU AU MBICHI NA ISITOSHE WATANZANIA WA LEO SIO WA MIAKA 50 ILIYOPITA KAKA. POLE SANA.
 
Lissu nimiongoni mwa wanasheria nguli kazi kwenu nani asie jua kama Mwakyembe ni mnafiki yeye na six wote wametusaliti kwenye Richmond naomba Mwakyembe na six mtwambie ile mitambo ya Richmond sasa imekua halali coz kaja Obama hapo kwenye mitambo?
 
Kweli maneno ya kiCCM yanachekesha... "Kushushua"... haya maneno mi nayasikiaga kwenye taarabu tu...
 
lissu nimiongoni mwa wanasheria nguli kazi kwenu nani asie jua kama mwakyembe ni mnafiki yeye na six wote wametusaliti kwenye richmond naomba mwakyembe na six mtwambie ile mitambo ya richmond sasa imekua halali coz kaja obama hapo kwenye mitambo?

mwakyembe hajitambui wala hajielewi
 
Back
Top Bottom