CHAMVIGA
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 7,687
- 2,240
Na kabla ya Tundulisu kuvuliwa degree yake iff possible wan ndio wajivue za kwao na udr, uprofesser wao kwa kumu award incompetent student degree na pia kumfundisha vibaya mpaka kufikia hatua ya kudanganya Taifa. Hili sio tatizo la Tundulisu ila la walimu wa Tundulisu.