Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Sielewi nini kimemkumba Mwakyembe mpaka akawa anafuka moshi vibaya sana leo.

Cha kushangaza zaidi wako kwenye Bunge Maalumu la Katiba!! Sina uhakika kama wanajua wanajadili nini, "mwakyembe amuumbua Lissu?!?!?" bure kabisa
 
Wana jf hapa hawawezi kuchangia wanapenda mambo ya uongo uongo mwakyembe kafafanua vzur kwel mnajfanya mmekufa

Kwani kwenye hiyo thesis yake ya udaktari wa falsafa aliongelea serikali tatu? Au kasahau? Hoja ya mwakyembe ni nini hapa?!
 
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!

Una hoja yoyote!?
 
Watu Jf wanafikiri kwa kutumia mataaaaakoo,mkiambiwa ukweli mnaanza tukana,je kuna yyte kati yenu amewahi kukisoma kitabu ya Dr mwakyembe alchokisoma Tl? Au ubsh n ushabik wa kitoto tuuu ifike mahala maji yabaki chin na mafuta yapande juuu mpka mtu makini kusema TL ni MJINGA anaamaanisha.
Ova
Kiboko


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Muumba ashukuriwe, Matumbo ya Wanawake yanazaa kwa kweli.........

269127_10151046287402327_2117747918_n.jpg

Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!
 
Bangi inawasaidia wadanganye na kukana maneno maneno yao wenyewe.....


Cha kushangaza zaidi wako kwenye Bunge Maalumu la Katiba!! Sina uhakika kama wanajua wanajadili nini, "mwakyembe amuumbua Lissu?!?!?" bure kabisa
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Mwakyembe nae msaka tonge, sasa nani wa kunyang'anywa degree? maana Mwakyembe mwenyewe ndo aliandika kitabu na sasa hiv anakikana
 
all in all mwisho wa siku sie tunataka katiba mpya,,,,tusipoipata patachimbika
 
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo.

1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza kumzidi. Ukisikiliza namna alivyochangia utagundua kuwa Tundu Lissu alisoma vijarida tu vya sheria pale Mlimani badala ya kusoma vitabu vya sheria.
Namnukuu dr mwakyembe akihoji kitabu chake kutumiwa vibaya na tundu lissu "Mh mwenyekiti huwezi ukakisoma kitabu hiki kwa haraka haraka ukakielewa kama unavyosoma gazeti la Tanzania Daima"

2. Tundu lisu anaweza kunyanganywa degree yake wakati wowote. Akichangia leo amewataka waalimu waliomfundisha Tundu lisu kuanza kufikiria namna ya kumnyanganya tundu lisu degree yake hii ya mlimani kwani anakitia chuo hiki AIBU.

3.Maalimu Seifu hata siku moja hawezi akadai serikali tatu na ndio maana hakubaliani na wana UKAWA kuhusu serikali tatu ila yeye kasimamia kwenye hoja ya serikali ya mkataba sababu ni hii:- Akichangia leo dr mwakyembe alinukuu baadhi ya maneno ya maalimu seifu aliyowahi kuyasema na nukuu "Mh mwenyekiti unapokuwa kiongozi unatakiwa usimamie maneno yako naoma nimnukuu mh maalimu sefu maneno yake aliyokwisha kuyatoa bungeni kwamba nanukuu hatuwezi kuuvunja muungano wa tanganyika na zanzibar kwani kufanya hivyo umewarahisishia wale tuliowafukuza njia ya kurudi. Adui yao mkubwa na kikwazo kikubwa cha wao kutorudi ni muungano huu" . Katika hoja yake maalimu seifu alitahadharisha pia kuwa si kwamba muungano hauna dosari ila ni vizuri kuzitatua dosari hizo kuliko kuuvunja muungano.

4. Tundu Lisu ni MJINGA kabisa na anatakiwa arudi darasani kujifunza tena upya na ikiwezekana abadilishe fani kabisa SHERIA imemkataa.Katika uchangiaji wake dr mwakyembe alihoji kuwa hata mwananchuo wa mwaka wa kwanza anajua kuwa kama umedumu na muungano huu kwa miaka 50 na hujauhoji leo huwezi kuhoji sain au makataba wake kwani kwa muda ambao umedumu nao ni kwamba umeshaubariki kuna neno la kisheria alilitumia hapa.

5. Kuna hatari ya maproffesor na ma dk kukataa Tundu lisu asiwa wanukuu maandiko yao kutokana na kuyapotosha nafikiri hili linaruhusiwa. Atabaki kunukuu vitabu vya shigongo vya mapenzi na vya nyambari nyangwine.

Mwakyembe ni mnafiki mkubwa na mwenye uchu wa madaraka. Huyu ndiye alitumwa kuchunguza Richmond alipotoa taarifa akaficha baadhi ya mambo eti kwa kisingizio cha kuepusha kuanguka serikali yote na kisha kuamua kumbebesha mzigo wote Lowassa. Haifai kabisa huyu amejaa tamaa na kujiona yeye ndiye mjuaji kabisa. Huyu ni msomi ambaye hajaelemika katumwa akatafute ukweli baada ya kuupata kauficha na kuleta ukweli nusu ambao huwa ni nusu ya uongo. Mnafiki mwenzake mwingine ni Samweli Sitta aliyeimaliza hoja ya Richmond kihuni wakati huo akiwa spika na baada ya hapo naye akajifanya ni msafi anapinga ufisadi. SHAME ON THEM!
 
kweli Tundu Lissu ni kiboko ya 'intaharamwe' yaani amewashika vibaya mpaka wanakaribia kuweka mapanga chini.
 
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!
Tokea umetimiliwa umod hata kuandika hujui umepagawa anzisha blog yako
 
Mwakyembe ni mroho wa madaraka, issue ya Richmond aliitoa 65%. Kaliingiza Taifa katika hasara kubwa kwa uchu wa madaraka. Mwakyembe, Migiro ni hasara na fedhea kwa UDSM
 
kama seif hamad alisema kiongozi unatakiwa usimamie maneno yako,je,mwakyembe amesimamia yale aliyoya andika ktk kitabu chake kilichonukuliwa na lissu?,na kama lissu hakusema ukweli je mwakyembe amekanusha kuwa hajaandika kilichosemwa!,kama kunyang'anywa digrii waanze na yeye anayekana maandishi yake.kuhusu eti mwalimu hakufundishi kila kitu kwa kuwa utamzidi huo ni upuuzi na ndio maana hili taifa linakuwa masikini kila uchao sababu ya ubinafsi.du!,kumbe udsm wanatoa digrii za vijarida!,aibu kwa wasomi wa nji hii.
 
Sielewi nini kimemkumba Mwakyembe mpaka akawa anafuka moshi vibaya sana leo.

dogo alimgusa kunako nyeti,hao ndio madaktari wetu,badala ya kujadili msimamo wa chama chao na kujenga hoja yeye anamjadili mtu,tena ambaye hayupo mjengoni.dokta ameteleza ki ukweli
 
Back
Top Bottom