fakenology
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 1,002
- 673
Kama mwakyembe na lissu wangekuwa memory card uwezo wao ungesomeka hivi :-
Mwakyembe 1GB.
Tindu Lisu 4GB.
Mwakyembe 1GB.
Tindu Lisu 4GB.
Nimemshangaa kwa kukana vitabu vyake yeye mwenyewe anatakiwa ajitafakal upya na akachome maandish yake.Mimi nilidhani angeelezea abstract ya kazi yake pale alipokuwa anamjibu mh. Lissu kuwa alitoa conclusion kwa kusoma mstari, badala yake na yeye kaishia katusomea mstari tu kwenye hiyokazi yake na kuanza kumchafua Maalimu Seif ili ajisafishe yeye. Sijui kwanini hawa wasomi wetu wanapenda kutumia taaluma zao kisiasa, badala ya kutoa ufumbuzi wa changamoto mbalimbali tulizonazo kulingana na fani zao walizobobea.
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo.
1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza kumzidi. Ukisikiliza namna alivyochangia utagundua kuwa Tundu Lissu alisoma vijarida tu vya sheria pale Mlimani badala ya kusoma vitabu vya sheria.
Namnukuu dr mwakyembe akihoji kitabu chake kutumiwa vibaya na tundu lissu "Mh mwenyekiti huwezi ukakisoma kitabu hiki kwa haraka haraka ukakielewa kama unavyosoma gazeti la Tanzania Daima"
2. Tundu lisu anaweza kunyanganywa degree yake wakati wowote. Akichangia leo amewataka waalimu waliomfundisha Tundu lisu kuanza kufikiria namna ya kumnyanganya tundu lisu degree yake hii ya mlimani kwani anakitia chuo hiki AIBU.
kama jina lako, inaonekana bado elimu yako ndogo, rudi class ili urepresent vizuri!
Buchanan ni kweli huyu Tundu Lissu anaweza kuukana utanzania hata akaishi Uingereza, ukisoma sana ni rahisi kuwa msaliti.
Mkuu hata mimi wa Tanganyika, lakini kwa kijana aliyesoma kutoka uswekeni kuanza kumkashifu Mwalimu kama alivyofanya huyo Tundu, haimpi hedsima wala sifa ya usomi.
Ninavyojua pengine asingekuwa Mwalimu kwa anakotoka huyo Tundu angekuwa anafuga au kuwinda miaka hii.Elimu inafundisha staha na udtaarabu na si uongo , uzandiki,uchonganishi na kwa ujumla anti social behaviour ya huyo Tundu.
Mh. Dr. Hata J. F. Kennedy aliwahi kusema "You can fool one man for the rest of his life but not the whole World in a single day" Today the day has come where one has revealed the fooling which existed. You care the paper and records on his success full completion of Llb but material in his head is his and wel wishers
Mbona ni rahisi sana? Wanawake wanazaa kila aina ya vituko duniani. Sasa wewe unaandika ukiwa shuleni unafanya PhD kuwa unataka serikali tatu na inavyokuja kwenye practical unaruka juu kama Sergej Bubka wa Ukraine, wapi na wapi?
Ndiyo maana nikasifu Mama yake Mwakyembe kwa kutuzalia Harrison mwenye akili za darasani nyingi sana, uwezo mkubwa sana ila inapokuja kwenye kuonyesha uwezo wake, anakabidhi akili zake kwa Nape Nnauye. Yaani yeye na Lusinde (Mzee wa Kudadadeki) wanakuwa sawasawa.
Kuna wimbo wa Will I AM anaimba "I got it from my Mamma."
Ni kweli ukisoma sana hukawii kuwa msaliti kama akina Prof Tibaijuka,na Mwakyembe ambaye anawasaliti watanganyika hata maandiko yake mwenyewe ameyasaliti...
Ama kweli Tanzania nchi ya ajabu kwelikweli. Msomi wa Tanzania akiingia siasa basi huyo ni kama amekufa. Mnamsikia MZEE WA UKURUTU akiinajisi taaluma? Ovyo kabisa, na bila shaka ile sumu ilimuathiri sana maanailishambulia ngozi na kichwa. Du! Ningejua nisingesoma, najuta Baba na Mama kunipeleka shule kujua ujinga wa wale wajiitao wasomi.Njaa mbaya sana duu...ivi si huyu na dr. Mlimuka walisemaga Rais wa zanzibar ni kama makamba???
Mkuu hata mimi wa Tanganyika, lakini kwa kijana aliyesoma kutoka uswekeni kuanza kumkashifu Mwalimu kama alivyofanya huyo Tundu, haimpi hedsima wala sifa ya usomi.
Ninavyojua pengine asingekuwa Mwalimu kwa anakotoka huyo Tundu angekuwa anafuga au kuwinda miaka hii.Elimu inafundisha staha na udtaarabu na si uongo , uzandiki,uchonganishi na kwa ujumla anti social behaviour ya huyo Tundu.
tundu lissu haumbuliki wala hafedheheki ! Na mwakyembe akitaka kujidhalilisha zaidi basi aendelee kumshambulia lissu .
tundu likitu, ni kichaa.