kama seif hamad alisema kiongozi unatakiwa usimamie maneno yako,je,mwakyembe amesimamia yale aliyoya andika ktk kitabu chake kilichonukuliwa na lissu?,na kama lissu hakusema ukweli je mwakyembe amekanusha kuwa hajaandika kilichosemwa!,kama kunyang'anywa digrii waanze na yeye anayekana maandishi yake.kuhusu eti mwalimu hakufundishi kila kitu kwa kuwa utamzidi huo ni upuuzi na ndio maana hili taifa linakuwa masikini kila uchao sababu ya ubinafsi.du!,kumbe udsm wanatoa digrii za vijarida!,aibu kwa wasomi wa nji hii.