Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Mwakyembe amshushua Tundu Lissu...

Intarahamwe wote lao ni moja, wana kampeni ya kueneza chuki dhidi ya wapinzani kwa wananchi baada ya kuambiwa ukweli.
Hayo madigree ya Shivji yanahusiana nini na ukweli alioutoa Lisu?
Shivji pamoja na madegree yake amaprove failure baada ya kuwa kigeugeu.
BTW kwanini wanawaomba UKAWA warudi bungeni?
 
Jana nilimdharau Mwakyembe alivyokuwa anajivuna na kuwaponda wenzake huku akishindwa kupinga hoja za wapinzani wake lakini ''Miafrika ndivyo tulivyo'' Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la Mwakyembe huwa ni majivuno...hafai ajifunze kutoka kwa kina Shivji.Alijidhalilisha sana..maana nilishakaa mkao wa kula nikidhani angepakua hoja..akaishia majivuno na majigambo tuuuuuu...Kumbe ni walewale
 
yaan mm huwa napata ukakas kila mtu akisimama anasema lake. dawa naona ni huyo tundu lissu akutanishwe na mwakyembe tuone nan msema kwel
Mimi huwa ninapata taabu sana nikiona mtu mwenye hadhi na elimu kama ya Mwakyembe kujiingiza katika mipasho,
Lissu yeye alinukuu tu kitabu, akataja ukurasa, akasoma kilichoandikwa kwenye ukurasa huo, Lakini Mwenye kitabu ameshindwa kufafanua alimaanisha nini na badala yake ameanza kushambulia watu badala ya hoja, eti Tundu Lissu mjinga, Hii ni aibu.
 
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!

Mungu mkubwa si mod tena ww
 
Haki ya nani Mh Mwakyembe ni jabali kalichambua lile lihuni lenye laana za wazazi wake kama karanga,wallah mi cpendi wanasiasa vichaa kama jitundu ni jitu la ovyo lisilofaa kuishi ktk jamii hakika Mwakyembe kalinyongelea mbali
 
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!

Samahani naomba kuuliza tu kwani ni uongo baba Wa Taifa hakuhojiwa na the citizen akajibu kama alivyosema kuhusu Zanzibar?na baadae akamfanyia abdu jumbe kama tunavyojua?
Kama ni kweli uongo na upotoshaji Wa tundulissu upo wapi?
 
angekuwa yupo chama pinzani ningeshaa jinsi alivyo na itikadi zake
lkn kwa kuwa ni m2 wa ccm hiyo ni kawaida yao.
 
Cha kushangaza zaidi wako kwenye Bunge Maalumu la Katiba!! Sina uhakika kama wanajua wanajadili nini, "mwakyembe amuumbua Lissu?!?!?" bure kabisa
Kwanini hakumjibu kabla hajatoka BUNGENI???
 
Alumbuliwa Lowassa itakuwa hilo Tundu?

Lowassa alikuwa kwenye mtandao wa wezi pamoja na bosi wake jk, Richmond Dowans walivyopiga hela za walipa kodi. Lissu anatetea maoni ya wananchi kama yalivyowasilishwa na tume ya Warioba,kisha kasema ukwel kuwa muungano wenu una mapungufu yake kisheria, mmezoea vya kunyonga vya kuchinja hamviwezi. Viva Tanganyika!
 
Watu Jf wanafikiri kwa kutumia mataaaaakoo,mkiambiwa ukweli mnaanza tukana,je kuna yyte kati yenu amewahi kukisoma kitabu ya Dr mwakyembe alchokisoma Tl? Au ubsh n ushabik wa kitoto tuuu ifike mahala maji yabaki chin na mafuta yapande juuu mpka mtu makini kusema TL ni MJINGA anaamaanisha.
Ova
Kiboko


Sent from my iPhone using JamiiForums.Wewe umesoma hicho Kitabu? au ndo nyie watu wakukaririshwa2,,!
 
Kwa hotuba aliyoitoa Mwakyembe jana kwenye bunge maalumu nimemdharau sana. Sasa ni dhahili kwamba wasomi wengi hapa tanzania wamejaza idadi ya certificates na sio kuelimika. Na yote hii ni unafiki na usaka tonge! Msomi wa kiwango cha PhD huwezi kuongea kwa vitisho na mipasho ndani ya bunge maalumu! Nilimheshimu sana huyu Mhe lkn baada ya kupewa uwaziri amekuwa tofauti kabisaaaa!
 
Hoja inayohusu wasomi yenye content ya kisomi [sheria] hujadiliwa kisomi. Hoja yako umeileta kimipasho zaidi nakudhihirisha kuwa huna tofauti na wabunge wengi wa chama tawala ambao ni vihiyo. Don't be biased bhana, always discuss the facts.

Weza kuta ni J Ngamia huyo
 
Tatizo la Mwakyembe huwa ni majivuno...hafai ajifunze kutoka kwa kina Shivji.Alijidhalilisha sana..maana nilishakaa mkao wa kula nikidhani angepakua hoja..akaishia majivuno na majigambo tuuuuuu...Kumbe ni walewale

[h=1]Education without morality - a ship without a compass[/h]
 
Wana jf hapa hawawezi kuchangia wanapenda mambo ya uongo uongo mwakyembe kafafanua vzur kwel mnajfanya mmekufa

Usieleze kitu usichokijua, umekisoma kitabu chenyewe? Kama hujasoma kaa kimya, kaelezea kiundani why serikali tatu, kwa lugha ya kiingeleza, au tuseme Lisu hajui kiingeleza? Anafanya siasa na kila mwenye upeo anaelewa! Kasoro wewe! mtu anaconclude serikali tatu then anaanza kusema hamjaelewa? Kwani aliandika kimafumbo?
 
Sikutegemea nae mwakyembea awe bomu hivyo.. Kitabu umeandika wewe..tena kwenye huo mstari umetumia neno..3 government is the ONLY way.. Leo unakana kwa sababu ya siasa za kipumbavu za ccm..kweli bongo tumelaaniwa
Kwa nini? Kusema alivyo fundishwa sio sahihi, au alivyo sema Lissu anatumia sentensi badala kusoma para nzima.. Mimi naona tuwaachie wenyewe wana sheria na mwalimu wao. Manake kuna Prof Shevji kanukuliwa na mwl Mwakyembe kuhusu nukuu ya wakili Lissu.
 
Tundu Lissu ni mpotoshaji mkubwa sana na ni mtu hatari sana usalama, umoja na mshikamano wa nchi yetu! Ni mtu asiye na heshima na adabu kwa wakubwa zake!
Msije mkashangaa akimtukana baba yake hadharani kisa eti kadigrii kake ka sheria!

Mkuu Huna hoja yoyote kaa kimya na mlishaelezwa ni matusi gani kamporomoshea baba wa taifa mmeshindwa kujibu nimeamini akili zenu hazina akili..
Kajipange upya..
 
Kwa mara ya kwanza kusikia akichangia bunge la katiba leo asubuhi nimejifunza mambo makuu yafuatayo.

1.Mwalimu hawawezi kukufundisha kila kitu anachokijua kwa kuwa anajua ukijua kila kitu unaweza kumzidi. Ukisikiliza namna alivyochangia utagundua kuwa Tundu Lissu alisoma vijarida tu vya sheria pale Mlimani badala ya kusoma vitabu vya sheria.
Namnukuu dr mwakyembe akihoji kitabu chake kutumiwa vibaya na tundu lissu "Mh mwenyekiti huwezi ukakisoma kitabu hiki kwa haraka haraka ukakielewa kama unavyosoma gazeti la Tanzania Daima"

2. Tundu lisu anaweza kunyanganywa degree yake wakati wowote. Akichangia leo amewataka waalimu waliomfundisha Tundu lisu kuanza kufikiria namna ya kumnyanganya tundu lisu degree yake hii ya mlimani kwani anakitia chuo hiki AIBU.

3.Maalimu Seifu hata siku moja hawezi akadai serikali tatu na ndio maana hakubaliani na wana UKAWA kuhusu serikali tatu ila yeye kasimamia kwenye hoja ya serikali ya mkataba sababu ni hii:- Akichangia leo dr mwakyembe alinukuu baadhi ya maneno ya maalimu seifu aliyowahi kuyasema na nukuu "Mh mwenyekiti unapokuwa kiongozi unatakiwa usimamie maneno yako naoma nimnukuu mh maalimu sefu maneno yake aliyokwisha kuyatoa bungeni kwamba nanukuu hatuwezi kuuvunja muungano wa tanganyika na zanzibar kwani kufanya hivyo umewarahisishia wale tuliowafukuza njia ya kurudi. Adui yao mkubwa na kikwazo kikubwa cha wao kutorudi ni muungano huu" . Katika hoja yake maalimu seifu alitahadharisha pia kuwa si kwamba muungano hauna dosari ila ni vizuri kuzitatua dosari hizo kuliko kuuvunja muungano.

4. Tundu Lisu ni MJINGA kabisa na anatakiwa arudi darasani kujifunza tena upya na ikiwezekana abadilishe fani kabisa SHERIA imemkataa.Katika uchangiaji wake dr mwakyembe alihoji kuwa hata mwananchuo wa mwaka wa kwanza anajua kuwa kama umedumu na muungano huu kwa miaka 50 na hujauhoji leo huwezi kuhoji sain au makataba wake kwani kwa muda ambao umedumu nao ni kwamba umeshaubariki kuna neno la kisheria alilitumia hapa.

5. Kuna hatari ya maproffesor na ma dk kukataa Tundu lisu asiwa wanukuu maandiko yao kutokana na kuyapotosha nafikiri hili linaruhusiwa. Atabaki kunukuu vitabu vya shigongo vya mapenzi na vya nyambari nyangwine.

Ulikuwa na masikio ya aina gani hayo ambayo ni tofauti na wengine? Mbona umesikia ambayo hayakusemwa?
Unasema Mwakyembe alisema yafuatayo, halafu unaishia kuandika maoni yako ndani yake. Unataka tukuite mboji?

Lete analysis yako hatuhitaji kutuandikia mambo ya Mwakyembe. Wewe maoni yako ni yapi?

Binafsi simuoni Mwakyembe kama mahili. Amekaa pale Mlimani miaka mingapi? kwa nini hakupata u-profesa? Yeye kaingia siasa, mwambie abaki huko huko na mijadala ya kisiasa na aachane na marudio ya chuo kikuu. Anao udhaifu mwingi kama tutaamua kuandika mambo yake ya chuoni.

Na, ondoa ushabiki wapo hapa!
 
Haki ya nani Mh Mwakyembe ni jabali kalichambua lile lihuni lenye laana za wazazi wake kama karanga,wallah mi cpendi wanasiasa vichaa kama jitundu ni jitu la ovyo lisilofaa kuishi ktk jamii hakika Mwakyembe kalinyongelea mbali

Suluhisho, kama unaelewa kiingeleza katafute kitabu chenyewe usome, usigeuzwe mwehu na ukakubali, Mwakyembe anafanya siasa chafu tuu! Anakana alichokiandika mwenyewe tena bila mafumbo?
 
Back
Top Bottom