Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

Serikali dhaifu... Wabunge dhaifu ... Wananchi dhaifu... (SoB)...!

"Woga Wako NDIYO Umaskini Wako..Hofu Yako NDIYO Kifo Chako" - Rose Muhando
 
anasema eti SSRA wana mamlaka ya kuirekebisha sheria hii na hasa kwa maeneo maalum kama migodi ila kinachonishangaza anadai TUCTA,TAMICO na vyama vingine vya wafanyakazi walishirikishwa

Mwambieni asijaribu kuwapoza eti wanaweza kubadiri kwa wafanyakazi wa migodini, hiyo sheria haitakiwi na wafanyakazi wote.. tena akome kabisa!!
 
anasema eti SSRA wana mamlaka ya kuirekebisha sheria hii na hasa kwa maeneo maalum kama migodi ila kinachonishangaza anadai TUCTA,TAMICO na vyama vingine vya wafanyakazi walishirikishwa

Mwadui wapo chini ya TAMICO,hiyo kitu hawajashirikishwa.
 
Yaani wanajifanya kubadilisha sheria wakati wakiwa wamezishikilia pesa zetu. Pumbavu zao kabisa, nasema nisionane na hao sijui SSRA.
 
Tungeanza kuwaponda MAWE MAwaziri then hawa watumishi robot wao Baraza la Mawaziri ndio waliopitisha hii.
 
Watupe michango yetu yote tuliyochanga kabla ya marekebisho ya sheria zao za kipuuzi!.
Maana tulizichanga kwa makubalianao ya kurudishiwa mara tu kazi ikisitishwa.
Haiwezekani wakatishe mkataba wetu wa makubaliano ya awali hivi hivi kienyeji!.
Baada ya hapo ndipo tuanze na upuuzi wao huu.
 
Life span ya mtz ni 51 harafu ustaafu na 55 hivi hawa wana akili kweli??...Sisi wapinzani lizima tuchukue credit yanakula bila kufanya back analysis,huwezi ukaanzisha project bila kujua kua itaanza return lini.

Kweli ni vilaza yanachukua kodi ya kutosha tu bado sa hizi ukiwa airport ulipie dola 10 kama ni I.flight na dola 5 kama ni D.flight kamwe hayatoshi yanahamia migodoni.....ila wanabip fire
 
Hivi wanaongeaje kuhusu wazee wataofikia huo umri bila kuajiliwa wanampango gani juu ya kuwasaidia??...

Tunavuta silicate ya kutosha huku 2naomba msicheze na hela zetu...mipango yenu mibovu msiihamishie kwetu
 
Watupe michango yetu yote tuliyochanga kabla ya marekebisho ya sheria zao za kipuuzi!.
Maana tulizichanga kwa makubalianao ya kurudishiwa mara tu kazi ikisitishwa.
Haiwezekani wakatishe mkataba wetu wa makubaliano ya awali hivi hivi kienyeji!.
Baada ya hapo ndipo tuanze na upuuzi wao huu.

Sawa kabisa, na iwe mtu aamue kama anataka kujiunga na huo upuuzi ama la!!
 
Siku zote watu wamekuwa wanasema serikali iko 're-active' and not 'pro-active' Sheria inayogusa maisha ya watu moja kwa moja unaipitishaje bila kuwashirikisha waathirika?
Mgaya anasemaje kwenye hili, alishirikishwa?

Kuna kikao kizito sana kinaendelea kati ya vyama vya wafanyakazi chini ya TUCTA na kituo cha sheria na haki za binadamu LHRC.
Bila shaka pamoja na mambo mengine, watatoa kauli yao juu ya huu mkanganyiko uliojitokeza. Tuvute muda kidogo tu ili tusikie tamko la TUCTA.
 
Kiinua mgongo hadi miaka 60,Je serikali mmewekeana mkataba na mungu?kuwa Kila mfanyakazi atafikisha umri huo?
 
Nadhani huu ni muda wa kusimamisha kazi nchi nzima kwa wiki kama moja, then waajiri wakiwajiri wengine tunaenda kufanya siasa kwa miaka hii miwili iliyobaki ili 2015 tufanye mageuzi ya moja kwa moja....

Tumechoka na huu uwizi wa serikali ya JK, wazee wa EA hawataki kuwalipa mafao yao, wanataka na sisi tufike uzeeni ndiyo watusumbue.

Hivi wakija kusema makampuni hayakupeleka NSSF zako au zilipelekwa kidogo itakuwaje???

Hivi thamani ya Mil 10 ya leo na mil 10 ya miaka 20 ijayo itakuwaje kama si uwizi wa mchana.
 
NSSF kila siku inajenga halafu hakuna anayejua kama kuna returns za kueleweka kwenye hizo investment.

Lazima sheria kama hizo ziwepo ili mifuko isifilisike. Nani kawaambia tunataka watulipe tukifikia 55 years? Michango ni yetu sasa shida wanatupa ili iweje?

Hiyo sheria naunga mkono wanaharakati ifutiliwe mbali maana haina baraka ya wachangiaji wa mifuko.

Nani kama awamu ya nne?
 
Mwl J. Kambarage aliwahi kusema kuwa,
"Kama mtu atakukanyaga na wewe ukakaa kimya ataendelea kukanyaga bila wasi wasi"
Sasa yafaa tuiambie serikali kuwa UMETUKANYAGA na TUMEUMIA Sasa yatosha.
 
Back
Top Bottom