ndio iliyobakia wanahakika gani kama kila mtu atafikisha hiyo miaka?kwa nini msimponde mawe atudi huko DSM SSRA akiwa kwenye Jeneza wajue kama tuna hasira nao?
Watanzania lazima kuamka ama sivyo CCM inatupeleka ahera
Huyo mwakilishi wa SSRA naye hamnazo kwani hao wananchi wana submit michango kwa SSRA? si wanapeleka michango kwa mashirika ya pensheni? wawaachie wenyewe wakina NSSF,PPF,PSPF nk wakatoe elimu kwa wadau wao wasione raha kufaidi mahela tu.
Huyo mwakilishi wa SSRA
naye hamnazo kwani hao wananchi wana submit michango kwa SSRA? si
wanapeleka michango kwa mashirika ya pensheni? wawaachie wenyewe wakina
NSSF,PPF,PSPF nk wakatoe elimu kwa wadau wao wasione raha kufaidi mahela
tu.
wakuu hiki kikao kimeisha tumempa misimamo yetu kuwa hii sheria hatuikubali na tumemtaka mkurugenzi wa SSRA kutoa tamko la kusitisha ujinga huu kuanzia jumatatu
Mtamuonea bure, wanaostahili KUPIGWA mawe ni BARAZA LA MAWAZIRI lililopoleka muswaada huo na WABUNGE waliopitisha muswaada. That are real our enemies.
Watanzania lazima kuamka ama sivyo CCM inatupeleka ahera
Nsa ipo siku wabunge wanaoitikia kila jambo hata kama ni baya, watakula kibano toka kwa wananchi. Saa imefika vijana kuitengeneza TZ.
jamani kila kitu si kusingizia ccm cha msingi wafanyakazi wote tuunganishe nguvu bila kujali itikadi za vyama, maslahi yetu hayategemei itikadi bali umoja wetu