Mwakilishi SSRA apewa vidonge ndani Geita Goldmine Ltd

Mkutano imemalizika na watu wanchukua chakula kwa sasa,kwa kweli mi ningekua na bunduki au kisu ningemcho live,ameniudhi kweli hana ata dokument ya kuthibitisha shutuma anazorushiwa,kwa kweli walimtuma dhaifu kuja kuwawasilisha....inauma inauma na inakera sana
 
kwa nini msimponde mawe atudi huko DSM SSRA akiwa kwenye Jeneza wajue kama tuna hasira nao?

Kwa kweli mi ningekua na bunduki au kisu ningemuua kabisa na kwa vile nilikua nyuma yake alikorushiwa chupa cha maji.Mtu mwenyewe akua hata na cha kuongea mbele ya watu
 
kwa kawaida mjumbe hauwawi, lakini mjumbe wa shetani hakika naye atauawa

kaka ungekuwepo yani we acha tu,yani mi nililengwa na machozi,kwani nikiangalia safari ndefu ya kufika miaka 55,na kazi hii ya kutuua kabla ya siku,kwani tunatafuta ata mtaji wa kuanza biashara,,,,,,jamani jamani eti hadi housegirl nae afunguliwe nssf na akae hadi miaka 55
 
Jamani tujulisheni pia kinachoendelea hapo GOLD CREST HOTEL mwanza maana kuna wawakilishi wa vyama wakiendelea na kikao kilichoandaliwa toka jana hizo nazo tunazo hatujui objective yake
 
Lakini mbon ata yeye amekiri kua walimshauri rais vibaya,kitu kibaya zaidi ni kua bwana mushi uyu ni mtafiti mkuu katika shirika hii na anakiri kabisa kua hakujua hali halisi na mazingira ya kazi huku ggm,saasa tunahoji utendaji kazi wake,na walifikiaje maamuzi bila kufanya tafiti za kutosha? Kweli tz tuna kazi
 
Watupe michango yetu yote tuliyochanga kabla ya marekebisho ya sheria zao za kipuuzi!.
Maana tulizichanga kwa makubalianao ya kurudishiwa mara tu kazi ikisitishwa.
Haiwezekani wakatishe mkataba wetu wa makubaliano ya awali hivi hivi kienyeji!.
Baada ya hapo ndipo tuanze na upuuzi wao huu.

Kyaiyembe: Make no mistake mimi ni mfanyakazi ninapinga kwa nguvu zangu zote sheria hii OVU.
Lakini hilo uliloshauri halitekelezeki. Maudhui ya SHERIA hii ni kwamba hiyo mifuko almost is bankrupty. Ndiyo maana imepitishwa hii sheria ili kuinusuru hiyo mifuko isiwe mufilisi.

Hivyo kushauri kwamba tuchukie pesa zetu kwanza, na ndiyo tuanze upya na sheria hii, kwanza hiyo mifuko haina hizo pesa za kutulipa michango yote. Pili hata kama inayo ikaruhusu tuchukue pesa itakuwa mufilisi kwasababu pesa zote tutachukua kwa mkupuo.

Lakini KISHERIA uko sahihi 100%, kwamba SHERIA huwa haitungwi RETROSPECTIVELY. Hivyo Serikali ingeheshimu makubaliano yetu ya awali na mifuko ya jamii, na kama ingependa basi hii sheria ingeanza kutumika kwa wafanyakazi WAPYA TU.

Katika SHERIA hii imeruhusu pia Wafanayakazi kuchagua mifuko wanayoitaka. Lakini hii ni kwa wafanyakazi WAPYA tu which is correct. Lakini kwenye mafao SERIKALI imecheza double standards kwa sheria kubana pia wafanyakazi wa zamani na sio WAPYA.

Hapa ndiyo inabidi WAFANYAKAZI tuamuke na kudai HAKI yetu hata ikidibi kwa nguvu.
 
Maamuzi ya kikao,yeye amesema atarudi baaya ya mwezi mmoja akia na wawakilishi wa nssf,ppf,lakini hr amesema wao wanataka majibu ya kusitisha tamko ili ifikapo jumatatu na wanaggm walipanga jana usiku kua kuna maandamano ifikapo jmosi wawakilishi wa buly,buzwagi nao wamesema kua watafika geita siku hiyo ya jmosi kwa ajili ya maandamano..watu wamenukuu kauli ya irine mkurugenzi wa ssra kwenye gazeti ya mwananchi ya leo ,nanukuu "tumelazimika kuchukua hatua hii hata kabla ya muda husika kufika kutokana na mtazamo wa wananchi".kwa sasa anaelekea buly,buzwagi,tuly,then nyamongo
 
Iko siku watu wataingia bungeni na mabomu aiwezekani wabunge wanapitisha sheria ambayo haiwahusu wao,kwa ajili ya kukandamiza ubande mwengine tu
 
Hao jamaa SSRA niwakupigwa mawe popote pale. Ili wajue wameudhi wafanyakazi. Pia waliojadili hili suala na kulipitisha Bungeni nao waandae majibu.
 
Kyaiyembe: Make no mistake mimi ni mfanyakazi ninapinga kwa nguvu zangu zote sheria hii OVU.
Lakini hilo uliloshauri halitekelezeki. Maudhui ya SHERIA hii ni kwamba hiyo mifuko almost is bankrupty. Ndiyo maana imepitishwa hii sheria ili kuinusuru hiyo almost is bankrupty.

Hivyo kushauri kwamba tuchukie pesa zetu kwanza, na ndiyo tuanze upya na sheria hii, kwanza hiyo mifuko haina hizo pesa za kutulipa michango yote. Pili hata kama inayo ikaruhusu tuchukue pesa itakuwa mufilisi kwasababu pesa zote tutachukua kwa mkupuo.

Lakini KISHERIA uko sahihi 100%, kwamba SHERIA huwa haitungwi RETROSPECTIVELY. Hivyo Serikali ingeheshimu makubaliano yetu ya awali na mifuko ya jamii, na kama ingependa basi hii sheria ingeanza kutumika kwa wafanyakazi WAPYA TU.

Katika SHERIA hii imeruhusu pia Wafanayakazi kuchagua mifuko wanayoitaka. Lakini hii ni kwa wafanyakazi WAPYA tu which is correct. Lakini kwenye mafao SERIKALI imecheza double standards kwa sheria kubana pia wafanyakazi wa zamani na sio WAPYA.

Hapa ndiyo inabidi WAFANYAKAZI tuamuke na kudai HAKI yetu hata ikidibi kwa nguvu. :A S thumbs_up:
almost is bankrupty. Hii ni dalili ya ugonjwa mbaya sana kwa hii mifuko.
is bankrupty. Haya ni madhara ya huo ugonjwa!.
Naomba kujua ugonjwa huu.
Chanzo au Sababu za maambukizo
Tiba yake kama ipo
Tutibu ugonjwa ili kumponya mgonjwa. Maana hii mifuko haijafika hapo ilipo kutokana na kutoa mafao kwa wanachama wake, kuna tatizo liwekwe wazi.
Sasa mkuu kama ugonjwa haujapatiwa tiba hizo tunazoendelea kutoa zitapona
 
1.chanzo chanzo cha ugonjwa ni serikali kuingilia mashirika na kukopa bila kurejesha malipo kwa muda muafanka
2.mifuko kutodhamini wanachama wake
3.uongozi mbovu ndani ya serikali
4.uoga wa wananchi wenyewe na kutothamini mali zao/nguvu yao,kwani wanavujisha jasho kwa ajili ya watu wengine
endelea
 
Wanacheza hawa, siku zote wanacheza na maisha yetu tunaangalia hata hii hela tuliyotolea jasho wanataka kutuletea upuuzi.

Pole zao.
 
Mwl J. Kambarage aliwahi kusema kuwa,
"Kama mtu atakukanyaga na wewe ukakaa kimya ataendelea kukanyaga bila wasi wasi"
Sasa yafaa tuiambie serikali kuwa UMETUKANYAGA na TUMEUMIA Sasa yatosha.

1.chanzo chanzo cha ugonjwa ni serikali kuingilia mashirika na kukopa bila kurejesha malipo kwa muda muafanka
2.mifuko kutodhamini wanachama wake
3.uongozi mbovu ndani ya serikali
4.uoga wa wananchi wenyewe na kutothamini mali zao/nguvu yao,kwani wanavujisha jasho kwa ajili ya watu wengine
endelea
Tiba ni kuondoa viongozi wadhaifu wasiozalisha wanajua kula tu.
 
Kama issue hii ikipita salama, i mean hii sheria ikianza kufanya kazi na kikwete akaendelea kuwa Rais kwa starehe zake bila mshike mshike then nitaamini kuwa ccm ni mtawala wa maisha, SAMAHANI WANA MAGEUZI, NINA MAANA HAKUNA WA KUIONDOA MADAKANI, mwenye jibu tofauti na hofu yangu hii aje anipe data tofauti na hizo, kwasababu jamaa wametushika kila eneo na bado tumetulia tu, wameiba pesa za EPA, kimya wabongo, bei ya sukari itakuwa tsh 1700/ but haijawahi kuwa hivyo, wabongo tena kimya, bei ya Pamba kushuka wakati tu wa msimu, bado kimya, watu wanakufa kwa mgomo wa madaktari, serikali inatoa majibu mepesi, huwezi kuamini, bado tupo kimya tu, wameanza kuua manabii wetu we are still silence, wanabambikizia watu kesi tena nzito tu, bado kimya, sima maliza, Bunge wanaendesha kihuni, we are still quite, sasa wamekuja na issue ya kula akiba yetu pekee, hili tukibaki kimya, 2015 wataiba Kura na still tutabaki kimya

Tutaendelea kumwachima Mungu hadi lini?
 
Mkuu uko sawa! nikukumbushe kuwa siku ukipokea salary slip utazirai maana PAYEE imepanda hadi 30% kutoka 14%. kwa mjibu wa BAjeti ya 2012/2013
 
Angalizo

Kwa kungalia inaonekana hawa SSRA wanataka kuwa divide wafanyakazi ili wabadirishe sheria hiyo kwa wafanyakazi wa migodini tu.
Wafanyakazi wote tuungane na kupinga hili, sheria hii ni mbovu kwa wafanyakazi wote, haijalishi uko mgodini, bank au saloon.
 
Aende na Resolute -Nzega akapigwe makombora aione kazi yake chungu. Wasichezee kabisa maslahi ya watu, Watu wamechoka kuburuzwa kama vilaza.
 
Back
Top Bottom