Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha hujafanya chochote kabisa?? Hata kufumaniwa???πŸ˜‰πŸ™πŸ˜‘πŸ˜•πŸ˜ŽπŸ˜›πŸ˜€πŸ˜±πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Namshukuru Mungu sana
1. Nina afya njema kwa mwaka mzima
2. Nimefanikiwa kupunguza addiction inayonisumbua kwa muda mrefu
3. Nimejifuza kwa vitendo makosa yanayonirudisha nyuma kiuchumi
4. Nimefanya saving kubwa kuliko mwaka jana
5.Nimenunua electronics devices nzuri sana such as iPhone

The bad thing I’ve lost my brother in this December...

All in all, namshukuru Mungu naomba aninyeshee neema na baraka zake 2020
 
Namshukuru sana Mungu kwa kuniweka hai na afya njema. Nimefanikiwa kusajili laini zangu kwa alama za vidole hivyo kukwepa rungu zito la TCRA.

Mengine baadaye
 
Lazma utakuwa mkulima ama mfanyabiashara..hongera Sana Kaka Mimi Hadi Leo nimeishia kwenye lenta tu.
Mwaka jana nilikuwa na lengo la kujenga nyumba huko kwetu, nashkuru Mungu nilifanikisha ingawa bado kidogo tu finishing...

Mwaka huu nikapanga kujenga nyumba yangu hapa Dar , Nashukuru Mungu pia imekamilika kwa asilimia si chini ya 80, .........Mungu ni mwema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20191214_181820_5.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipanga kujifunza Mobilephotography kiukweli mpa sasa nimepiga hatua na bado naendelea kujifunza zaidi na kujua amazing tricks
So mwaka huu nachugua tena skills gan nijifunze

Baadhi ya picha nilizopiga kwa sm ni hiz wallpepaView attachment 1294432View attachment 1294433View attachment 1294434View attachment 1294435View attachment 1294436View attachment 1294437

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee mkuuu unahatari naomba unifundishe na mimi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipanga kujifunza Mobilephotography kiukweli mpa sasa nimepiga hatua na bado naendelea kujifunza zaidi na kujua amazing tricks
So mwaka huu nachugua tena skills gan nijifunze

Baadhi ya picha nilizopiga kwa sm ni hiz wallpepaView attachment 1294432View attachment 1294433View attachment 1294434View attachment 1294435View attachment 1294436View attachment 1294437

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hii aina gani ya simu!?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom