talentboy
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 2,104
- 2,086
Alhamdulillah, nimefanikiwa kufanya jambo kubwa sana na la kheri kwa mujibu wa imani yangu ya dini na tamaduni za jamii yangu...na si jengine bali ni kufunga ndoa...now nimeanza maisha mapya na mke wangu halali...kila tufanyacho ni thawabu badala ya dhambi mradi tunafanya kwa kufata misingi tuliyowekewa na dini...mwakani inshaallah ukiondoa kupata mtoto/watoto ambalo ni majaaliwa, nategemea kwenda ughaibuni kufanya shahada ya pili biidhnillah..🙏