Mwaka mmoja CCM kwisha

Tatizo wana mtandao mnadhani ndiyo wananchi walivyo mtaona chaguzi ndogo mtakavyolia. Ishara tosha 2020
 
Ndio mtakavyo ijua hasira za watanzania
 
Ccm alikufa nayo baba wa taifa
Anayekutawala sasa na kukusomesha namba ni nani? Mwaka 2020 siyo mbali. Anzeni mikakati lakini hii ya kujifariji mitandaoni eti CCM ilishakufa 2020 itafika na mtapigwa tena; na mtaendelea kulalamika mitandaoni miaka na miaka. Mnakera!!!
 
Mnao kera ni nyinyi madebe
 
Toka 95 ilishashindwa.... Tume ya uchaguzi huru ndio mkombozi... Mambo ya ukuta kuchelewesha muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…