Mwaka huu pekee nimewadunga mimba wanawake watatu, sipati usingizi

Ukitaka kujua umejichanganya subiri wakati wakusomesha. Watoto watatu wote the same age wanataka ada wote na wamama wakileo wanapenda watoto wao wasome Englishmedium. Utajuta. Tunamifano
Inabidi wote apeleke shule za kawaida tu, mke mwenye uwezo wa inglishimidiamu apeleke mwenyewe, yeye anunue yunifomu, kalamu, viatu vya shule, daftari n.k!
 
Wajinga ndo waliwao hapo itakuwa mimba mnalea kama watatu hivi.
 
So relax umewadukuaaa wadada wa watu, na wewe sasa udukulieee uoneee raha ya kudukuliwaa ukiwaa huna helaaa........
 
Watoto ni hazina you never know hao ndio wakombozi wako katika maisha kaza kamba kusaka pesa
 
Back
Top Bottom