BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Sikupiga kura ya Urais. Narudia tena lile kosa lilikuwa ni FUNZO kubwa sana. Maccm yanayotaka kuhamia Chadema yahamie tu lakini si kwa matarajio ya kugombea ubunge au Urais kwa tiketi ya Chadema ITAKULA KWAO.
Ulimpigia Nani!??
Chadema hujawajua vizuri.
Atatokea mtu atawadanganya..
Wewe utafanyaje kuhakikisha halijirudii!??
Au ndio nyie mnawasimamisha.?