Uchaguzi 2020 Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Sikupiga kura ya Urais. Narudia tena lile kosa lilikuwa ni FUNZO kubwa sana. Maccm yanayotaka kuhamia Chadema yahamie tu lakini si kwa matarajio ya kugombea ubunge au Urais kwa tiketi ya Chadema ITAKULA KWAO.

Ulimpigia Nani!??
Chadema hujawajua vizuri.
Atatokea mtu atawadanganya..
Wewe utafanyaje kuhakikisha halijirudii!??
Au ndio nyie mnawasimamisha.?
 
Sikupiga kura ya Urais. Narudia tena lile kosa lilikuwa ni FUNZO kubwa sana. Maccm yanayotaka kuhamia Chadema yahamie tu lakini si kwa matarajio ya kugombea ubunge au Urais kwa tiketi ya Chadema ITAKULA KWAO.
Hembu niambie ukweli brother ..
Na wewe upo pale kwenye kuteua wa kusimama?
 
Umevurugwa wewe ndondocha
Hayo ni mawazo yako, Kigogo kwa taarifa yako anajulikana na serikali, na wala haina mpango wa kumfuatilia mtu mwenye njaa kama yeye ambaye anatafuta ugali tu wa kula kwa udi na uvumba.

Serikali hii imejikita zaidi katika kuleta maendeleo kwa Watanzania wote bila kujali itikadi zao. CCM awamu ya 5 imejikita zaidi kuwasaidia Watanzania hasa wale wanyonge ambao hawana uwezo wa kuandika kwenye mitandao, Watoto wadogo na kinamama kutatua matatizo yao na kuwaletea maendeleo. Ikifika 2020 Serikali hii itakuwa inawaonyesha Watanzania maendeleo yaliyofanyika tangu iingie madarakani. Unaruhusiwa kubeza vyovyote vile unavyopenda lakini ukweli utabaki kuwa ukweli whether you like it or not.
 
Nenda kafanye kazi uzembe wewe! Hata haibubhuna?
mm nitakuwa na wewe pale tu atakapotupa malimbikizo ya annual increment zetu na kutupandisha madaraja,hatukatai miradi mikubwa anayofanya hongera kwa hilo,ila kama matumizi yanakuwa makubwa hadi mambo mengine tuyakose sasa hapo sipo nae kwa kweli,yani kwa kuwa baba unanunua smartphone ndo familia isile???HELL NOOOO :mad:
 
Back
Top Bottom