Waliotumbuliwa na Hayati Magufuli wameshindwa kuisaidia Serikali ya Rais Samia hata baada ya kuwarudisha kazini

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,745
15,221
Kuna Wakati ukiongea, watu tunapata nafasi ya kujua ujinga au Umahili wako.
Umebaki mwaka mmoja tuingie kwenye uchaguzi mkuu lakini hakuna hata flyover moja iliyoanzishwa kujengwa wakati ilani ya ccm 2020 - 2025 imeahidi maflyover kibao mapya kujengwa kwenye jiji la Dares salaam!

1. Prof Mbarawa
2. Mchechu wa NaHC
3. Mafuru wa Hazina
4. January makamba
5. Kinana
6 Nape Nnauye
7. Mramba wa Tanesco
8. Prof Assad
9. Mwigulu Nchemba

Hawa wote aliwajua na kuwafuta kazi
Prof. Assad ameongelea issue ya Bandari Kwa maoni yake, ana Haki ya kutoa maoni. Ila maoni yake ya hovyo sana. Tunashukuru hakalii kiti Cha CAG. Msingi wa hoja hii ni ufuatao ambao alipaswa kujiuliza kuhusu Mkataba wa Bandari

1) Nani aliandaa Mkataba ni sisi au mwekezaji?
2) Kwanini kukiwa na Material Breach of Contract Mkataba uendelee?
3) Tuki develop Capacity yetu tukataka kuindesha wenyewe Bandari yetu, nafasi yetu ikoje? Hii ni nafasi Kwa vizazi vijavyo
4) Kwanini Zanzibar haimo pamoja na Uzuri na manufaa yanayaoongelewa?
5) Mkataba wa TICS ulikuwaje?
6) Tukishindwa kuelewana tunatokaje?
7) Tutajuaje Mikataba ya utekelezaji itakavyokuwa wakati itakuwa SIRI ya watu wachache na Bandari ni Uti wa mgongo wa uchumi wetu?

Unaweza kuongeza ya kwako.

Kutokana na kuacha hayo maswali na kuhangaika na watu wanaopinga Makataba Kwa madai kuwa hawajui Sheria za uwekezaji, namshukuru JPM kumstaafishi huyu Prof. Assad.
 
Serikalini watu wakirudishwa huwa si kwa maslahi ya serikali au wananchi, ni kwa maslahi yao binafsi, na hicho ndicho wanachokipigania wanasiasa wote, without any exception.
 
Wote waliorudishwa kulikuwa hakuna haja ya kuwarudisha basi tu yaani nchi ina mambo ya hovyo ya kulipiza visasi tu huku maendeleo yakidorola
 
Una ushahidi na hizo billion zilizofichwa mbona mnapenda unafiki na uzushi
Mambo ya Burigi Chato 😁😁
Screenshot_20230810-091009.jpg
 
Asadi ameongea vile sababu ya udini tu.
Kuwa wenzake ndio waliofanya vile hivyo ni lazima wawatetee.
Kwenye ule mkataba ni wao wenyewe ndio waliohusika kusaini upambafu wa vile
Ndio maana hata kina Zito wanaunga mkono hoja hata kama ni upupu mtupu
Udini mpaka mahakamani
 
Umeongea ukweli mtupu, Uislam umetamalaki kwenye huo mkataba, akina Zitto huwezi kuwasikia wakiukosoa mkataba maama umeandaliwa na kusainiwa na Waislam wenzao
 
Asadi ameongea vile sababu ya udini tu.
Kuwa wenzake ndio waliofanya vile hivyo ni lazima wawatetee.
Kwenye ule mkataba ni wao wenyewe ndio waliohusika kusaini upambafu wa vile
Ndio maana hata kina Zito wanaunga mkono hoja hata kama ni upupu mtupu
Kuna level ya elimu ukiwanayo alafu ukileta udini dah unadhalilisha hata wanafani wenzako jamaa kazingua
 
Laana itawaua mtakufa vifo vibaya Sana Unaenda kuweka hela chato, alafu mnasema Marehemu Ameficha?.mtu akifa anaweza kuficha hela. Mtakufa masikini kwa uongo na ujinga wetu
 
Laana itawaua mtakufa vifo vibaya Sana Unaenda kuweka hela chato, alafu mnasema Marehemu Ameficha?.mtu akifa anaweza kuficha hela. Mtakufa masikini kwa uongo na ujinga wetu
Ni wajinga sana hao watu
 
Back
Top Bottom