Mwaka 2020 Naenda na Rais Magufuli nani yuko pamoja nami

Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
3,965
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
3,965 2,000
Mgombea wa Chadema I hope atakuwa lissu huyo dhalimu, dikteta, nduli na MUUAJI hafai kabisa na ndiyo sababu hata ndani ya ccm wengi hawamkubali.
Mna uhakika Lissu atafanya kwa asilimia zote!?
Naye pia atakuwa na mapungufu yake..
Tena Chadema sijui wanatumiaga akili gani ..atatokea Mtu atahamia na watamsimamisha Kama mgombea urais..Hapo ndipo CCM wanawazidi kete.
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
3,965
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
3,965 2,000
Upinzani moja iyoo..au niende naww
Asa tufiche ya Nini magu uongozi anaujua.
Nanukuu wimbo wa Harmonize.

Mimi upande wangu nitaenda na atakayekuwa anafaa...kwa kusikiliza sera zake.

Chadema wakifanya ujinga Kama wa 2015 lazima washindwe tu.
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
16,039
Points
2,000
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
16,039 2,000
Asa tufiche ya Nini magu uongozi anaujua.
Nanukuu wimbo wa Harmonize.

Mimi upande wangu nitaenda na atakayekuwa anafaa...kwa kusikiliza sera zake.

Chadema wakifanya ujinga Kama wa 2015 lazima washindwe tu.
Basi ngoja nigombee mwenyewe kupitia UDP

Utaenda namm??
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
97,731
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
97,731 2,000
Suala si kufanya kwa asilimia zote bali ni kuheshimu Watanzania, katiba, mahakama, Bunge na taratibu zote za kuendesha Serikali kwa maslahi ya Tanzania na Watanzania siyo kama huu uhuni, dharau na udhalimu uliokithiri nchi hii kwenye awamu hii ya DHALIMU. Chadema nao WAKIBORONGA wanapigwa kibuti na chama kingine kushika hatamu. Ndiyo raha ya DEMOKRASIA ambayo imesaidia sana kuwa CHACHU ya maendeleo kwenye nchi za wenzetu siyo chama kinafanya uhuni, dharau, ujambazi ili tu kuendelea kung’ang’ania kuwepo madarakani. Miaka 60 ya uhuru Tanzania ina utajiri wa hali ya juu wa rasilimali na ardhi kubwa yenye rutuba lakini HATUNA CHOCHOTE CHA KUJIVUNIA. Nchi yetu bado ni HOHEHAHE TU!

Lile la kumkaribisha fisadi Lowassa Chadema lilikuwa ni KOSA KUBWA sana I am glad that I rejected that decision from day one and I was right 110%

Mna uhakika Lissu atafanya kwa asilimia zote!?
Naye pia atakuwa na mapungufu yake..
Tena Chadema sijui wanatumiaga akili gani ..atatokea Mtu atahamia na watamsimamisha Kama mgombea urais..Hapo ndipo CCM wanawazidi kete.
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
3,965
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
3,965 2,000
Suala si kufanya kwa asilimia zote bali ni kuheshimu Watanzania, katiba, mahakama, Bunge na taratibu zote za kuendesha Serikali kwa maslahi ya Tanzania na Watanzania siyo kama huu uhuni, dharau na udhalimu uliokithiri nchi hii kwenye awamu hii ya DHALIMU. Chadema nao WAKIBORONGA wanapigwa kibuti na chama kingine kushika hatamu. Ndiyo raha ya DEMOKRASIA ambayo imesaidia sana kuwa CHACHU ya maendeleo kwenye nchi za wenzetu siyo chama kinafanya uhuni, dharau, ujambazi ili tu kuendelea kung’ang’ania kuwepo madarakani. Miaka 60 ya uhuru Tanzania ina utajiri wa hali ya juu wa rasilimali na ardhi kubwa yenye rutuba lakini HATUNA CHOCHOTE CHA KUJIVUNIA. Nchi yetu bado ni HOHEHAHE TU!

Lile la kumkaribisha fisadi Lowassa Chadema lilikuwa ni KOSA KUBWA sana I am glad that I rejected that decision from day one and I was right 110%
Na wanaweza wakarudia Tena ule mchezo
Ulireject vipi brother...kwa kumpigia jpm au?
 
famba 06

famba 06

Member
Joined
Dec 28, 2018
Messages
41
Points
125
famba 06

famba 06

Member
Joined Dec 28, 2018
41 125
Inabidi kuwe na like na unlike itasaidia sana kupata jibu kwenye huu uzi, nashaur maderator itengeneze na unlike
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
3,965
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
3,965 2,000
Kosa lile haliwezi kurudiwa tena hilo nakuhakikishia likirudiwa tena ndiyo itakuwa kifo cha Chadema. Mie nimpigie kura dhalimu St Anne?
Ulimpigia Nani!??
Chadema hujawajua vizuri.
Atatokea mtu atawadanganya..
Wewe utafanyaje kuhakikisha halijirudii!??
Au ndio nyie mnawasimamisha.?
 
Forum statistics

Threads 1,335,208
Members 512,271
Posts 32,499,184
Top