Afta
JF-Expert Member
- Apr 2, 2023
- 519
- 798
Kuna shekhe mmoja alimsifia sana magufuli kuwa sio mdini na ndiye aliye harakisha yeye kupewa eneo alilo kuwa anakitaka ila nimemsahau tu.Mdini Kuliko walivyokuwa Mkapa, Nyerere , na Magufuli , waliouwa watu ??
Alafu nikivuta kumbukabu siioni kama Magufuli alikuwa karibu sana na mambo ya udini zaidi ya kwenda kanisani kisha kutoa maneno kadhaa ambayo Kuna muda ilionekana kama sio sawa hasa humu jf