Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,192
- 99,924
Dah! Hahahaa tunabaguana kiasi hiki?Acha kutumika kiswahili cha kichagga mitandaoni
Dah! Hahahaa tunabaguana kiasi hiki?Acha kutumika kiswahili cha kichagga mitandaoni
Hahahahahaha 🤣😂Kuna Watu wamepata wasiwasi na mashaka baada ya Shehe Mwaipopo kuishutumu Chadema Kwamba inatembea na Padre
Ni Yeye mwenyewe Shehe Mwaipopo ndio alikiri Kwamba Katoliki ndio Dini kubwa duniani
Sasa kuna ubaya gani Chadema kutembea na Padre au mstaafu kumlipia matibabu Kardinali?
Mashehe wengine tusiwachukulie serious labda Alhaj Kundecha pekee
Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Ukute katumwa na mweneziHuyo jamaa analeta mpasuko ...Mi naona anatumwa maana hata anavyoongea haeleweki kabisa ...Anaruka mara huku ndani ya mda mchache anaongea mambo mengi mno 😅😅
Huyu Mwaipopo wa sasa na yule Mwaipopo wa miaka ya 90's akiwa na Sheikh Mazinde ni mtu yule yule?Kuna Watu wamepata wasiwasi na mashaka baada ya Shehe Mwaipopo kuishutumu Chadema Kwamba inatembea na Padre
Ni Yeye mwenyewe Shehe Mwaipopo ndio alikiri Kwamba Katoliki ndio Dini kubwa duniani
Sasa kuna ubaya gani Chadema kutembea na Padre au mstaafu kumlipia matibabu Kardinali?
Mashehe wengine tusiwachukulie serious labda Alhaj Kundecha pekee
Jumaa Mubarak 😄😄🔥
Hawa jamaa wanatuchanga maana CCM wanapenda kuleta mijdala watu wapoteze muda 😅😅Hao CCM ni dini zote wana hawana noma ...Huku raia wanauana.Ukute katumwa na mwenezi
Njaa hamuabudu Mungu anatumika, na hana uelewa wa dini yoyoteKuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akohubiri Waislam watu wajenga chuki ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.
Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
Mashehe wengine tusiwachukulie serious labda Alhaj Kundecha pekee
Sheikh kipozeo Jamaa huwa msema kweli sanaLabda Sheikh Kipozeo
Hawa jamaa wanatuchanga maana CCM wanapenda kuleta mijdala watu wapoteze muda 😅😅Hao CCM ni dini zote wana hawana noma ...Huku raia wanauana.
ataleta chuki kwa wenye imani haba wenzie na wafia dini wa mchongo kama yeye 🐒,Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!
Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.
Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly , kama siyo hivyo basi by necessary implication
Lakini akili na uwezo wake wa kupambanua mambo unafanana na uislam na waislamu.Huyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.
Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...