Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication

Huu ndiyo ubunifu wa Makonda, kweli CCM imeishiwa hoja,kumkodi huyu kichaa eti kuishusha Chadema.
 
Wewe ndio umemjua leo Mwaipopo?
Hamjui kibaka Mwaipopo huyo kawaibia waislamu swala Tano na mihadhara yake ya kusingizia kuwa Wakristo kibao wanaslimu wanafukuzwa majumbani akaomba misaada kibao ya kujenga misikiti Eti Walau wawe wanalala misikitini Kwa kuanzia sababu wengi wanaosilimu wanaume waislamu wakampa mahela kibao akajenga vimisikiti kibao barabara ya Dar kwenda mbeya Hadi porini barabarani barabara kuu vile vyenye rangi ya kijani juu waamini uislamu Tanzania Wakristo wamesilimu Kila Kona ile misikiti hiyo ya barabarani barabara ya mbeya Kwake ya Dar mbeya mingi wanaishi mijusi na ngedere hakuna Cha mwislamu hata mmoja eneo Hilo majani yameota Hadi kibla

Sema alienda Saudi Arabia au wapi sikumbuki vizuri wakapata taarifa kuwa tapeli wakampangia hoteli kubwa wakaweka DVD za ngono za EX kwenye chumba kumpima na kamera zinamulika Kipindi hicho bwege hajui

Akawa hata halali kumbe anaangalia tu video za X walimfukuza kama mbwa hata hajuruhusiwa kutoa mawaidha kule na ripoti zake za mamilioni Tanzania Wakristo wanaslimu kuwa waislamu

Binafsi nimpongeze kuibia waarabu waliuza Babu na Bibi zetu na kubeba biashara ziwe pembe za ndovu nk hawajawahi lipa TRA Hao akina Tip tip nk Wacha awaibie waturudishie Walau kiasi

Hajatapeli Watanzania Sina kesi naye Sheikh Mwaipopo songa mbele kwapulia Hao waarabu waislamu Babu zao ukoo wa Tip tip wametuibia sana wakwapulie wekeza Tanzania
 
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication

Ccm wenyewe wanakenua tu maana anaichafua cdm
 
Huyo shekh anapokea pesa kila mwezi kutoka kwa waarabu waliouziwa bandari

Na ameahidiwa kujengewa misikiti mbeya na nyanda za juu kusini

Pesa za mwarabu zinamfanya awaone ndugu zake wa mbeya km takataka
Sasa kwanini wasimuhamishie kabisa Dubai?
 
Huyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.

Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...
Kwani hana majirani zake wa karibu wakamfundisha adabu?
 
CCM imeshaona haipo tena hata ndani ya nafsi za wafuasi wake. Imeamua kuparanganya nchi ili chama kitakachokabidhiwa nchi kijikute katikati ya machafuko
Watachafukwa wao ccm maana Mungu daima yupo upande wa wanyonge
 
Back
Top Bottom