Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Huyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.

Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...
Naona Leo umeamka vizur mkuu na siku iishe hivi hivi.
 
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication

Analipwa na CCM
 
Huyu auwawe tu
 
Kama ametumwa,basi aliemtuma na yeye akili zao ziko mbioni kuexpire
Kwa kifupi huyo jamaa akili hana ,hana ata chembe,na muslims mnisamehe ila wasemaji wengi wamekua wakizungumza kwa mihemko/chuki/udini
Tukiwaambiwa maza ameleta udini nchini mnatuona wabaya
 
Yawezakuwa anajua ama hajui madhara yake.
Inanikumbusha miaka ya nyuma baadhi ya watu walipohoji uhalali wa kuchinja wanyama Kwa chakula,ni Kwa nini iwe dini moja.
Nadhani lilitokea Mwanza na kupelekea uharibifu Buseresere/katoro.
Kulilazimika kutumika hekima kubwa ili kurudisha jamii katika utulivu.
 
Huyo shekh anapokea pesa kila mwezi kutoka kwa waarabu waliouziwa bandari

Na ameahidiwa kujengewa misikiti mbeya na nyanda za juu kusini

Pesa za mwarabu zinamfanya awaone ndugu zake wa mbeya km takataka

Umekuwa msemaji wa huyo sheikh , Ndivyo alikuambia ??
 
Huyu Ni mpumbavuu Mnoo.. Yaani Huyu Jamaa Ni mdini Mnoo.. Samia unaona Hayo...
 
Wanyakyusa ni watu makini sana...ila ukimkuta fala anakuwa mpuuzi kwelikweli....
Hawa jamaa nimegundua kitu huwa wakiamua kula na wajinga wanakula mpaka wanapitiliza huyu jamaa ni mtu wangu wa karibu sana ukikaa naye kuongea mambo mengi ana akili nzuri tu sema hapa kaamua tu kuchangamsha genge na anapata pesa nzuri tu kaamua kuishi kwa style hii so mumwelewe tu.
 
Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication

Kumbe CCM ya Samia ni chama cha kiislamu na kizanzibari!
 
Back
Top Bottom