Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Mwaipopo akemewe ataleta balaa la chuki za kidini

Kuna hate religious speech ya huyu anayejiita sheikh Mwaipopo ina trend hiko X (Tweeter), akihubiri Waislam watu wajenge chuki dhidi ya ukristo. Huyu anaipeleka nchi pabaya. Kuna wajinga watamsikiliza! Kama ametumwa na CCM, basi CCM mnachanga karata vibaya!

Huyu ni hatari, serikali, mamlaka husika mkemeeni.

Nape ame mute , ikiashiria ana baraka zake, directly, kama siyo hivyo basi by necessary implication

,Namuunhga mkono Sheikh Mwaipopo, anaongea ukweli mtupu, Chadema ni washenzi na wadini sana,
Hizi porojo na kampeni zenu zinawafaa nyinyi wenyewe,
Sheikh Mwaipopo kamatia hapo hapo
Huyo ni mnyakyusa wala sio shekhe waislamu hatumuungi mkono angalia tu alivyo mtu wa hovyo kabisa.

Hakuna muislamu anaweza kuunga mkono huyo mjinga ,clip imesambaa magroup kibao watu wanampinga...
Acha kuwa muoga wewe, hawa wanajifanya sisi watanzania, lakini hakuna kitu, hawampendi Samia just because ni Mwislamu,
Hushangai ni wewe peke yako humu, halafu wote waliovalia njunga ni mbuzi tupu.*
Hapa litawaka moto na bani itanihusu, tusubiri
 
Shida ya hawa ndugu zetu akina Bakari, Fadhili, Mwajuma etc. Wakati wengne wanapambana kupata elimu dunia wao wako busy kutafuta historia ya mtume na kukazana kuoa wake wa4. Sasa mwsho wa siku wanajaa chuki sababu maisha kwao yanakuwa magumu sana. Ukienda Tandika,Buguruni, Temeke huko wamejaa sana ndo kunanuka umaskini. Lakn njoo Masaki huku,Mikocheni, Mbezi beach etc. utatukuta tumejaa huko. Hii ndo inawafanya wajae chuki. Ila ukwel usemwe popote alipopita mwarabu ameacha legacy ya ujinga uliokithiri. Hii ndo inayowafanya wajae na chuki
 
Hivi serikali inakuwaje inawaacha watu kama huyu MWAIPOPO wanaleta chuki katika nchi?

Hili jambo halikubariki, atavuruga nchi huyu!
 
Huyo shekh anapokea pesa kila mwezi kutoka kwa waarabu waliouziwa bandari

Na ameahidiwa kujengewa misikiti mbeya na nyanda za juu kusini

Pesa za mwarabu zinamfanya awaone ndugu zake wa mbeya km takataka
misikiti Sio Kama Makanisa Kwamba Kila Mtumishi Na Kanisa Lake,mwaipopo Hawez Kujengewa Msikiti Ukawa Mali Yake Msikiti Ni Mali Ya Waislam Na Sio Shekhe,hata Kama Itakuwa Mali Yake Waislamu Wakijua Huo Msikiti Ndo Itakuwa Mara Ya Mwisho Waislamu Kuingia, Unawajua Waislamu Unawasikia.Watu Wanajenga Misikiti Wanapotea Wanaachia Waislamu Hawakai
 
Hayo yoote wameyataka wenyewe chadema,lile suala la DP World na kuliingiza kanisa kwenye udini na harakati zinafufua watu wenye misimamo kama hiyo ya mwaipopo,wamelikoroga Hilo
 
Sheikh Mwaipopo ni mfuasi wa allah na mtumishi wa ccm
 
Shida ya hawa ndugu zetu akina Bakari, Fadhili, Mwajuma etc. Wakati wengne wanapambana kupata elimu dunia wao wako busy kutafuta historia ya mtume na kukazana kuoa wake wa4. Sasa mwsho wa siku wanajaa chuki sababu maisha kwao yanakuwa magumu sana. Ukienda Tandika,Buguruni, Temeke huko wamejaa sana ndo kunanuka umaskini. Lakn njoo Masaki huku,Mikocheni, Mbezi beach etc. utatukuta tumejaa huko. Hii ndo inawafanya wajae chuki. Ila ukwel usemwe popote alipopita mwarabu ameacha legacy ya ujinga uliokithiri. Hii ndo inayowafanya wajae na chuki
Wewe mbuzi ina maana umesoma kunizidi kwa lipi, kielimu hunizidi, kimaisha nimekupita mbali sana unaganga njaa tu
Na uhalisia mtaani nyinyi mbuzi ndio mnaoongoza kwa umasikini, wote mnatoka vijijini mnakuja kuombaomba mijini husu
Na Masaki yote imenunuliwa na wenye hela, na unajua ni nani fika ni jamii gani wana hela Dar es Salaam, zile nyumba mlikuwa mnakaa za serikali huko zote zimeuzwa kwa wenye hela
Na tukiangalia takwimu za umasikini nchini ni miji yenu ndio inaoongoza kwa umasikini
Lakini mmejaa humu kupindisha uhalisia,
1705746006572.png

1705746049661.png
 
Nimeogopaaa saaana na nashangaa kweli hapa ni Tanzania kweli au naota!! Kweli CCM wamefikia hapa kuleta udini kwenye nchii??Jamani waislam tujitahidi kuheshimu wenzetu.mbona sijawahi kusikia wakiristo wakiwasema vibaya waislam??
 
Koran 9;23. Enyi mlio amini!(waislamu) Msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri (wasio waislamu)kuliko Imani (uislam)...
 
Anaongea kile kilichoandikwa kwenye quran
Quran anaijulia wapi huyo maamuma,hebu linganisha ongea yake na ongea ya Sheikh Kundecha utaona tofauti kubwa,wapi umemsikia ananukuu aya za quran naye alikuwa anatoa mashudu aliyolishwa na Makonda
 
Back
Top Bottom