Mwai Kibaki awadharau watanzania!

Mwai Kibaki awadharau watanzania!

Watanzania tukigongwa utosini na ukweli tunaanza kulalamika.

Holidays tu tunazimalizia majumbani mwetu. Kuna Watanzania wengi hata vivutio mbali mbali vya ndani hawajawahi kuvitembelea achilia mbali kutoka nje ya mpaka wa nchi. Siyo cha kushangaza kukutana na watalii wengi wanaifahamu vizuri Tanzania zaidi ya Watanzania wenyewe.

Hata mizunguko ya Africa mashariki kwa Watanzania ni luxury achilia mbali kwenda kutafuta kazi au ujasilimali kwenye nchi hizo.

Sijui ni kuridhika kimaisha au ni ukosefu wa uwezo kifikra katika kubuni mbinu mpya kimaendeleo.

Ukweli ni ukweli pamoja na kwamba unauma.
 
jina na huyo kikuyu mwizi wa kura na mauaji ya wakenya zaidi ya 1500 tutalifuta CDM ikichukua nchi
 
Kwa mtu yeyote makini kama aliangalia Taarifa za habari leo saa mbili usiku kuna mambo mawili lazima atakuwa anajiuliza.

Kibaki hotuba ya kwanza aliitowa alipozinduwa hiyo barabara yake waliyopeana na JK, maneno aliyotamka pale yalinishtuwa kidogo .

Kwanza kwa mtu yeyote makini anayeijuwa old Bagamoyo road inakaliwa na watu wazito au wenye maisha mazuri Jijini Dar es salaam tofauti na Kilwa road, sasa kitendo cha Kibaki kusema Watanzania wamwambie awasaidie nini ili iwe kumbukumbu akipita hii ina maana kwamba Kenya imeshajitosheleza kila kitu na sasa ina hadhi ya kutoa misaada.

Pili mkutano wake wa pili alikuwa anawahutubia Wazee wa CCM wa Mkoa wa Dr es salaam na si Watanzania wote, alikuwa sahihi kabisa kuwaambia watembee maana wote pale ni watu wa pwani na hata Arusha hawapajui sembuse Nairobi?

Ukiwa mdadisi zaidi kuna kitu tunafichwa kinachoendelea kati ya Kikwete na Kibaki, haingii akilini mtu aliyeingia madarakani kijambazi kama Mwai Kibaki na kusababisha over 1000 death of civilians leo tunakuja kumreward barabara?

Sasa hatuna haja tena ya kupigia kura mlima Kilimanjaro ili ushinde maajabu ya Dunia kwa sababu Tanzania yenyewe ni ajabu la dunia tosha kabisa.
 
Tumezoea dang'anya dang'anya tu, tukiambiwa ukweli tunaumia. Ya kupigia kelele siyo ya Kibaki bali matokeo mabovu O level. Matokeo kama haya Kenya, panachimbika. Gharama ya kumsomesha mwanufunzi sekondari sio ndogo(private wastani Tsh 700,000 kwa mwaka) Aliyetuloga katupata kweli.
 
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.

Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?

Source ITV habari saa 2000hrs usiku

Wakenya ni kima tu walio kosa mkia.
Angalia sura ya kibaki, inafanana na binadam?

Na nyani halioni ku..ndu lake.

Wakenya ni wanyama sio binadamu kichwani.
Hata wenyewe kwa wenyewe udharauliana na kubaguana.
Wamebase kwenye ukabila na utaifa.

Sie watanzania tumeelimika kiubinadam, tumestarabika.
 
Alikuwa anawaambia wazee wa Dar wengi wao hata Kibaha wana miongo kadhaa hawajafika wakifika wamebebwa na makosta ya maccm.
 
Kwa mtu yeyote makini kama aliangalia Taarifa za habari leo saa mbili usiku kuna mambo mawili lazima atakuwa anajiuliza.

Kibaki hotuba ya kwanza aliitowa alipozinduwa hiyo barabara yake waliyopeana na JK, maneno aliyotamka pale yalinishtuwa kidogo .

Kwanza kwa mtu yeyote makini anayeijuwa old Bagamoyo road inakaliwa na watu wazito au wenye maisha mazuri Jijini Dar es salaam tofauti na Kilwa road, sasa kitendo cha Kibaki kusema Watanzania wamwambie awasaidie nini ili iwe kumbukumbu akipita hii ina maana kwamba Kenya imeshajitosheleza kila kitu na sasa ina hadhi ya kutoa misaada.

Pili mkutano wake wa pili alikuwa anawahutubia Wazee wa CCM wa Mkoa wa Dr es salaam na si Watanzania wote, alikuwa sahihi kabisa kuwaambia watembee maana wote pale ni watu wa pwani na hata Arusha hawapajui sembuse Nairobi?

Ukiwa mdadisi zaidi kuna kitu tunafichwa kinachoendelea kati ya Kikwete na Kibaki, haingii akilini mtu aliyeingia madarakani kijambazi kama Mwai Kibaki na kusababisha over 1000 death of civilians leo tunakuja kumreward barabara?

Sasa hatuna haja tena ya kupigia kura mlima Kilimanjaro ili ushinde maajabu ya Dunia kwa sababu Tanzania yenyewe ni ajabu la dunia tosha kabisa.

Kuna wakenya wangapi ambao hata Nairobi hawapajui, tujiulize hivo.
Kenya ni nchi masikini sana, ila wakenya wanajipamba sana, kivile wanapamba nyumba rangi nje wakati ndani ni vumbi na wanalala chini.

Utakuta mkenya kavaa suti na shati limepasuka mgongoni. Chupi ya kupasuka, soksi za kupasuka, alafu anajifanya anauwezo nzuri.

Huyo Mwai Kibaki utakuta anao jamaa kibao ambao hata pesa ya kununua unga wa sembe hawana, je pesa ya nauli kwenda nchi nyingine wataitoa wapi?

kha, kama kikwete kamtuma aseme hivo kwa wazee wa pwani ama watanzania au wazee wa ccm kakosea.

Kikwete awaongezee mshahara wazee wetu ili waweze kutembea.

Unyanyasaji wa watu masiki kwa vile wao wanatembea na ndege private.
 
Inawezekana walitaka kumpa jina la shule fulani - Mwai Kibaki Secondary School - akakataa baada ya kujulishwa matokeo ya shule zenye majina ya wanasiasa wetu.
 
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.

Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?

Source ITV habari saa 2000hrs usiku

JK alituwakilisha!
 
eti wa Tz ni wachache KE.. siku ukifika Gikombaa pale Nairobi utafikri uko kariakor
 
Back
Top Bottom