Naishi na mke na familia yangu vizuri sana natamani na wewe kama ni mwanaume uwe house boy uonenitakavyokumiliki vizuri na kama mwanamkwe nitakuacha umilikiwe na mkwe wangu tu..............swala lipo wazi hilo kama hukuelewa ni wewe......kawaida ya watu kama wewe unaelewa juu juu "think Big"Lo! yatakushinda ZIPUWAWA!!!!!!! Kama wewe ni mwanamume katu hutaishi na mke! kama we mwanamke basi siku moja utasutwa!
Watu wote tumemsikia huyo mzee lakini wewe na negativity zako, umesikia unayoyawaza kichwani mwako. Kazungumza kiswahili hukumwelewa, angezungumza kiingereza sijui ungetoa thread gani!!!!!!!!!!!
Tuseme alimaanisha ulivyosema, je wewe hata mikumi ulishatembelea? pengine hata coco beach hupajui
Naishi na mke na familia yangu vizuri sana natamani na wewe kama ni mwanaume uwe house boy uonenitakavyokumiliki vizuri na kama mwanamkwe nitakuacha umilikiwe na mkwe wangu tu..............swala lipo wazi hilo kama hukuelewa ni wewe......kawaida ya watu kama wewe unaelewa juu juu "think Big"

Zomba badilisheni tu Mpe Laila Odinga maana mna malengo yenu
Kapewa barabara kwa sababu wote ni wezi wa kura. Na kwa vile kuna uchaguzi pia nchini Kenya sasa hivi kaja kuchukua mbinu mpya za uchakachuaji ampelekee kijana wake Kenyatta akaibe kura kwani kabanwa mbavu na Odinga.Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
ni kweli... idadi ya wa k hapa tz ni kubwa kuliko ya wa Tz huko Kenya
Anatupa changamoto kuwa
tutoke na tujifunze wenzetu wanafanyaje huko nje,biashara na kujifunza
mambo mapya sio kukaa pwani tu na kubakia kupiga domo!
Ishakuwa tabu sasa...
Angesema Wa TZ hatujui Kiingereza pangezuka balaa hapa...........