MOKILI MOBIMBA
Member
- Aug 21, 2011
- 25
- 7
Katika kile ambacho nahisi ni hotuba ya kuishukuru serikali ya Tanzania kwa Barabara moja ya kihistoia kufutwa jina lake la awali na kupewa jina la kiongozi huyo wa Kenya ambaye nahisi bado Kiswahili kwake ni tatizo japo nchi yake imeonekana kama moja ya nchi inayoongea Kiswahili kwa ufasaha hali iliyopelekea taasisi nyingi za kimataifa kupeleka kazi za tafsiri nchini Kenya. Katika hotuba yake ya shukrani raisi huyo wa Kenya amewataja tena bila hofu kwamba watanzania huwa hawasafiri hivyo amewaomba watanzania wajifunze kusafiri. Sikumuelewa alimaanisha kusafiri kwa namna gani..