Mnyamwezi wa Urambo
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 928
- 275
Kwahili naungana mkono na babu Kibaki! Jamani kwani uongo kuwa watanzania hatutembei sana nje ya nchi?
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
Hivi tumekosa watu wa kuwaenzi mpaka tunamuenzi Kibaki, mtu aliyesababisha watu kupoteza maisha kwa sababu ya uroho wake wa madaraka?
SO many Tanzanians in mombasa.In kongowea market alot of the food comes from tanzania. people have relatives in tanga and in tanga people have relatives in mombasa.Mombasa pia kuna wantanzania wengi sana wa biashara.ni kweli... idadi ya wa k hapa tz ni kubwa kuliko ya wa Tz huko Kenya
Ili iitwe sheikh Ponda road?Kwanini haikubadilishwa ile Nyerere road?
Sioni ubaya!! Huyu ndiye Rais pekee Afrika kufanya maendeleo yakaonekana!! Barabara Kenya hasa Nairobi ni za kisasa kupita baadhi ya vinchi vya Ulaya.Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
Rais wa kenya Mwai Kibaki leo akiwahutubia wazee wa Dar kwa niaba ya Watanzania amesema ''Watanzania hamjazoea kutembea'' maana yake kuwa watanzania wengi wanaishi Tanzania tu Je hi si dharau kwa Watanzania? Inamaana Watanzania huushi pwani tu na hatutoki nje ya nchi hivyo akasisitiza tuende kenya.
Hata hivyo kitendo cha serikali ya Tanzania ikiongozwa na Rais JK Kikwete kuipa barabara ya Old Bagamoyo yenye historia ya Tanzania na kumpa Mwai kibaki, ikumbukwe Mwai kibaki aliingia kwa nguvu Kenya na kusababisha mauaji ambayo leo hii hatosaulika kenya. Sisi Watanzania ni kipi kilichotufanya barabara ya kihistoria kupewa Kibaki?
Source ITV habari saa 2000hrs usiku
lo! Yatakushinda zipuwawa!!!!!!! Kama wewe ni mwanamume katu hutaishi na mke! Kama we mwanamke basi siku moja utasutwa!
Watu wote tumemsikia huyo mzee lakini wewe na negativity zako, umesikia unayoyawaza kichwani mwako. Kazungumza kiswahili hukumwelewa, angezungumza kiingereza sijui ungetoa thread gani!!!!!!!!!!!
Tuseme alimaanisha ulivyosema, je wewe hata mikumi ulishatembelea? Pengine hata coco beach hupajui
Ili iitwe sheikh Ponda road?