Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196
Unatumia nyaraka za mabeberu ku justify ukwanza wake. Shenzy type
 
Watumwa !!!kuwa mtumwa ni uamuzi wako,kwani wahadzabe na wabarbaig ni watumwa wa wazungu?
Na tulikuwa watumwa, na mpaka Leo waafrica ni watumwa wa ngozi nyeupe.
 
Kama jay z mdomo
FB_IMG_1591522308599.jpeg
 
Nakubali hili sijakata ila nachojua ni kuwa lazima kuwe na creator behind us na kingine nacho amini ni kuwa pia sisi ni miungu watu ila maarifa yako hidden(secret doctrines)ambazo zinapelekea self will power na kuwa immortals kwenye eternal life.
💯 Kilichofanywa ni kuua self will power na kuweka watu wakuwafuata, eti lazima ufanye yale tu yaliofanywa na fulani.

Watu takribani 2/6 ndio walifakiria kwa ajili ya watu billion 8.5 😀
 
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196
Who knows, is just a theory. Everyone pull a chain on their side, so it's hard to prove about this one.
 
Watumwa !!!kuwa mtumwa ni uamuzi wako,kwani wahadzabe na wabarbaig ni watumwa wa wazungu?
Maisha yao wale yanafanya tuonekane tumetokana na nyani.
Watu wanaishije kama wanyama wanaishi misituni na kula nyama mbichi. Utatawalaje dunia kwa namna ile?
 
Yani hapa ndo napata picha kuwa sisi ni miungu ndani ya UUNGU.hawa europoids wanatumia biblia kufikia lengo flani very dangerous.
[emoji817] Kilichofanywa ni kuua self will power na kuweka watu wakuwafuata, eti lazima ufanye yale tu yaliofanywa na fulani.

Watu takribani 2/6 ndio walifakiria kwa ajiri ya watu billion 8.5 [emoji3]
 
Kemetic isnt a theory kwani wazungu si walitukuta na customs zetu tena walirudi baada ya kupata doctrines za maarifa toka huku huku.
Who knows, is just a theory. Everyone pull a chain on their side, so it's hard to prove about this one.
 
Dunia inatawaliwa vipi ?wakati dunia kuitawala haimaanishi wenzako bali wanyama,ndege,mazingira na vya majini
Maisha yao wale yanafanya tuonekane tumetokana na nyani.
Watu wanaishije kama wanyama wanaishi misituni na kula nyama mbichi. Utatawalaje dunia kwa namna ile?
 
Hizo ni sanamu ambazo zingine hazipo ukienda misri unakuta michoro ya warabu na sanamu nyeupe hiyo ni transformation nachomaanisha africa nzima ilikuwa na black people overall na ile misri yote ni ya watu weusi kuanzia kujenga yale matomb,pyramid,mafarao,magodess,gods,sculptures ,yale majengo,maboati,masanamu yote yale na michoro yote africana ni completely black people thats why hizo ni sculpture ndani ya tombs or underground early caves around 20000bc huko tunalinganisha na kizazi chetu na tunafanana nao kama ushahidi period.
Hivi vitu mimi sioni kama vina tija.
Hata wachina wana masanamu yao nao wanalinganisha pia.
Wahindi pia.
 
Tukiangalia pia kuhusu "Zinjanthropus" fuvu la mtu "anayeaminika" kuwa ni wa kale zaidi.
(Hapa tusahau mambo ya binadamu alitokana na nyani tumeamua kujikita kwenye imani kama REALITY alivyoanza)

Je, hili fuvu linaweza kuwa ni kweli ni la binadamu wa kwanza?
Kwanini? Kwasababu kabla halijagunduliwa hili waliamini binadamu wa kwanza alitokea China , kutokana na kugundua mafuvu ya kale nchini humu waliyoyapa majina Homo Eractus au Peakin Man miak ya 1920s. Kutokea huko miaka ya 1920 hadi 1960 dunia ilikuwa inaamini binadamu wa mwanzoni aliishi China.

Walivyokuja kugundua lile fuvu la Tanzania waliamua kusema ni binadamu wa kwanza baada ya vipimo kuonesha aliishi miaka mingi kuliko mafuvu ya uchina. Basi record ya uchina ikavunjwa.

Swali, je ni kweli "zinjanthropus" ndiye binadamu wa kwanza? Siyo kwamba ni vile hawajagundua mengine, na pengine siku hii record ya huyu ikavunjwa?

Pili, Kuna kitu kinaitwa Noah's flood. Historia inaonesha hii flood ilivyotokea kila kitu kilipotea. Haiwezekani kwamba mtu wa kale pengine eneo alipogundulika hapakuwa chanzo chake? Pengine yalikuwa matokeo ya flood? Akasafirishwa?

REALITY nimeona sehemu umesema napinga niseme kama mimi ni mchina. Hapana mimi nataka tuu tufikirie ndani zaidi.

Haya! I think you meant this

[SUB]
Afrika Skull Ast.jpg
[/SUB]

Utaona Tanzania Ngaloba na Ndutu huku Ethiopia ikiwa na Hierto, Omo Kibish na Bodo.
 
Sio kujifariji kuna ukweli kwenye hili

Jr[emoji769]
Mi kwa uelewa wangu ni kwamba mti unaoshambuliwa ndo wenye matunda. Kitu kingine huwa najiuliza kwanin sisi Waafrika tunabaguliwa na kuandamwa sana na hizi race zingine? Naweza ona kuna kitu flan behind the scene. Wakuu shusheni nondo sababu kila siku mimi huwa najiona mwanafunzi.
 
Back
Top Bottom