Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Paula, Tigris kuwa Mashariki ya Kati haina uhusiano na 'Mwanadamu wa awali kuwa gringo'.
No doubt, ila huko sikufika kabisa Isajorsergio.
Nilikuwa hapa "bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE."
 
Nikusamehe why?
Nachokuambia hiyo knowledge ya kemetic ipo very complex maana watu memory zao zishajaa science,theology na indoctrination in various education aspects or perspectives ...

Kemetic ni pana sana na hayo yote walioandika hawa europoids na other races ni viceverser,hayo maswala ya mito yote yaliandikwa na western na sio afrikanas ,sisi tulikuwa na lugha zetu ,miungu yetu na utajiri pamoja na technologia kubwa,if you want to know something try to find a source and not pickup some thoughts from places that you think matters and start connecting dots on an unrelated area of content.

Wewe kama ni mchina tuambie asili yako tujifunze au kama muafrika mimi nadhani nimeleta mada ya utumbo so please ngoja niketi nisikilize historia yetu ya watu weusi toka kwa mwalimu paula.
REALITY nisamehe.
Lakini kama unajua si unanifundisha tuu?
 
No doubt, ila huko sikufika kabisa Isajorsergio.
Nilikuwa hapa "bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE."
Kwa kutumia aspect ya REALITY na jiografia ya Tanzania pia ukitumia maandiko ya historia ya kale unaweza kuona mantiki!

Same kwa Uturuki, Iraqi, Syria na Uajemi utaona maana!

Je Eden ilikuwa na majengo Au ilikuwa asilia?
 
Majengo ikimaanisha ilijengwa nyumba? Umeniacha kidogo.

Unajua hoja ya REALITY mimi sijaipinga. Sema anasema napenda kutafuniwa nimeze tuu.

Mimi nilichokuwa namtaka ni aniambie vigezo alivyovitumia, kwa lengo la kujifunza tuu. Ili siku na mimi nikimwambia mwanangu Eden ilikuwa Tanganyika nijue natumia vitu gani ku-support hoja yangu.

Mfano wewe umeweza kuona inaweza kuwa na "mantiki". Nipo tayari kujifunza. Naomba nifungue akili yangu.
 
Wazungu wanajaribu kuficha ila atleast hao wamejitahidi embu pitia.
Kwa kutumia aspect ya REALITY na jiografia ya Tanzania pia ukitumia maandiko ya historia ya kale unaweza kuona mantiki!

Same kwa Uturuki, Iraqi, Syria na Uajemi utaona maana!

Je Eden ilikuwa na majengo Au ilikuwa asilia?
IMG_20200607_014712_509.JPG
IMG_20200607_014652_512.JPG
 
Majengo ikimaanisha ilijengwa nyumba? Umeniacha kidogo.

Unajua hoja ya REALITY mimi sijaipinga. Sema anasema napenda kutafuniwa nimeze tuu.

Mimi nilichokuwa namtaka ni aniambie vigezo alivyovitumia, kwa lengo la kujifunza tuu. Ili siku na mimi nikimwambia mwanangu Eden ilikuwa Tanganyika nijue natumia vitu gani ku-support hoja yangu.

Mfano wewe umeweza kuona inaweza kuwa na "mantiki". Nipo tayari kujifunza. Naomba nifungue akili yangu.
Yes Paula, majengo/nyumba ndio nilimaanisha.

Kusema mantiki nikutumia nadharia zote mbili kwa muktadha wangu! Endapo Eden ilikuwa asilia (Natural/Boreal) basi tafiti ya sehemu ya Afrika itakuwa na maana.

Endapo Eden ni form ya mji/miji ya kale basi Syria, Kusini Uturuki, Iraqi na Uajemi itakuwa na maana.

Besides that bado yaweza kuwa fiction story! (Moja kati ya haya matatu kuna jawabu).
 
Soma hii,hapa wasomaji wa maandiko hawajajua uhalisia wa eneo la punt ila umeona wamesema ni LAND OF GODS ,pili kufika unapitia NILE tatu wanawanyama wengi,dhahabu na manukato ,na huyo ahmed anasema punt inaweza kuwa mitaa ya somalia sasa navyojua mimi ni kuwa zamani kulikuwa na ardhi na sio border kama zamani hivyo kwa ramani kuanzia tanzania mpaka huko somalia ni punt na kinachofanya ni prove ni vitu vya ajabu vya kiungu kama mlima wa munguvOLDONYO LENGAI. ila ukipata kitabu ndo utasoma uelewe japo ni historia nzuri ya kweli na pana ni hilo tu kwa hiyo punt na nile
IMG_20200607_015440_331.jpeg
 
It was natural
Yes Paula, majengo/nyumba ndio nilimaanisha.

Kusema mantiki nikutumia nadharia zote mbili kwa muktadha wangu! Endapo Eden ilikuwa asilia (Natural/Boreal) basi tafiti ya sehemu ya Afrika itakuwa na maana.

Endapo Eden ni form ya mji/miji ya kale basi Syria, Kusini Uturuki, Iraqi na Uajemi itakuwa na maana.

Besides that bado yaweza kuwa fiction story! (Moja kati ya haya matatu kuna jawabu).
 
Yes Paula, majengo/nyumba ndio nilimaanisha.

Kusema mantiki nikutumia nadharia zote mbili kwa muktadha wangu! Endapo Eden ilikuwa asilia (Natural/Boreal) basi tafiti ya sehemu ya Afrika itakuwa na maana.

Endapo Eden ni form ya mji/miji ya kale basi Syria, Kusini Uturuki, Iraqi na Uajemi itakuwa na maana.

Besides that bado yaweza kuwa fiction story! (Moja kati ya haya matatu kuna jawabu).
Tuanze na ku-test hizi "nadharia".
Kwanini unasema kama ilikuwa natural kwa Africa itakuwa na maana?
 
Wazungu wanajaribu kuficha ila atleast hao wamejitahidi embu pitia.View attachment 1470514View attachment 1470515
REALITY ikifuatilia kwa makini historia unayofundishwa aiakisi uhalisia wa maisha ya kale! Lakini kwa kutafiti historia asilia utagundua kitu katika mabano. Kilichobaki kinanitatiza ni Black Sea, Caspian Sea, Red Sea, Nile na Persian Gulf niweze kusema Afrika!
 
Uweze kusema africa kuwa aje?sijakupata hapa
 
Tuanze na ku-test hizi "nadharia".
Kwanini unasema kama ilikuwa natural kwa Africa itakuwa na maana?
Yes, Afrika itakuwa na maana kutokana na ukanda wa Afrika Mashiriki, Kati na Kusini ya Kati (juu ya Namib na Kalahari) kuwa Natural/Boreal kuakisi historia ya Eden 'asilia'. Ikisapotiwa vilivyo na Afrika Magharibi (Lower Sahara Lands) na historia ya Mali!

In other hands! Hapo suala la watoto kutupwa nchi tofauti utaona we have Lower Sahara Lands, East and Central na Great Cairo.
 
Aisee Impressive, nipo nafuatilia mada nimesoma comments zote nataka kujifunza vitu hapa maana dunia ni kubwa hii naweka kambi hapa mpaka mwisho.
 
Tukiangalia pia kuhusu "Zinjanthropus" fuvu la mtu "anayeaminika" kuwa ni wa kale zaidi.
(Hapa tusahau mambo ya binadamu alitokana na nyani tumeamua kujikita kwenye imani kama REALITY alivyoanza)

Je, hili fuvu linaweza kuwa ni kweli ni la binadamu wa kwanza?
Kwanini? Kwasababu kabla halijagunduliwa hili waliamini binadamu wa kwanza alitokea China , kutokana na kugundua mafuvu ya kale nchini humu waliyoyapa majina Homo Eractus au Peakin Man miak ya 1920s. Kutokea huko miaka ya 1920 hadi 1960 dunia ilikuwa inaamini binadamu wa mwanzoni aliishi China.

Walivyokuja kugundua lile fuvu la Tanzania waliamua kusema ni binadamu wa kwanza baada ya vipimo kuonesha aliishi miaka mingi kuliko mafuvu ya uchina. Basi record ya uchina ikavunjwa.

Swali, je ni kweli "zinjanthropus" ndiye binadamu wa kwanza? Siyo kwamba ni vile hawajagundua mengine, na pengine siku hii record ya huyu ikavunjwa?

Pili, Kuna kitu kinaitwa Noah's flood. Historia inaonesha hii flood ilivyotokea kila kitu kilipotea. Haiwezekani kwamba mtu wa kale pengine eneo alipogundulika hapakuwa chanzo chake? Pengine yalikuwa matokeo ya flood? Akasafirishwa?

REALITY nimeona sehemu umesema napinga niseme kama mimi ni mchina. Hapana mimi nataka tuu tufikirie ndani zaidi.
 
Mi nimeweka kituo nijifunze kuna nadharia nilizikuta kwenye mitandao za historia za wayahudi weusi zikanichanganya sana juu ya nini hasa cha kuamini, nadharia ya Eden kuwepo afrika nilipata huko pia japo eneo sio Tanzania, Huyo bwana alikuwa anaonyesha ramani ya africa ya miaka ya 1500 ambayo kuna baadhi ya makabila ya wayahudi kama Kabila la Juda lililokuwepo Maeneo ya Juu mwa Jangwa la Sahara upande wa Africa Magharibi, kufahamu historia ya kweli inahitaji moyo na gharama kubwa sana katika kutafuta ukweli wa haya mambo
 
Yes, Afrika itakuwa na maana kutokana na ukanda wa Afrika Mashiriki, Kati na Kusini ya Kati (juu ya Namib na Kalahari) kuwa Natural/Boreal kuakisi historia ya Eden 'asilia'. Ikisapotiwa vilivyo na Afrika Magharibi (Lower Sahara Lands) na historia ya Mali!

In other hands! Hapo suala la watoto kutupwa nchi tofauti utaona we have Lower Sahara Lands, East and Central na Great Cairo.
Hapa nitajifunza zaidi sipo vizuri kwenye ramani au jeografia.

Ila baada ya gharika ya noah source zinasema kila kitu kilipotea. Haufikirii pengine kabla ya gharika hizo asilia hazikuwepo? Pengine zilikuwa eneo lingine? Yaani dunia kama vile iligeuka geuka.
Btw, asante nimechangamsha akili yangu leo siku inaenda vizuri sana.
 
Asante, je huoni kwamba ukweli umefichwa kwenye ramani unayotumia sasa ndio chanzo cha kufanya dunia "igeuke geuke" na kutopata ukweli?
 
Back
Top Bottom