Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

[emoji23][emoji23]
Nakuunga mkono wimbo ulio bora ujaongelea mke mweupe bali mke mweusi
IMG_20200607_160208_261.JPG
 
I have never come across these Ideas before REALITY.
Sasa fanya hivi connect hivi vitu
Kemetic science
Anunaki
Bible and Qur'an
Science
Flat earth ideology
Space science
Formal education

Jaribu kuunganisha dots kuna kitu utagundua ambacho ni mchezo na kingine ni pure reality

Ni hilo tu
 
[emoji16][emoji16]mkuu hunijui hata mjini sikai na hata umeme situmii ila nanishati na mawasiliano ,karibu jungle mkuu
hauoni mpaka unakuwa au kuaccept kuwa brainwashed na race nyingine ni kwamba wewe ni weak. Weaker uwa dominated.
IMG_20200607_152829_906.JPG
 
Nikisema WE nawakilisha ila nishajikomboa kifikra period.
hauoni mpaka unakuwa au kuaccept kuwa brainwashed na race nyingine ni kwamba wewe ni weak. Weaker uwa dominated.
 
Back
Top Bottom