Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Yote yanawekana, ndio maana nilisema Caspian Sea, Mediterranean Sea, Black Sea na Ghuba ya Uajemi. Tukizifahamu hizi vizuri zitatupatia muangaza.

Hivi East and Central Africa kuna mito mingapi mikubwa?
Nipe hii kama assignment. Nitasoma halafu nitarudi hapa.
Kwa sasa hapo hamna ninachokjijua.
 
Hapa kuna kitu nimekifikiria sana kwanini biblia haijaweka wazi mambo ya kushite au waanzilishi na kufavour israel ambao kwa kifupi ni watu wakufata njia za kemet,hii ndo uwizi wenyewe na mageuzi ya mzungu kumtawala mtawala wake STOLEN LEGACY yani bible asili yake imegeuzwa kumfavour white race ingawa inaonyesha asili ya bible ni maandiko ya babu zetu yaliyokuwa interpretated na wakushite wenyewe na Mungu ndani ya mtu yani Amen-ra kwa kupitia michoro,alama na ishara juu ya uhalisia wa uwepo wetu duniani.

Inawezakuwa bible ipo relevant baadhi ya sehemu ila naanza kuamini kuna mengi ni fix wazi kabisa
Thanks for finding the kemetic writings.
Mkuu ukihitaji kuprove origin of man lazima eden itahusika na uwepo wa eden lazima historia za kale (Dini) zihusike. Unless binadamu amekuwapo tu!
 
Ofcourse yes aliumbwa na supreme being ndo maana nasema bible asili yake ni kemet ila wazungu wameitranslate na kufavour white race na kujaribu kuongeza mambo ambayo kimsingi ukipima kwenye mizani kwa mlango huru wa ufahamu unaona kabisa kuna vitu havipo sawa.

Bible ni reality ambayo ipo twisted na so called europoids,ndo maana nasisitiza tupate copy kushite kemetic tuanze HOW THE BEGINNING STARTED TUTAJUA TUNAONGOPEWA WAPI...japo BIBLE sasahivi ni trusted source ila nahisi kuna game tumechezewa katikati.
Maandiko yetu ya asili yanasema Adam aliubwa na Mungu?
Tatizo huwa haujibu kitu moja kwa moja REALTY.
 
.
FB_IMG_1591489564441.jpeg
FB_IMG_1591489468783.jpeg
FB_IMG_1591489454201.jpeg
FB_IMG_1591489360712.jpeg
FB_IMG_1591489342185.jpeg
FB_IMG_1591489306809.jpeg
FB_IMG_1591489277875.jpeg
FB_IMG_1591489201954.jpeg
FB_IMG_1591489183352.jpeg
 
OUR ENEMIES HAVE TAKEN OUR GRANDPARENTS HOUSE
FB_IMG_1591515101141.jpeg
 
THE FIRST LARGE SCALE SHIP WAS FROM AFRAKANA
FB_IMG_1591515001050.jpeg
 
Sina maana ya kubisha.
Ila haya mambo uliyoyaandika ni mazito ilibidi yasindikizwe na ushahidi za kihistoria.

Ninamaanisha je, haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?


Na mimi sibishi hili andiko ila najiuliza, ikiwa tunahuo uwezo na ufaham mkubwa kiasi hicho kama ilivyoelezwa, ilikuaje tukarubuniwa na kwanini tumeshindwa kurudi kwenye nafasi yetu?
 
Hapa ndo tunaambiwa tuungane turudi kwenye asili yetu WE HAVE EVERYTHING
Na mimi sibishi hili andiko ila najiuliza, ikiwa tunahuo uwezo na ufaham mkubwa kiasi hicho kama ilivyoelezwa, ilikuaje tukarubuniwa na kwanini tumeshindwa kurudi kwenye nafasi yetu?
 
Hapa ndo tunaambiwa tuungane turudi kwenye asili yetu WE HAVE EVERYTHING

Tuungane kama nchi, bara, au dunia nzima weusi waungane?

Yaani kutokuungana pekee ndio kumetutoa akili zote?

Inamaana hao wazungu/weupe kinachowafanya watutawale ni kuungana tu?
 
Tuungane kama nchi, bara, au dunia nzima weusi waungane?

Yaani kutokuungana pekee ndio kumetutoa akili zote?

Inamaana hao wazungu/weupe kinachowafanya watutawale ni kuungana tu?
Kwa kifupi ni kuwa waafrica wamesahau asili yao ambao ni wengi kwa indoctrination za europoids na kingine walitransform elimu ya wazazi wetu na kuibadilisha ili waweze kuwa the rulling race

Issue ni kurudi katika njia na kukikumbusha kizazi cha sasa kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na ndo asili kuu ya wanadamu,wazungu walifanya slavery kupitia wasaliti na kubadilisha uwalisia juu chini.

Ukifuatilia kiundani mzungu anatumia fiction technology na mabavu kupitia maarifa yetu sisi wenyewe ambayo tulikuwa nayo enzi na enzi,ndo maana they cant defeat us unless until guns they are weak and powerless,you might think wako intelligent and smart kumbe ni wajinga tu ,wako busy na artificial world na sio real nature,wako busy na space na hakuna space,wako busy na technology sijui wanarahisisha nini,wako busy na africa sisi hatuna time nao,wako busy na kuiba mali zetu sisi zimejaa tu,wapo busy na wanyama wetu sisi tunaishi nao...ndo maana THE GODS wanawapiga na dhoruba kila kukicha
 
Back
Top Bottom