Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Waafrika tunajifariji tu lakini ukweli utabaki palepale kwamba hao weupe wanatuzidi mbali tangu enzi na enzi.

Mtu unaishi mapangoni, unatembea uchi, unabadilishana mkufu kwa dhahabu halafu unadai wewe ni adavanced!

Inakuwaje mtu ambae ni advanced(mweusi) anaadaiwa na mtu alieprimitive(mweupe) halafu akina REALITY hata hawaelezi vitu vinavyoeleweka jinsi ambavyo wazungu waliwachanganya weusi hadi wakawazidi kwa kila kitu kichekesho hiki[emoji3]
Read books
 
Read books
Lakini mkuu sikatai katika kusoma hivyo vitabu ila ungekuwa specific tu kuwa tulizidiwa ujanja wapi? Maana kila nikifukunyua kudig hii ishu najikuta narudi pale pale kuwa hatukuwa more advanced kuwazidi na kama tuliwazidi wapi walikuja wakatuzidi, maana kipimo sahihi mpaka wanakuja hawakukuta hayo maendeleo yoyote zaidi wao ndiyo walitusaidia mengi. Mimi nahisi sisi waafrika tuna tatizo tangu kitambo Sana kwendana na tunavyoishi ukiresearch tunazingua Sana kwa Mambo mengi.
 
Ni ukweli mtupu....then waarab na wazungu wakatuletea dini zao za kucopy na kupaste.....everything kuhusu hizi dini viko plagiarized from our African roots.
We hio chupi uliovaa huja copy and paste?
Gauni ulilovaa huja copy and paste?
Sahani unayolia hicho kiporo huja copy and paste?
Kipi ulichobuni wewe ktk maisha yako yote ambacho Huja copy kwa watu au Taifa lingine?
Acha kuleta Kashfa za kitoto.
Wewe km umeamua kula nyamafu za mbwa usitukane wale wanaosema Nyamafu hizo ni HARAMU.
Hutaki kukubali km Mungu yupo hilo ni tatizo lako. Na Kaburini utaingia peke yako.

Wape amani waumini wa Mungu mmoja waendelee kumuabudu bila kurushiwa kashfa na viumbe wa ajabu ajabu km wewe.
Ahsanta
 
Lakini mkuu sikatai katika kusoma hivyo vitabu ila ungekuwa specific tu kuwa tulizidiwa ujanja wapi? Maana kila nikifukunyua kudig hii ishu najikuta narudi pale pale kuwa hatukuwa more advanced kuwazidi na kama tuliwazidi wapi walikuja wakatuzidi, maana kipimo sahihi mpaka wanakuja hawakukuta hayo maendeleo yoyote zaidi wao ndiyo walitusaidia mengi. Mimi nahisi sisi waafrika tuna tatizo tangu kitambo Sana kwendana na tunavyoishi ukiresearch tunazingua Sana kwa Mambo mengi.


Anajikanyaga tu ukimuuliza hao weupe waliwaovertake vipi watu ambao waliadvance kitambo.

Huku ni kujifariji tu hamna kitu
 
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.


View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196

Dini ndo kila kitu lakin pia inatenganisha watu
 
Back
Top Bottom