Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196
Bustani ya eden ni myth. Haijawahi kuwepo. Binadamu wa kwanza siyo Adam na Hawa
 
Sijabisha ila nimejaribu kureflect hivyo kuverify kuwa mwadamu wa kwanza aliumbwa na pili kuna sehemu alianza makao yake,si lazima awe adam na si lazima iwe eden ila ni AFRICA
Bustani ya eden ni myth. Haijawahi kuwepo. Binadamu wa kwanza siyo Adam na Hawa
 
Kwa kifupi ni kuwa waafrica wamesahau asili yao ambao ni wengi kwa indoctrination za europoids na kingine walitransform elimu ya wazazi wetu na kuibadilisha ili waweze kuwa the rulling race

Issue ni kurudi katika njia na kukikumbusha kizazi cha sasa kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na ndo asili kuu ya wanadamu,wazungu walifanya slavery kupitia wasaliti na kubadilisha uwalisia juu chini.

Ukifuatilia kiundani mzungu anatumia fiction technology na mabavu kupitia maarifa yetu sisi wenyewe ambayo tulikuwa nayo enzi na enzi,ndo maana they cant defeat us unless until guns they are weak and powerless,you might think wako intelligent and smart kumbe ni wajinga tu ,wako busy na artificial world na sio real nature,wako busy na space na hakuna space,wako busy na technology sijui wanarahisisha nini,wako busy na africa sisi hatuna time nao,wako busy na kuiba mali zetu sisi zimejaa tu,wapo busy na wanyama wetu sisi tunaishi nao...ndo maana THE GODS wanawapiga na dhoruba kila kukicha

Sasa sie u smart wetu au utawala na uwezo wetu uko wapi hapo? Tunarudi pale pale, tungekua na huo uwezo uliouhubiri hapa, hila zao zisingefua dafu.

Wangefanya sarakasi zao wee lakini kuna maeneo sisi tungeendelea kuwa vizuri zaidi yao.

Inamaana akili na uwezo wetu hadi ukumbushwe kwamba sisi ndio kizazi cha utawala ndio tubadilike?
 
Mkuu nikuukize tu swali la kawaida kabla ya elimu ya mzungu kulikuwa hakuna elimu,sayansi,hesabu,MUNGU,maarifa na technologia africa?
 
Mkuu nikuukize tu swali la kawaida kabla ya elimu ya mzungu kulikuwa hakuna elimu,sayansi,hesabu,MUNGU,maarifa na technologia africa?

Wewe unaenda mbali sana. Mie sijafika huko bado. Nipo hatua za awali kabisa, sie weusi tuliekua watawala kwa mujibu wa andiko lako, ilikuaje tukadanganyika na kupigwa bao kizembe? Hiyo moja, baada ya kuhadaiwa, iweje tubaki hivyo hivyo bila kutumia usmart wetu wa asili kurudi kwenye nafasi yetu? Ni kweli tunahuo uwezo na nafasi unayotuaminisha au ni maneno tu?
 
Bado tunayo ila tumekuwa transformed kwenye western civilization na kuacha asili yetu,vizazi vyetu vimekuwa weak kwa ajili ya indoctrination na kujazwa ujinga wa race ambazo sio zetu.

Ndo maana hapo juu nikasema ukipata kitabu cha the stolen legacy utafahamu vizuri kwa undani ilikuwaje mpaka sasa tuko kwenye modern world badala ya natural.

Na ukumbuke hii ilikuwa miaka mingi mingi sana nyuma kabla hata ya the world civilization.

Hiyo tu kuwa transformed na vizazi vyetu kuacha asili ndio tatizo langu linaanzia hapo, na iweje hadi upitie hicho kitabu ndio kuweza kuijua nafasi yako?

Unaweza kuona nakupinga au kukubishia lakini lengo ni kujifunza. Nikutolee mfano, binafsi, hizi shule za kuhudhuria madarasa sijafanikiwa kabisa. Lakini haijawahi kuwa sababu ya kunifanya nijione mnyonge au siwezi kufanya baadhi ya mambo, sihitaji kuambiwa na mtu wala kusoma kitabu. Nielewe sio kwamba sithamini mchango wa elimu wala kusoma vitabu la hasha, nasoma sana.

Kwa ufupi mtu hawezi kunifanya duni kwa chochote kile, naamini nna uwezo wa kutosha kupambanua mambo, kutatua changamoto zangu lakini kubwa zaidi kuona naweza kusaidia vipi wengine kufanikiwa.

Tukirudi kwenye hoja, ikiwa watu wengine wamefanikiwa kutupoka mafasi yetu basi hatuna huo uwezo unaodai tunao mkuu. Tungeinuka tu kama Yusufu wa Biblia alivyoibuka kidedea licha ya mitihani mingi.
 
Teh. Kupata kichekesho hiki bonyeza sifuri.

Sasa hiyo elimu ya kujijua sisi ni watawala itatusaidia nini ikiwa ndiyo "tumeshaporwa" huo utawala wetu! Some things are just funny!
 
Kweli? Hauamini bible unaiamini Science na bado una ujasiri wa kusema Binadamu ameumbwa?

Kipi ambacho kinakufanya uamini ameumbwa Isajorsergio?
Kweli Paula siamini katika siasa za kale! Ninaposema 'naihusudu' sayansi ni kuipenda.

Naamini yupo aliyeniumba kwa sababu sikutokea tu ni sawa na simu niitumiayo yupo someone behind it, haikutokea tu! ndivyo ilivyo kwa mwanadamu yupo muumbaji nyuma. Elon Musk robot zake zikifika Mars basi yeye ndiye Mungu wa hizo roboti.

Paula jaribu kufahamu na kutenganisha Mungu na dini (Siasa za kale).
 
Teh. Kupata kichekesho hiki bonyeza sifuri.

Sasa hiyo elimu ya kujijua sisi ni watawala itatusaidia nini ikiwa ndiyo "tumeshaporwa" huo utawala wetu! Some things are just funny!
0
 
Hapa kuna kitu nimekifikiria sana kwanini biblia haijaweka wazi mambo ya kushite au waanzilishi na kufavour israel ambao kwa kifupi ni watu wakufata njia za kemet,hii ndo uwizi wenyewe na mageuzi ya mzungu kumtawala mtawala wake STOLEN LEGACY yani bible asili yake imegeuzwa kumfavour white race ingawa inaonyesha asili ya bible ni maandiko ya babu zetu yaliyokuwa interpretated na wakushite wenyewe na Mungu ndani ya mtu yani Amen-ra kwa kupitia michoro,alama na ishara juu ya uhalisia wa uwepo wetu duniani.

Inawezakuwa bible ipo relevant baadhi ya sehemu ila naanza kuamini kuna mengi ni fix wazi kabisa
Thanks for finding the kemetic writings.
Sio biblia tu hata maandishi mengine bado yanao utumwa japo unafichwa tu lakini ukihitaji kuprove Hilo watizame walioloea katika maandishi hayo namna walivyo.

Siasa za kale ziliweza kufanya divide and rule! Na kutengeneza ukoloni mamboleo.
 
Walitupoka kwakuwa kulikuwa na wasaliti na kingine uislam na ukristu hatukulazimishwa historia inasema waliofata waliamua kuwaabudu miungu watu yani christianity-mzungu na islamic-arabs.

Na kitu kingine conflicts lead to slavery and collapse in africa ,not all heros or shango's used there power wisely and spiritually wengine walilalia sana kwenye uchawi na mizimu its very complicated.
Hiyo tu kuwa transformed na vizazi vyetu kuacha asili ndio tatizo langu linaanzia hapo, na iweje hadi upitie hicho kitabu ndio kuweza kuijua nafasi yako?

Unaweza kuona nakupinga au kukubishia lakini lengo ni kujifunza. Nikutolee mfano, binafsi, hizi shule za kuhudhuria madarasa sijafanikiwa kabisa. Lakini haijawahi kuwa sababu ya kunifanya nijione mnyonge au siwezi kufanya baadhi ya mambo, sihitaji kuambiwa na mtu wala kusoma kitabu. Nielewe sio kwamba sithamini mchango wa elimu wala kusoma vitabu la hasha, nasoma sana.

Kwa ufupi mtu hawezi kunifanya duni kwa chochote kile, naamini nna uwezo wa kutosha kupambanua mambo, kutatua changamoto zangu lakini kubwa zaidi kuona naweza kusaidia vipi wengine kufanikiwa.

Tukirudi kwenye hoja, ikiwa watu wengine wamefanikiwa kutupoka mafasi yetu basi hatuna huo uwezo unaodai tunao mkuu. Tungeinuka tu kama Yusufu wa Biblia alivyoibuka kidedea licha ya mitihani mingi.
 
Haya Mambo ya zamani za kale na hekaya kwangu si applicable kabisa.
 
Nakubali hili sijakata ila nachojua ni kuwa lazima kuwe na creator behind us na kingine nacho amini ni kuwa pia sisi ni miungu watu ila maarifa yako hidden(secret doctrines)ambazo zinapelekea self will power na kuwa immortals kwenye eternal life.
Sio biblia tu hata maandishi mengine bado yanao utumwa japo unafichwa tu lakini ukihitaji kuprove Hilo watizame walioloea katika maandishi hayo namna walivyo.

Siasa za kale ziliweza kufanya divide and rule! Na kutengeneza ukoloni mamboleo.
 
Tuungane kama nchi, bara, au dunia nzima weusi waungane?

Yaani kutokuungana pekee ndio kumetutoa akili zote?

Inamaana hao wazungu/weupe kinachowafanya watutawale ni kuungana tu?
Uungana kama nchi Afrika, share the common moral, norms, technology, education, science, spiritual na traditions mbalimbali ipatikane symbol ya nchi.

Yes! Mfano EU kuungana kwako ndio wanawaongoza Afrika (Wameunganisha nguvu ya kila kitu kuwa na sauti moja).
 
Nacho maanisha hizo sculptures zinafanana na maumbile yetu ya sasa kama kizazi cha mababu zetu(great ancestors)
Mkuu why unalinganisha picha za vinyago vya zamani na watu halisi?
Hu mfananisho ndo ushahidi wenyewe?
 
Back
Top Bottom