tausi900
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 240
- 182
Unajua hata ikija race nyingne ambayo watakuwa wameadvance zaidi katika technology watatuona sisi tunaishi kama nyani kama unavyosema wazee wetu waliishi kama nyani. Sababu walikuwa wanalima na wanajenga working tools nyani nao wanalima au ketengeneza silaha?Maisha yao wale yanafanya tuonekane tumetokana na nyani.
Watu wanaishije kama wanyama wanaishi misituni na kula nyama mbichi. Utatawalaje dunia kwa namna ile?