Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Hapa nitajifunza zaidi sipo vizuri kwenye ramani au jeografia.

Ila baada ya gharika ya noah source zinasema kila kitu kilipotea. Haufikirii pengine kabla ya gharika hizo asilia hazikuwepo? Pengine zilikuwa eneo lingine? Yaani dunia kama vile iligeuka geuka.
Btw, asante nimechangamsha akili yangu leo siku inaenda vizuri sana.
Paula nilianza vile ili kuleta dhana ya uwepo wa uumbaji halisia ila bible na kemetic spiritual haviendani ,kinachofanyika ni kupindua utawala wa mtu mweusi na kumfanya kuwa mtumwa wa mtu mweupe kwa kupitia bible,japo the real doctrine yani ile original ambayo ndo ina code zote za neno la Mungu zipo either hidden,stolen au ngumu ku interpret ate

Kuhusua kemetic usihusishe kwanza bible wala sayansi kwakifupi inajitegemea
 
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196
Je, wazungu sio wakazi asilia wa hii dunia?

Jr[emoji769]
 
Asante, je huoni kwamba ukweli umefichwa kwenye ramani unayotumia sasa ndio chanzo cha kufanya dunia "igeuke geuke" na kutopata ukweli?
Nahisi ukweli ni ngumu kuupata baada ya ile flood. Yawezekana hata hiyo mito tunayoijadili ilipotea kipindi hicho. Wewe unaonaje?
 
[emoji16]
FB_IMG_1591487551242.jpeg
FB_IMG_1591487639133.jpeg
FB_IMG_1591487767814.jpeg
FB_IMG_1591487720216.jpeg
FB_IMG_1591487692981.jpeg
FB_IMG_1591487669706.jpeg
 
Paula nilianza vile ili kuleta dhana ya uwepo wa uumbaji halisia ila bible na kemetic spiritual haviendani ,kinachofanyika ni kupindua utawala wa mtu mweusi na kumfanya kuwa mtumwa wa mtu mweupe kwa kupitia bible,japo the real doctrine yani ile original ambayo ndo ina code zote za neno la Mungu zipo either hidden,stolen au ngumu ku interpret ate

Kuhusua kemetic usihusishe kwanza bible wala sayansi kwakifupi inajitegemea
Sawa REALTY
 
Hiyo mito unayozungumzia unajuaje kama ni fix View attachment 1470533
Inaweza ikawa ilikuwa kweli japo ikapotea.

Unajua mambo haya yapo hivi, tukisema tuamini binadamu aliumbwa inabidi tuiamini Biblia.

Tukisema binadamu alikuwa nyani inabidi tuiamini Science.

Having said that, kwakuwa binadamu aliumbwa nimeamua kuamini kila neno kwenye biblia ambayo ndiyo ilitoa Idea ya kuubwa kwa binadamu. Sipaswi kuchagua vya kuamini.

Au kuna source nyingine ambayo inaelezea kuumbwa kwa binadamu tofauti na vitabu vya imani?
 
Ndo maana nakuambia kuwa africa sisi tuna imani zetu na asili yetu na maandiko yetu na katika maandiko yetu ya asili yanasema kuwa sisi nimiungu ndani ya uungu angalia hizi transformation
FB_IMG_1591486318282.jpeg
FB_IMG_1591487573969.jpeg
FB_IMG_1591486453847.jpeg
FB_IMG_1591486652023.jpeg
IMG_20200607_031040_067.jpeg
 
Ndo maana nakuambia kuwa africa sisi tuna imani zetu na asili yetu na maandiko yetu na katika maandiko yetu ya asili yanasema kuwa sisi nimiungu ndani ya uungu angalia hizi transformationView attachment 1470535View attachment 1470537View attachment 1470538View attachment 1470539View attachment 1470540
Unamaanisha nini kusema "miungu"?
Kwamba hatukuumbwa?
Achana na hizo transformation, ni nini chanzo cha binadamu wa kwanza?
Na kama aliumbwa ( kutokana na mada yako). Je taarifa za kuumbwa kwa binadamu zilipatikana wapi? Sio kwenye vitabu vya dini?
 
Vitabu vya dini vimeletwa na wazungu ila maandiko yetu ya asili yanasema kuwa we are gods not GOD but there is who made the creation.
IMG_20200607_032853_380.jpeg
 
Nahisi ukweli ni ngumu kuupata baada ya ile flood. Yawezekana hata hiyo mito tunayoijadili ilipotea kipindi hicho. Wewe unaonaje?
Yote yanawekana, ndio maana nilisema Caspian Sea, Mediterranean Sea, Black Sea na Ghuba ya Uajemi. Tukizifahamu hizi vizuri zitatupatia muangaza.

Hivi East and Central Africa kuna mito mingapi mikubwa?
 
Hapa unatumia reference ipi na unatakuprove nini?eden?origin of a black man?validity of a bible? Sijakusoma
 
Inaweza ikawa ilikuwa kweli japo ikapotea.

Unajua mambo haya yapo hivi, tukisema tuamini binadamu aliumbwa inabidi tuiamini Biblia.

Tukisema binadamu alikuwa nyani inabidi tuiamini Science.

Having said that, kwakuwa binadamu aliumbwa nimeamua kuamini kila neno kwenye biblia ambayo ndiyo ilitoa Idea ya kuubwa kwa binadamu. Sipaswi kuchagua vya kuamini.

Au kuna source nyingine ambayo inaelezea kuumbwa kwa binadamu tofauti na vitabu vya imani?
Mbona naamini binadamu ameumbwa lakini siamini biblia na vitabu vya kale vingine pia naihusudu sayansi lakini siamini binadamu alikuwa nyani?
 
Hapa unatumia reference ipi na unatakuprove nini?eden?origin of a black man?validity of a bible? Sijakusoma
Mkuu ukihitaji kuprove origin of man lazima eden itahusika na uwepo wa eden lazima historia za kale (Dini) zihusike. Unless binadamu amekuwapo tu!
 
Hata anavyofanya REALITY ni sawa! akiweza kutengeneza generation yake na propaganda vizuri basi mawazo yake yatarithishwa vizazi na vizazi na kuwa sawa na biblia.

Reality alichokataa ni kushikiwa akili na mtu au vikundi vya watu! (Hata mimi nakataa)
😃😃hoja nzuri sana
 
Back
Top Bottom