Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Shida yenu hizo Historia zenu huwa hamzihakiki, mnapokea tu.

Utskubali vipi historia yako bila kujua nani amekusimulia mpaka kufikia kwa mtu wa kwanza ? Huku ni kuihujumu Elimu na watu wake na kutumia akili vibaya.

Qur'aan ina "chain" mzee.
Quraan ni hadith tu na masimulizi. Mwenzio anaongelea findings na sio masimulizi. Quraan haina uhalisia hata kidogo
 
Mwanadamu ana umba ? Mungu wako ni mkamilifu au kinyume chake ? Mwanadamu ni mkamilifu au kinyume chake ?

Mungu ana umbile au hana ?
Tukichukua mfano wa allah anaumbile tena mguu mmoja mkono na jicho
 
Simulizi za hekaya
images%20-%202020-06-16T134002.917.jpeg
images%20-%202020-06-16T133926.669.jpeg
 
Wasalimie warabu[emoji3]
Unaweza ukasoma ukaprove wrong kama we sio kipofu wa akili na macho

Always ukweli hujitenga na uwongo endelea kuforce ugali wa mchele na dona.
Nilikuuliza kuhusy "CHAIN" hizi habari ukaniambia nisome vitabu ulivyonitajia ile siku, hasa kile cha "The stolen Legacy" , nikasoma nikakwambia hakuna "CHAIN" ajabu ukadandia hali ya kuwa hata chain yenyewe ulikuwa huijui.

Sasa nakupa faida tu, hata historia uhakikiwa ili kujua mbivu zipi na mbichi zipi, sifa ya awali ya udhaifu wa habaru ni kukosa "CHAIN" yaani hupuuzwa mpaka itakapo patikana habari nyingine yenye chain ili kuiegemezea habari kwenye habari yenye chain.

Sasa mlitakiwa mjifunze Elimu ya uhakiki wa habari kabla ya kuchukua habari hizi au habari yoyote.

Ahsante.
 
Quraan ni hadith tu na masimulizi. Mwenzio anaongelea findings na sio masimulizi. Quraan haina uhalisia hata kidogo
Hata Hadithi pia ni masimulizi, yaani hapa ni sawa umeandika hivi "Quraan ni masimulizi na masimulizi"(Elimu ya maana za maneno inahitajika sana kwenu).

Chukulia mfano sasa baada ya hizo "Findings" kupatikana aidha iwe michori au mfano wake, maana ya hiyo michoro unairejea wapi kwenye masimulizi au michoro yenyewe unajielezea ? Sasa usiandike mambo kwa mihemko, bali fikiria kisha jenga hoja.

Unapo sema Quraan haina uhalisia bila kuonyesha hilo, hii ni ishara ya kuwa wewe ni muongo, na mpaka unakufa huwezi kuonyesha kutokuwa na uhalisia kwa Qur'aan (Hapa, nacheka sana), ngoja nikupe uhalisia tu mmoja wapo katika Qur'aan,nanukuu :

Anasema Allah mtukufu

34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?

36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at - Tur : 34 - 36 )

Sasa ukija tena uje na ushahidi wa kuonyesha ya kuwa Qur'aan haina uhalisia hata kidogo.
 
Elimu ya habari kutoka kwa nani?
Huyo anayetoa hiyo elimu ya kuhakiki yeye kahakikiwa na nani?

Cha mwisho nimekupa vitabu connect the chains and dots if you are smart to acknowledge the knowledge on the table.

Kemetic spiritual science inaanza na how the neteru au nature au maat how creation begin within ,hatua kwa hatua mpaka civilization and discoveries,europoids wanavyoanza nao kudevelope na kuanzisha vita na waafrica enzi na enzi na ancestors zetu ,kubadilisha taswira,elimu,uwizi wa technology.

Haya yote ni miaka ya 4000bc kurudi nyuma na hii yote ni kwa kutumia tafiti za waafrica wenyewe na jumbe zilizochorwa kama urithi katika kuta na mapango na kingine baadhi ya teknologia zilizokuwa zikutumika huku kwetu,nachotaka kukuambia weka hisia na hulka za itikadi pembeni kidogo,jaribu kutumia akili yako binafsi kudadavua misingi ambayo ni huru kwa akili na moyo ndani ya milango yako ya ufahamu.
Nilikuuliza kuhusy "CHAIN" hizi habari ukaniambia nisome vitabu ulivyonitajia ile siku, hasa kile cha "The stolen Legacy" , nikasoma nikakwambia hakuna "CHAIN" ajabu ukadandia hali ya kuwa hata chain yenyewe ulikuwa huijui.

Sasa nakupa faida tu, hata historia uhakikiwa ili kujua mbivu zipi na mbichi zipi, sifa ya awali ya udhaifu wa habaru ni kukosa "CHAIN" yaani hupuuzwa mpaka itakapo patikana habari nyingine yenye chain ili kuiegemezea habari kwenye habari yenye chain.

Sasa mlitakiwa mjifunze Elimu ya uhakiki wa habari kabla ya kuchukua habari hizi au habari yoyote.

Ahsante.
 
Anasema allah kupitia maandishi ya mtu mmoja anaitwa mohamed?
Uwongo au kweli?
Hata Hadithi pia ni masimulizi, yaani hapa ni sawa umeandika hivi "Quraan ni masimulizi na masimulizi"(Elimu ya maana za maneno inahitajika sana kwenu).

Chukulia mfano sasa baada ya hizo "Findings" kupatikana aidha iwe michori au mfano wake, maana ya hiyo michoro unairejea wapi kwenye masimulizi au michoro yenyewe unajielezea ? Sasa usiandike mambo kwa mihemko, bali fikiria kisha jenga hoja.

Unapo sema Quraan haina uhalisia bila kuonyesha hilo, hii ni ishara ya kuwa wewe ni muongo, na mpaka unakufa huwezi kuonyesha kutokuwa na uhalisia kwa Qur'aan (Hapa, nacheka sana), ngoja nikupe uhalisia tu mmoja wapo katika Qur'aan,nanukuu :

Anasema Allah mtukufu

34. Basi nawalete masimulizi kama haya ikiwa wao wanasema kweli.

35. Au wao wameumbwa pasipo kutokana na kitu chochote, au ni wao ndio waumbaji?

36. Au wao wameziumba mbingu na ardhi? Bali hawana na yakini. (at - Tur : 34 - 36 )

Sasa ukija tena uje na ushahidi wa kuonyesha ya kuwa Qur'aan haina uhalisia hata kidogo.
 
Elimu ya habari kutoka kwa nani?
Huyo anayetoa hiyo elimu ya kuhakiki yeye kahakikiwa na nani?
Marejeo ni katika uhalisia, sharti ya uhakiki wa habari lazima uwafikiane na uhalisia, kwahiyo misingi ya uhakiki wa habari ipo, kwayo inawafikiana na hali halisi.

Leo hii huwezi kuja kunipa habari za kina Aristotle, Socrates, Thales, Homeri, Zeno, Anaksimenes, Anaksimanda au mfano wake nikazikubali, kazima nitakuuliza "Nitajie rijali (wapokezi) wa hiyo habari mpaka imekufikia wewe". Usipotaja habari yako siizingatii mzee.
 
Nacheka sana kijana, elimu kitu muhimu sana.

Hizi unazo ziita hekaya zina chaina ila hizo unazo ziamini wewe hazina chain, maana ya hekaya unaijua ?
Issue sio kuamini issue ni uhalisia

Quran unajua imeandikwa lini?

Kabla ya quran watu waliabudu nini?
 
Anasema allah kupitia maandishi ya mtu mmoja anaitwa mohamed?
Uwongo au kweli?
Muhammad alikuwa mtume, na sifa yake ambayo ni muujiza pia, alikuwa hajui kusoma wala kuandika, maana ya mtume ni mjumbe wa Mola anaepewa habari toka kwa Mola kupitia malaika mtukufu muheshimiwa aitwae Jibril, hii tunaita "Chain", bila chain hakuna Elimu kijana, hili ni jambo la kiasili.
 
Issue sio kuamini issue ni uhalisia

Quran unajua imeandikwa lini?

Kabla ya quran watu waliabudu nini?
Hakuna imani bila elimu kijana, na maana ya elimu ni kukidiriki kitu kama kilivyo. Huu huitwa uhalisia au UKWELI.

najua Qur'aan imeandikwa lini na ilikuwaje,rejea kitabu kiitwacho "al Iti'qan fi Uluum al Qur'aan" cha Imaam Abdulrahman Jalaluudin as Suyut aliye fariki mwaka 911 A. H.

Kadhalika najua kabla ya Qur'aan watu walikuwa wanaabudu nini.
 
Marejeo ni katika uhalisia, sharti ya uhakiki wa habari lazima uwafikiane na uhalisia, kwahiyo misingi ya uhakiki wa habari ipo, kwayo inawafikiana na hali halisi.

Leo hii huwezi kuja kunipa habari za kina Aristotle, Socrates, Thales, Homeri, Zeno, Anaksimenes, Anaksimanda au mfano wake nikazikubali, kazima nitakuuliza "Nitajie rijali (wapokezi) wa hiyo habari mpaka imekufikia wewe". Usipotaja habari yako siizingatii mzee.
Aisee unajua kitabu kina hayo mapokezi na mimi nayapokea kwa mwandishi

Shida moja we mvivu sana wa kusoma vitabu kwanini usisome hiko kimoja ambacho ni neteru volume 1 hata upate mwanga.
 
Cha mwisho nimekupa vitabu connect the chains and dots if you are smart to acknowledge the knowledge on the table.
Siwezi kupata chain katika kitabu ambacho hakina chain wala muandishi mwenyeee hakuona umuhimu wa chain.

Nilipitia baadhi ya vitabu ulivyo vitaja ili nione hiyo chain lakini sikuona, sasa kama mmezoea kusikiliza habafi za "Paukwa pakawa, hapo zamani za kale palikuwa na kadha wa kadha" halafu basi, huku kwetu hayo mambo hakuna.
 
Unajua hayo yote mkewe ndo alimwambia,kuwa huyo ni malaika na akikuwa na umri kama mama yake?
Muhammad alikuwa mtume, na sifa yake ambayo ni muujiza pia, alikuwa hajui kusoma wala kuandika, maana ya mtume ni mjumbe wa Mola anaepewa habari toka kwa Mola kupitia malaika mtukufu muheshimiwa aitwae Jibril, hii tunaita "Chain", bila chain hakuna Elimu kijana, hili ni jambo la kiasili.
 
Kumbe elimu yako inamashaka
Siwezi kupata chain katika kitabu ambacho hakina chain wala muandishi mwenyeee hakuona umuhimu wa chain.

Nilipitia baadhi ya vitabu ulivyo vitaja ili nione hiyo chain lakini sikuona, sasa kama mmezoea kusikiliza habafi za "Paukwa pakawa, hapo zamani za kale palikuwa na kadha wa kadha" halafu basi, huku kwetu hayo mambo hakuna.
 
Unajua hayo yote mkewe ndo alimwambia,kuwa huyo ni malaika na akikuwa na umri kama mama yake?
Weka ushahidi huo,hasa hapa kwenye umri, sasa kwa akili ya kawaida tu wewe ulitaka nani aanze kumpa habari, zaidi ya mwanandani wake ? Na mama Khadija alikuwa mwanamke hasa.

Sasa sijaelewa lengo lako ulipotaja umri kwamba umri siyo kigezo cha kupewa habari au mwanamke hapaswi kupewa habari ? Hoja yako iko wapi ?
 
Back
Top Bottom