1.uwezo wa kufikiria wa mwanadamu mweusi hutumia left sided hemisphere unashirikiana na nature katika minajili ya kiroho na kupata ufumbuzi kwa vyote vimzungukiayo,ila western hupromote right sided inayodeal na kusoma sana na wekeza katika kutafuta asili na hawatumii minajili ufumbuzi kwa kutumia njia za kiroho kama ancestors zetu.
2.ubaguzi wa rangi,wivu wa maendeleo na aibu ya wao kutokuwa na nafasi katika ulimwengu kuanzisha civilization yeyote zaidi ya kuiga kwa mwafrica.
3.miaka 6000bc ukiangalia mabara yote yalikuwa uncivilised na hata amerikana palikuwa na red indians too ambao ni link ya wahindi weusi asia,nikimaanisha people shifted africana a long time ago after civilization started na kwenda kuendeleza sehemu zingine duniani.
4.vizazi vya 1900s ndo waliokuwa watumwa na sisi tulikuwa civilised 6000 bc tushajua mathematics,science,astronomy ,pyramids,religion and evil,na kingine hata chombo cha kwanza duniani cha kuhesabia ambacho ni abbacus kiligunduliwa 5000 bc kule kemeti ambapo sasa wanapaita misri.
5.tafuta muda soma taratibu mkuu
View attachment 1478306