Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Si kweli ndo maana hata biblia inasema tumemuumba kwa mfano wetu meaning sisi,hapa kuna siri kubwa sana

GOD IS IMMORTAL MEN AND god IS MORTAL MEN.
Wenzenu kina Aristotle waliona umuhimu wa lugha katika kuyapa maneno haki zake ila walikosa ala tu za kuujua ukweli, ndiyo maana akaweka zile "Ten Categories" huku akiyaeleza mambo kwa kuzingatia lugha na misingi yake yaani "Kiima/Subject/Mubtadaa" na "Kiarifu/Predicate/Khabar" .

Kwa ujinga wenu wa kuacha elimu ya lugha mkakufuru.

Kwahiyo sisi ni nafsi ngapi hapo ? Au wangapi hapo ?
 
Basi stick na Qur'an ya 575Ac
POA.

Siku nyingine nikikwambia leta "chain" ujue chain ni hii (bolded) :

Al-Bukhari reported that: Yahya ibn Bukayr narrated to us from Al-Layth from `Uqayl from Ibn Shuhba from `Urwah from `A’ishah who said, “Whenever the Prophet was given an option between two things, he used to select the easier of the two as long as it was not sinful; but if it was sinful, he would remain far from it.”

Kazi yangu nimemaliza.

Ahsante.
 
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196
Tumebakiza mapicha na masanamu yaliopakwa wanja mpk kisogoni..
Does it matter who was here first?

Wazungu walitutawala baada ya kutudanganya ati wao ni mfano wa mungu.
Ss na sisi tumeamua kutumia nji ile ile kuonyesha who is superior.

Work hard. Achana na hizi simulizi
 
This matters in spirituality not been a slave and die in this world thinking you are here by chance or accident.

Sawa just stick
POA.

Siku nyingine nikikwambia leta "chain" ujue chain ni hii (bolded) :

Al-Bukhari reported that: Yahya ibn Bukayr narrated to us from Al-Layth from `Uqayl from Ibn Shuhba from `Urwah from `A’ishah who said, “Whenever the Prophet was given an option between two things, he used to select the easier of the two as long as it was not sinful; but if it was sinful, he would remain far from it.”

Kazi yangu nimemaliza.

Ahsante.
 
This matters in spirituality not been a slave and die in this world thinking you are here by chance or accident.
I never claim to be here by chance nor i believe in Chances.
There is NO such a thing as CHANCE!
Everything happens is pre planned and predestined long ago before we got here.

I am FIRM Believer of ONE GOD. The EVERLASTING, THE SUPREME, KING of the Kings. THE ALMIGHTY ALLAH.
I rest my case now.
Stay blessed.
 
Si kweli ndo maana hata biblia inasema tumemuumba kwa mfano wetu meaning sisi,hapa kuna siri kubwa sana

GOD IS IMMORTAL MEN AND god IS MORTAL MEN.
Hakuna Siri yyt hapo Tatizo lako ni utambuzi wa matamshi tu ktk Lugha.

The use of word "WE" in English when associate with GOD is when God use "We'" in English its called A plural of RESPECT.

Mfalme anaposema " SISI TUMEAMUA".
Haina maana Yeye na Wengine bali ni YEYE NA MADARAKA YAKE.
Hio ndio PLURAL OF RESPECT.
Kwa hio Mungu anaposema tumemuumba kwa Mfamo WETU hana maana Mungu na wenzake. Maana hapo ni MUNGU NA UFALME WAKE.
Na Huo mfano aliombiwa mwanaadamu sio copy and paste ya Mungu ihamie kwa Binaadamu.
Ukisoma Lugha kidogo tu utafahamu hizi tamshi zinazotumila ktk Biblia na Quraan
 
Hawa wanaleta mzaha na Elimu.

Tuko pamoja, endelea nao hawa wadau, mimj nimemaliza kazi yangu.
 
I never claim to be here by chance nor i believe in Chances.
There is NO such a thing as CHANCE!
Everything happens is pre planned and predestined long ago before we got here.

I am FIRM Believer of ONE GOD. The EVERLASTING, THE SUPREME, KING of the Kings. THE ALMIGHTY ALLAH.
I rest my case now.
Stay blessed.
GOD IS WITHIN
 
Kama ni hivo wazungu walitoka wapi? Kwa Mungu huyohuyo?

Walifungulia mashetani yaliyofungwa na Mungu? hizo nguvu walipata wapi km ni kweli basi mashetani yana nguvu kuliko aliye yafungia yaani Mungu.

Kama Yesu ni mweusi najua utasema ufunuo,.., familia yake kiko wapi huku Africa au Nyerere na Mandela? kwa nini Mungu apotezee familia yake takatifu?
Punt tulimkosea nini Yesu asitie mguu.

1767 populationwise tulikuwa 200 tu.Khoisan ndiyo wa kale kuliko
 
Unajua kwamba hata historia uhakikiwa ?

Muandishi wa kitabu amerejea kwenye vyanzo gani ?
Mwandishi ni mtafiti Mwafrica, na mwandishi. amehakiki mwenyewe,na ametumia Carbon fourteen kupima mizoga ya Misri ya kale, Mesopotamia, na DNA analysis, zoezi limedhaminiwa na Black American israelitis.

Wazungu walishindwa
 
Unajua kwamba hata historia uhakikiwa ?

Muandishi wa kitabu amerejea kwenye vyanzo gani ?
Mwandishi ni mtafiti Mwafrica, na amehakiki mwenyewe, na ametumia Carbon fourteen kupima mizoga ya watu wa Misri ya kale, na kufanya DNA analysis.

Kama ulifundishwa Book analysis secondary ukaelewa utaujua ukweli wa mwandishi. km ni st. kayumba pole!
 
Safi kabisa, naomba uniambie kwanza hawa ni watu gani ?

Kisha narudi kuendelea haya mengine uliyo yaandika.

Ahsante.
[/Q

Kwa sheria za ufundishaji mwalimu anatoa asilimia 10 tu ya somo, mengine 90% tafuta mwenyewe! wewe unataka kumezeshwa 100% zote weeee uliwahi ona wapi?

Umepewa nondo mwongozo bado unataka zaidi, mpaka umalize akiba yangu?
 
Habari wakuu napenda kuwadokeza asili ya mwanadamu wa kwanza kuumbwa dunia na highly supreme being au jina lingine GOD ama the source of creation without been created.

Mwanadamu wa kwanza aliumbwa kwenye bustani ya eden ambayo ilikuwa na mto pembeni yake,kabla hajaumbwa paliumbwa wanyama wengi ,bustani ya eden ilikuwa sehemu inaitwa PUNT ambayo ni tanganyika east africa kwa sasa na ule mto ni mto NILE..ndo maana huambiwa fuvu la kwanza lilipatikana olduvai gorge,na ukijaribu kuangalia tanganyika ndipo penye mlima mrefu africa na pia mlima wa oldonyo lengai ambao ni pekee yake hutoa volcano nyeupe ulimwenguni kote (eden)ndo maana huitwa mlima wa Mungu.

Mwanadamu huyo aliumbwa kwa mavumbi yani vumbi likiwa kavu ni brown na likilowa ni jeusi(black person).

Mwadamu huyo mweusi alikuwa na nywele ngumu zilizosimama maana yake ,ni kuwa zilielekea juu aliko muumba wake kuumanisha anamawasiliano naye(akili ni nywele).

Africa ndo chanzo cha uhai na uzao wa aina zote za binadamu,yani wachina,wazungu,warabu,wahindi na mengineyo ...mfano hai ni DNA za mwafrica zinaweza toa kiumbe wa rangi zote 7 yani utimilifu wa Mungu(thats unique).

Mafarao wote ni weusi na pyramid zote zimejengwa na wakemeti yani wamisri wa zama hizo,watu ukisikia wanabishana sehemu kuwa yesu ni mweupe na mwingine anasema mweusi jua yesu alikuwa MWEUSI inahitaji upembuzi yakinifu kujua hili.

Kuna kitu kinaitwa THE STOLEN LEGACY yani uzao wetu ulihamia pande zingine za ardhi waliiba urithi wetu na technologia zetu na kuharibu mila kwa kufungulia mizimu tuliyoifunga kemeti na kutuachia balaa ambalo kwa jicho la tatu ndo hii dunia unayoiona kwa macho mawili sasa.kumbuka hivi vyote vilianza kemeti
Hesabu .

Upimaji wa sahani ya dunia kwa kutumia pyramid na jua.

Ujenzi wa mahesabu complex ,masonry yote ni kemet yani misri.
Mafarao na utawala wa nguvu za miujiza na uchwai.

Kuongea na Mungu direct

Moto

Vyuma

Mavazi na silaha n.k

Wazungu na jamii zingine ambao ni vizazi vyetu walivyoiba urithi wa ancestors zetu ndo sasa wanatumia hizo legacy kututawala ,kutufunga akili,kutupoteza na kuharibu mifumo yote ya umbaji kwa kuleta sayansi ambayo kushite ama sisi wakush tulipewa na Mungu.

Naomba niishie hapa ila kaeni mkijua kuwa sisi ndo watawala wa hii dunia na wazawa wa kwanza.
Tafuteni kitabu cha
KUSHITE KEMETI SPIRITUAL SCIENCE.
utajitambua wewe ni nani na dunia ipo vipi nawasilisha.

View attachment 1470191View attachment 1470192View attachment 1470195View attachment 1470196

Ni ukweli mtupu....then waarab na wazungu wakatuletea dini zao za kucopy na kupaste.....everything kuhusu hizi dini viko plagiarized from our African roots.
 
Mwandishi ni mtafiti Mwafrica, na amehakiki mwenyewe, na ametumia Carbon fourteen kupima mizoga ya watu wa Misri ya kale, na kufanya DNA analysis.

Kama ulifundishwa Book analysis secondary ukaelewa utaujua ukweli wa mwandishi. km ni st. kayumba pole!
Poa.
 
Imagine mpaka leo hata kufanya ground mineral extraction hatujui sasa tutajua matumizi ya hayo madini mkuu??

Halafu watu wanafanganywa eti ni kutengenezea pete!!!! serius??

Yani makampuni yakawekeze mabilioni ya pesa kitafuta madini ili yatengeneze pete na mikufu?? cant be seriuz aisee..

hapa watu watambue kuwa kuna sababu kubwa sana tena mimi naiita ya kigenetic kuhusu sisi kuwa primitive zaidi..

Waafrika tunajifariji tu lakini ukweli utabaki palepale kwamba hao weupe wanatuzidi mbali tangu enzi na enzi.

Mtu unaishi mapangoni, unatembea uchi, unabadilishana mkufu kwa dhahabu halafu unadai wewe ni adavanced!

Inakuwaje mtu ambae ni advanced(mweusi) anaadaiwa na mtu alieprimitive(mweupe) halafu akina REALITY hata hawaelezi vitu vinavyoeleweka jinsi ambavyo wazungu waliwachanganya weusi hadi wakawazidi kwa kila kitu kichekesho hiki😀
 
Back
Top Bottom