Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Anyway kasome hiki
Maana ya kuweka ushahidi ni kutuonyesha ukweli wa hilo unalo liegemea. Unapokosa chain katika masimulizi,kwenye jambo ambalo huwezi kuupata ukweli bila masimulizi hayo, na yakawa hayana chain ujue habari/masimulizi hayo/hiyo inakosa ukweli.

Nimekwambia ya kuwa nimepitia maandiko hayo sijaona hiyo chain na kitabu hicho nimekipitia jana tu hapa, sasa unaposema nipitie basi inabidi uniambie kama kuna kitabu kipya kimekuja kurekebisha habari za nyuma.
FB_IMG_1591489360712.jpeg
 
You are joking au?kitabu umekisoma unajua kina chapter ngapi?
Mbona unauliza maswali ya kitoto mzee, inaonekana hata maana ya chain huijui, nimekwambia sijaona chain, na chain huanza mwanzo wa kitabu kabisa sasa mfano huyu muandishi wa "The Stolen Legacy" aitwae George G. M. James, Ph.D haja fanya hivyo.

Kwahiyo suala la kujua idadi ya chapter halionyeshi kwamba muandishi ameweka chain.

SIJUI KINA CHAPTER NGAPI HICHO KITABU

Tuendelee ....
 
We si unataka chain inayo anza yani source ya uumbaji kwa kupitia kemetic ,labda kama nawewe hujui maana ya source of creation kwenye hivyo vitabu.

Softcopy we download majina si unayo.

Umeona sasa,kumbe napoteza muda kujadiliana na mtu ambaye hata "chain" ninayo izungumzia huijui, kwa minajili hii kwanza sina haja ya kusoma kitabu hicho sababu sita pata ninacho kitaka.

Chain ninayo izungumzia mimi ni masimulizi yafike kwa mtu wa kwanza, kwa kupitia simulizi hii ametusimulia fulani yeye amesimuliwa na fulani,mpaka ifike kwa watu husika wa hiyo jamii ya Kushi.
 
[emoji23]simulizi wakati kushite wapo mpaka leo ,ngoja nikusaidie kitu simulizi zote zilikuwa interpretated from symbols and signs from our ancestors through drawings in tombs,walls and caves how they lived,their customs,traditions and beliefs,families to families the legacy was operated simultaneously till today,ukitaka kupata ambao hawakuachia njia kwa brainwashing and slavery wapo wengi na ukitaka majina nitakupa ukae uwasikilize uhalisia ni historia ya mababu zako sio kukalia vitu vya warabu ambao si asili yako

Wazungu -christians
Wahindi-
Wakorea
Wachina
Warabu
Wayahudi
Wa red indians

Every human race wana norms and ethics zao plus their own divine in worshiping .

Ni ajabu muafrica anakataa asili yake na kuwa mtumwa wa mwanadamu mwenzake ,wakati anajua fika ana ubongo wa fikiria.

Anyway sio lazima stick to what you believe.
 
Mpaka najiuliza kwanini hujibu swali langu ?
 
Hiyo sio Qur'an ama biblia iwe na simulizi za hekaya,hiyo ni historia yetu ya uumbaji,maisha na tamaduni hadi leo.

Sina swali la kujibu ,kuna vitabu vitatu huwezi jiridhisha navyo hata usihangaike ndugu .

Shida yenu hizo Historia zenu huwa hamzihakiki, mnapokea tu.

Utskubali vipi historia yako bila kujua nani amekusimulia mpaka kufikia kwa mtu wa kwanza ? Huku ni kuihujumu Elimu na watu wake na kutumia akili vibaya.

Qur'aan ina "chain" mzee.
 
Ina chain kwa warabu sio waafrica ,wao kiarabu, africa kibantu wazungu english,wahindi kihindi,wachina kichina.

WEWE NDO UHAKIKI HIKO KITABU CHA MWAKA GANI.NA KIMETOKEA ASILI YA WAPI.
 
Mpaka Waafrika wapo mzee.
 
Kupitia archaeologists
Samahani! Sina nia ya kukosoa mtazamo wako lakini kwa kauli yako hii "...haya hayakuandikwa popote?
Kama hayakuandikwa popote wewe umeyatoa wapi?"

Je na hao waliyoyaandika waliyatoa wapi?
 
1.hana mwanzo
2.muumbaji
3.yupo ndani yetu

We are mortal gods transforming to immortal Gods.

Nipe sifa tatu tu za Mungu, na uniambie kwa kipi huyi uliye mtaja awe Mungu na mmejuaje ?
 
Yale yale ya kushindwa kwetu kumsingizia mzungu.Hizo ni porojo mzee.Tufanye vile tunaweza kupambana ata na yale mambo ya kawaida yaliyoko ndani ya uwezo wetu nasio kutaka kujilinganisha au kijifananisha na wengine wakati ukweli uko wazi.Pia tuache kusingizia jamii zingine kwasababu historia haina maana kama haikufanyi ukawa vile ulikua mwanzo.Kwaiyo hivi tulivyo ndivyo tulivyo hakuna cha zaidi.
 
Watumwa wa fikra ambao mpo indoctrinated na brainwashed ambao mmekulia kwenye formal education hampo skeptical hata mawazo huru mnakuwa masomaniac jaribu kushirikisha bongo PERIOD.

Back
Top Bottom