Unajua hujapitia hivyo vitabu??embu kavisome kwanza utajua whats going on kama huwezi kuvisoma utakubali wewe ni the last civilization na western watafurahi kuona how blind and fool you are,go read the books ,waafrika tunavyoishi sivyo tulivyo ,we had our own lifestyle,clothing,houses,technology,religion,knowledge and power and very brilliant but western people used the descendants of our ancestors ,stole their legacy ,enslave and used other tactics to blind the rulers on late 1990s sio huko 6000bc shida moja hutaki kusoma hivyo vitabu unataka majibu mepesi kwa maswali yenye majibu mengi,nimekupa link some volume 1 tu atleast hayo majibu yote utayapata,na kingine usipojikubali we ni mtumwa wa fikra,usiwe busy kufatilia conspiracy wakati reality yako binafsi ya negro au black huijui wala hutaki kujua asili ama chimbuko na historia,do you think mzungu ndo atakusaidia ???au hizi virtual machines na technology za annunaki ndo zinakuchanganya??masimu,gari,treni,rocket,computer na blah blah ,the western are only indoctrinating the universe for demonic welfare and rule of power,trust your instinct ,trust your colour,trust your own religion and use hypothetical thinking PERIOD
Hapo ndo unazidi kupotea kabisa...ukiulizwa swali na layman kuwa wazungu waliwahadaaa aancestors wetu utamjibuje sasa if at all una claim kuwa they had advanced civilization??
Hivi unaelewa maana ya neno civilization lakini au unachanganya na cultural believe??
[emoji116][emoji116][emoji116]
"the stage of human social and cultural development and organization that is considered most advanced.""
hiyo ndo maana ya kuwa civilized, sasa kama upo advanced interm of social and organization unakuja kuzidiwa maarifa na mtu uliyekuwa unamzidi huoni kuwa kuna shida hapo na haingii akilini wao watu weupe watoe wapi maarifa ya kuja kukuzidi wewe..
mmachanganya kati ya cultural changes ( utamaduni) na civilization maybe..
tungekubali kuwa jamaa walikuja kuharibu utamaduni wetu na kutuonesha wao mayeb utamaduni wa kutembea huku via vyetu vya uzazi viko njee na kuanza kuvaa nguo ikiwa ni pamoja na kujua kusoma codes za universal language ...
Ni sawa sawa na kusema people from amazone forest wapo more civilized kuliko sisi huku, umetumia cruteria gani kusema hivi kama sio kuwa primitive zadii!!?
Soma habari za kuzama kwa miji mashuhuru na soma zaidi kuhusu Timaeus and Critias, where it represents the antagonist naval power that besieges "Ancient Athens" ujue hiyo miji ya Antlantis halafu unambie nani alokuwa more civilized kati ya sisi weusi na watu wa Antlantis ?!!
hapa utasema Antlantis ilikuwa Africa!!!???
real??
Yapi mabaki ya kusema kuwa sisi tulikuwa more civilized kuliko watu weusi?!
Mimi nimesoma vitabu vingi sana vinavyojaribu kuongelea kuwa Watu weusi wapikuwa more civilized kuliko wazungu lakini hakuna connection au point za maana ambazo zimetoa ufafanuzi wa kina kuwa ilikuwaje kuwaje tukarudi nyuma zaidi ya kuongelea oooh tukatumikishwa na kuwa slaves lakini hazitoa relavants informations kuhusu technique zinazoeleweka namna jinsi tulivyojikuta akili zinatoholewa...
Na kama unazungumzia enslavement ya 1900s kuwa iliturudisha nyuma upo wrong sana kwa sababu hatukuwa na maendeleo yoyote but naweza nikasema jamaa waliharibu culture( utamaduni wetu) sasa tulikuwa na hizo barabara au usafiri wa maana zaidi kuliko sasa hivi??
Inshort hapo broo hutaweza kunidanganya kitu zaidi ya kukimbilia hyo vitabu huko nishapita ndo mana nilikuomba mwanzoni usummerize vimistari au mstari ikionesha point kubwa ya njia iliyotumika kusambaratisha hiyo civilization unayoijua wewe ila hakuna ulichofanya zaidi ya kukomaa nikasome nikasome[emoji3091]
Sort chapter unayoikubali kuanzia hiyo volume 1 mpaka 3 ulipopasoma halafu uiweke hapa tuichambue kwa kile inachoeleza njia iliyotumika kupoteza kama sio kuelezea culture changes tu..
Halafu point za kusema eti mzungu anatumia Right au left hemisphere kufiklia mnazitoa wapi ? ni wazi tunajua kuwa upande mmoja ni more dominant kuliko upande mwingine na hiyo ni genetically ndo mana nakwambia utofauti huu upo hadi kwenye damu ila sio kugeuzwa akili ...
Dhahabu mlikuwa mnachezea bao bila kujua matumizi sahihi halafu leo anakuja mtu anaejua matumizi yake halafy unaanza kusema kakupunguzia maarifa ?? daaah aise safari bado ndefu sana...