Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Ausar
Sasa embu niwekee chain japo ya watu wanne tu toka katika kile kitabu cha "The Stolen Legacy" kisha hiyo chain iwe imetokea moja kwa moja kwa mtu wa kwanza aliye ona na kushuhudia hicho kilicho andikwa humo.
 
Maswali yapi ?
Unasema imeandikwa sisi ikimaanisha?
Haupo ki mjadala kijana, unanipotezea muda, miongoni mwa adabu za mjadala ni kuwa makini na hoja anazo kuandikia aliye dhidi yako, wewe umakini huna, rejea nyuma huko uone maswali ambayo hujajibu.
 
Hahahah mithili hiyo ndo ya kushite kemetic spiritual science yaani LEGACY ....URITHI.
Sasa habari hizi zina chain, na zimetiliwa nguvu na chain ambayo haina mashaka,sasa wewe leta chain hata ya UONGO hapa tuone.

Kwahiyo usilazimishe tufanane kijana.
 
Maswali yote yamejibiwa ila wewe swali ni chain tu ndo nimejibu in general soma hivyo vitabu utaona chain kuanzia beggining mpaka sasa acha uvivu
Haupo ki mjadala kijana, unanipotezea muda, miongoni mwa adabu za mjadala ni kuwa makini na hoja anazo kuandikia aliye dhidi yako, wewe umakini huna, rejea nyuma huko uone maswali ambayo hujajibu.
 
Tumewaumba sisi ni wakina nani hao?

Chain gani unataka nimekupa kitabu kinachoelezea from creation sijui unataka nini au huwezi kusoma
Sasa habari hizi zina chain, na zimetiliwa nguvu na chain ambayo haina mashaka,sasa wewe leta chain hata ya UONGO hapa tuone.

Kwahiyo usilazimishe tufanane kijana.
 
Nimeshakuambia quraan ni upuuzi mtupu.
Tuliza akili kwanza, angalia ulichokiandika kisha rejea nilichokiandika uone viko sawa. Naona unaingia usipo paweza siyo.

Nasema hivi mpaka unakufa, huwezi kuikosoa Qur'aan.

Ahsante.
 
The Big Bang inaanzaje kwani ?

Ushawahi kuhakiki habari hizo ? Ulichukua hatua gani siku ya kwanza kuambiwa au kusoma habari za Kemetic ?

Hakuna kitu kinachoitwa nguvu za uumbaji bali kuna "Muumbaji".
Bigbang haina evidence.

Nimewahi kuhakiki na kukuta ni indoctrination na elimu za kusukwa kwa maslahi kusudiwa

Nilihakiki na kujiridhisha maana milango ya fahamu yote ilishabiana na kuyapokea kwa huru usio na mashaka yani inner peace.
 
Tumewaumba sisi ni wakina nani hao?
Hiyo ni lugha ya uwasilishaji ya kutoa hadhi kwa anaye husika. Hilo kilugha lipo sana, yaani wingi kuwasilisha umoja kwa lengo la kuweka hadhi na utukufu juu ya mtendaji. Mfano katika Kiswahili mtu anawza kusema "Kiatu kama hiki tuna vaa watu kama sisi" muda ambao muhusika ni mmoha ila ametumia wingi ili kukipa hadhi kile anacho kiwasilisha. Hili swali la kitoto saba umeuliza.
 
Nshajibu bigbang haina source ya explosion kwahiyo ni upuuzi

Je katikati ya chain ikaungwa uwongo unaweza thibitisha na hukuwepo
The Big Bang inaelezeaje ?

Chain ndiyo ukweli ulipo lala huko.
 
Acha kuruka sisi wakina nani hao,angali Muumba ni mmoja hata utukufu upo chini yake?
Hiyo ni lugha ya uwasilishaji ya kutoa hadhi kwa anaye husika. Hilo kilugha lipo sana, yaani wingi kuwasilisha umoja kwa lengo la kuweka hadhi na utukufu juu ya mtendaji. Mfano katika Kiswahili mtu anawza kusema "Kiatu kama hiki tuna vaa watu kama sisi" muda ambao muhusika ni mmoha ila ametumia wingi ili kukipa hadhi kile anacho kiwasilisha. Hili swali la kitoto saba umeuliza.
 
Nimewahi kuhakiki na kukuta ni indoctrination na elimu za kusukwa kwa maslahi kusudiwa

Nilihakiki na kujiridhisha maana milango ya fahamu yote ilishabiana na kuyapokea kwa huru usio na mashaka yani inner peace.
Marejeo yako yalikuwa wapi katika huo utafiti wako ?
Bigbang haina evidence
Sijakuuliza kwamba ina evidence au haina, nimekuonyesha kwamba siyo kila masimukizi yanayo elezea chanzi cha kitu ni ya kweli.

Sasa turudi kwenye ishu yako ambayo haina vigezo vya ithibati ya kuwa kweli.
 
Nshajibu bigbang haina source ya explosion kwahiyo ni upuuzi

Je katikati ya chain ikaungwa uwongo unaweza thibitisha na hukuwepo
Naweza kuthibitisha hilo, na nikamtoa mtu muongi katka hiyo chain, au mtu ambaye hajulikani katika hiyo chain. Katika elimu ya rijali (wapokezi wa habari) huwa kuna fani ya kuwachambua wapokezi kwa kusoma historia zao, kujua tabia zao kujua wapi walikuwa wanapokea habari wanazo zinukuu.
 
Acha kuruka sisi wakina nani hao,angali Muumba ni mmoja hata utukufu upo chini yake?
Kazi kweli kweli, huyo ni mmoja na huo ni muundo wa lugha katka kila lugha upo, kutumia wingi kuwasilisha umoja wenye hadhi. Kijana hapa tunaongelea Elimu.

Nakuonyesha sasa ya kuwa huyo ni mmoja,Allah aliye juu anasema :

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni mmoja.

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. (al Ikhlwaas : 1 - 4 )
 
Naweza kuthibitisha hilo, na nikamtoa mtu muongi katka hiyo chain, au mtu ambaye hajulikani katika hiyo chain. Katika elimu ya rijali (wapokezi wa habari) huwa kuna fani ya kuwachambua wapokezi kwa kusoma historia zao, kujua tabia zao kujua wapi walikuwa wanapokea habari wanazo zinukuu.
Sasa fatilia habari zangu kwa minajili hiyo homework
 
Kazi kweli kweli, huyo ni mmoja na huo ni muundo wa lugha katka kila lugha upo, kutumia wingi kuwasilisha umoja wenye hadhi. Kijana hapa tunaongelea Elimu.

Nakuonyesha sasa ya kuwa huyo ni mmoja,Allah aliye juu anasema :

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni mmoja.

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. (al Ikhlwaas : 1 - 4 )
Si kweli ndo maana hata biblia inasema tumemuumba kwa mfano wetu meaning sisi,hapa kuna siri kubwa sana

GOD IS IMMORTAL MEN AND god IS MORTAL MEN.
 
Back
Top Bottom