Mwafrika ndio kiumbe wa kwanza ulimwenguni

Anakuwaje ndani yetu ?

Kwa muunganiko wa ukweli,upendo,ulinzi,amani,uhai,ujasiri,kujitegemea,kujiamini,kutawala na kuumba.

Hujanijibu kwamba unajuaje ksma yupo ndani yetu ?

Nimeshajibu juu
 
Hapa
Nionyeshe wapi ? Mimi sijapaona.
IMG_20200608_215948_329.JPG
 
Mkuu hivi annunaki unawazungumziaje?maana picha ya dunia kwangu inaanza kukamilika
Anunnaki ni viumbe kama walivokuwa binadamu wakiwa katika dunia nyingine (Another Dimension).

Utofauti wao na binadamu wao wapo mbele zaidi katika sanaa, sayansi, teknolojia na masuala mbalimbali.

*Na sio complicated kama walivokuwa binadamu*
 
Anunnaki sio the watchers wa dunia yetu?maana nacho fahamu mmoja aliwahi kusema "we are human being descendants "

Na refer anunnaki kama "aliens"
 
Ndio anaumba

Ni mkamilifu

Ni mkamilifu

According to my perception
"GOD IS POWER WITHIN CREATION"
Mwanadamu ana umba ? Mungu wako ni mkamilifu au kinyume chake ? Mwanadamu ni mkamilifu au kinyume chake ?

Mungu ana umbile au hana ?
 
Watumwa wa fikra ambao mpo indoctrinated na brainwashed ambao mmekulia kwenye formal education hampo skeptical hata mawazo huru mnakuwa masomaniac jaribu kushirikisha bongo PERIOD.
Wewe ambaye huna utumwa wa fikra au una akili huru unadhani tofauti yako na mimi ni ipi?.Au kuandika vitu vyakuokoteza uko kwenye mitandao ndo kwako unaona ndo ukweli.Maisha ya bara la afrika yako wazi toka enzi na enzi hakuna haja yakuunga unga historia zilizoandikwa na watu kwa interest zao.Tena bora useme mwafrika ataenda kua bora uko miaka ijayo ila sio alikua bora alafu akarubuniwa tena kiasi chakumfanya ashindwe kurudi alikokua.Kwahiyo wewe ndo umerubuniwa.
 
Tofauti yangu mimi na wewe ni kuwa wewe unatawaliwa mimi najitawala
 
Ndio anaumba

Ni mkamilifu

Ni mkamilifu

According to my perception
"GOD IS POWER WITHIN CREATION"
Kama hivyo ndivyo vipi akae ndani ya viumbe vyenye mapungufu wakati yeye ni mkamilifu, ukamilifu wake uko wapi hapo ? Kinyume chake ukiri kwamba hii maana ya "....within.... " hujaielewa kama ambavyo Wakristo hawakuelrwa ile kauli isemayo "....tukaumba mtu kwa mfano wetu... ", kisha wakadai kwa maana hii basi sisi tumeumbwa kwa mfano wa Mungu, walati huo huo wanasema Mungu ni Roho, ni kujichanganga juu ya kujichanganya.
 
Wewe bila roho unaweza kuwa mtu?

Mapungufu yapi?
Mwanadamu ana sahau,mwanadamu anahitaji msaada, mwanadamu haoni nje ya upeo wa macho yake, mwanadamu haijui kesho yake, haya yote yanaonyesha upungufu na kutokukamilika kwake.
Nani aliyekuambia Mungu anaumba venye mapungufu.
Unapojenga hoja hivi kitoto walati upungufu tuko nao na unaonekana unaonyesha ya wazi ya kuwa Mungu wako si mkamilifu.

Kwanza nikuulize swali dogo, habari za Mungu wewe unazichukua toka wapi ?
Swali langu nijibu.
Hakuna roho bila mwili. Siwezi kuwa mtu, bali nitakuwa mfu.
 
Unajua haya
1.kuna watu hawasahau
2.kuna watu wanajua kesho yake
3.kuna watu wanaingia kwenye dimension tofauti
4.unajua kuna watu wanaishi wenyewe iwe porini ama visiwani na hawahitaji msaada wa chochote

Mungu wangu habari zake nazitoa kwenye pineal gland na within an intelligence substance ndani ya ubongo wangu.

Unajua kuna nafsi,mwili na roho ,unaelewa kuwa mfu ana nafsi na mwili ila akipuliziwa pumzi ya uhai au roho ndo huwa mtu.ili tuweze kuwa mortal gods lazima tuwe na mwili na nafsi na roho tukitransform kuwa immortal tunahitaji roho na nafsi maana mwili ni vazi la ulimwengu wa kimwili tu ila dimension ya kiroho mwili hauna kazi maana hapo tunaita eternity only existing as a deity.

Ukiwa na roho maana yake una MUNGU ndani yako unakuwa mtu ama AUSAR(ISIRIS).
Mwanadamu ana sahau,mwanadamu anahitaji msaada, mwanadamu haoni nje ya upeo wa macho yake, mwanadamu haijui kesho yake, haya yote yanaonyesha upungufu na kutokukamilika kwake.

Unapojenga hoja hivi kitoto walati upungufu tuko nao na unaonekana unaonyesha ya wazi ya kuwa Mungu wako si mkamilifu.

Kwanza nikuulize swali dogo, habari za Mungu wewe unazichukua toka wapi ?

Hakuna roho bila mwili.
 
Back
Top Bottom