Mhigomkami
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 1,200
- 857
Tukitaka tusiwe watumwa wa wazungu tunatakiwa Hata Elimu na lugha vyote tubadili tangu nursery
1.africa ya kusini kabla ya mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina
2.wachezaji wa soka toka africa kama yaya toure,drogba,etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za afrika si lolote si chochote
3.zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama london mliofika harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote
4.tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi
5.reli zote za tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na oysterbay ni kazi ya wazungu
6.chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu
7.wasomi wazuri wa afica wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu
8.karne ya kumi na tano africa na ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi
hitimisho
kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote
Mkuu Kijakazi Walioishi nyumba za kimila zilizoezekwa kwa nyasi waliona kuwa kuishi humo ni tatizo?
Mbona dola za misri na Afrika magharibi ziliwahi kuwa juu hata kuliko hao unaowataja? Kama waafrika wasingekuwa na uwezo yangewezekanaje hayo?
kijakazi nakwambia michuano ya madola imefanya niamini kuhusu akili zetu,timu inapeleka mkimbiaji mwenye kidonda kupambana na usain bolt,hata kurusha mkuki na tufe ni kama mtihani wa hesabu,hilo la kusolve hesabu moja siku nzima na mwingine akalisolve kwa dakika mbili mimi HGL nimebaki kuchekaHawakuona kama ni tatizo kwa kuwa hawakuwa na namna nyingine lkn haimaanishi kwamba ilikuwa ni njia bora ya kuishi kama ingekuwa hivyo leo hii tusingekuwa tunatumia fedha nyingi kujenga nyumba Imara tungebaki huko kwenye nyasi!
Unaongelea mambo ya Misri, hayo mimi sijui, siwezi kuanza kujadili mambo yaliyotokea miaka 4000 iliyopita kabla ya Yesu kuzaliwa, mimi naishi leo na ninaona mambo jinsi yanavyokwenda kwamba tatizo letu kubwa ni uwezo mdogo wa kutatua matatizo, ni hivyo tu!
Isitoshe hata kuhusu Misri yenyewe kama wewe ni Mtz na umezaliwa TZ ni Mzungu ndiye aliyekufundisha hata kulikuwa na mafarao, kama unataka kupinga pinga tu, lkn ndio UKWELI huo, mimi bibi yangu kijijini nikimuuliza Mambo ya farao wala hajui achilia mbali hata kujua kama kuna Nchi inaitwa Misri!
Tunarudi palepale Uwezo mdogo wa kiakili ndio Adui yetu Mkubwa, angalia hii inayokitwa Katiba Mpya tumetumia mabilioni ya fedha kukarabati hili linaloitwa Bunge la Katiba, lkn mpaka leo hii hakuna jipya na bado watu wanendela kulipana fedha bila ya kazi,sasa kama walijua hawataki Katiba ni kwanini hawakupeleka hizo fedha kujenga Shule? Kwa nini hakuna Mtu aliliona Hili? Hapo ni Akili tu ndugu, kama umesoma Hisabati ndio utaelewa vizuri kuna watu wanakaa siku nzima kujaribu kukokotoa swali moja la hesabu mwingine ukimpa swali hilo hilo anatumia dakika 2 anakupa jibu, hivyo huyu wa dakika 2 ana uwezo mkubwa wa kufikiri na kutatua tatizo, Ni rahisi kihivyo tu!
Basi kubali kuwa ni suala la wakati!Hawakuona kama ni tatizo kwa kuwa hawakuwa na namna nyingine lkn haimaanishi kwamba ilikuwa ni njia bora ya kuishi kama ingekuwa hivyo leo hii tusingekuwa tunatumia fedha nyingi kujenga nyumba Imara tungebaki huko kwenye nyasi!
Unaongelea mambo ya Misri, hayo mimi sijui, siwezi kuanza kujadili mambo yaliyotokea miaka 4000 iliyopita kabla ya Yesu kuzaliwa, mimi naishi leo...[/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE][/SIZE]
[/SIZE]
halafu swala la asilimia 80 ya watanzania kuwa wakulima nayo ni ishu kilimo chetu hakitumii akili business as usual,wabakie wakulima wachache let say 20 percent wawezeshwe kimaarifa na mitaji,wengine wafanye viwandani kwa kutumia mali ghafi za kutoka shambani upeo utaongezeka na uchumi utakuwa ulaya na nchi zilizoendelea hakuna hii kitu ya peasants,hata china imetransorm kwenda kwenye viwanda imeachana na ukulima mdogoBasi kubali kuwa ni suala la wakati!
Wewe unasema huwezi kujadili mambo ya 4000 years ago lakini elewa kuwa kipindi hicho waafrica walikuwepo pia labda useme kuwa mafarao hawakuwa waafrika. Mimi siungi mkono uzembe wa kutotumia rasilimali vizuri ila nakataa hoja ya kuwa mzungu ana akili kuliko muafrika na ndipo tunaona kuwa ni suala la wakati tu. Kuna kipindi wahabeshi na wamisri walikuwa juu, kunakipindi warumi walikuwa juu, leo wamarekani, kesho wachina na wakorea, n.k. Ukifuta historia ukataka kujaji kwa kuangalia leo tu utakuwa unakosea. Kila mtu awe tajiri sasa nani atakuwa masikini? Matatizo ndiyo yanafanya watu waumize vichwa na kujua wafanyeje kujikwamua. Kama huna foleni kali hutofikiria flyovers hata sikumoja labda kama unahela za mapambo ukaamua kuupamba mji. Usitumie wingi wa matatizo kama kielelezo cha udogo wa akili.
Narudia tena siungi mkono viongozi kuendesha mashangingi, ufisadi na udhalimu wowote uliopo huku watoto hawana madawati, walimu, nyenzo imara za kufundishia, miundombinu bora n.k.
Tukitaka tusiwe watumwa wa wazungu tunatakiwa Hata Elimu na lugha vyote tubadili tangu nursery
Ni kama Mtu anayesema Waislamu SIYO Magaidi lkn Magaidi wote wametokea kuwa Waislamu! Hivyo ni sawa kwamba Akili haifuatani na ngozi lkn Maendeleo ya Mtu ni alama pekee ya uwezo wake wa kiakili, yaani uwezo wake wa kutatua matatizo, ndio unaotofautisha binadamu mmoja na mwingine, hivyo kwa kuwa sisi tumetokea kuwa masikini kuliko Binadamu yoyote yule Dunia Hii kwa kigezo chochote kile cha kupima Maendeleo ina maana uwezo wetu wa kutatua Matatizo ni Mdogo!
Unasema Ubelgiji isingejengeka kama isingekuwa Kongo kwanini isiwe kinyume chake? Wabelgiji waliwezaje kutoka Ulaya kuja Kumnyonya Mkongo?
Kama Mkongo alikuwa na Uwezo wa kutatua Matatizo huo unyonyaji usingemkuta ama angehakikisha kwamba wote wawili wanafaidika yaani mbelgiji na Mkongo Pia!
Mifano iko mingi, Ujapani walitawala Taiwani, Korea na Uchina pia waliiba Rasilimali nyingi lkn mwisho wa siku waligawana na wote wameendelea!
Waingereza walitawala Hong kong Pia kama vile walivyotawala Kenya au sijui Malawi sasa kwa nini Hong Kong ni Matajiri Malawi Masikini? Walitwala Singapore pia hata Malyasia na waliiba pia kama kwetu lkn ni kwanini waliweza kugawana hizo Rasilimali na kwetu walichukua zote?
sijatukana ni ukweli mchungu ndugu yangu tetea uafrika wako kwa point
Basi kubali kuwa ni suala la wakati!
Wewe unasema huwezi kujadili mambo ya 4000 years ago lakini elewa kuwa kipindi hicho waafrica walikuwepo pia labda useme kuwa mafarao hawakuwa waafrika. Mimi siungi mkono uzembe wa kutotumia rasilimali vizuri ila nakataa hoja ya kuwa mzungu ana akili kuliko muafrika na ndipo tunaona kuwa ni suala la wakati tu. Kuna kipindi wahabeshi na wamisri walikuwa juu, kunakipindi warumi walikuwa juu, leo wamarekani, kesho wachina na wakorea, n.k. Ukifuta historia ukataka kujaji kwa kuangalia leo tu utakuwa unakosea. Kila mtu awe tajiri sasa nani atakuwa masikini? Matatizo ndiyo yanafanya watu waumize vichwa na kujua wafanyeje kujikwamua. Kama huna foleni kali hutofikiria flyovers hata sikumoja labda kama unahela za mapambo ukaamua kuupamba mji. Usitumie wingi wa matatizo kama kielelezo cha udogo wa akili.
Narudia tena siungi mkono viongozi kuendesha mashangingi, ufisadi na udhalimu wowote uliopo huku watoto hawana madawati, walimu, nyenzo imara za kufundishia, miundombinu bora n.k.
Umeongea vitu vingi sana ambavyo vinahusu utawala na wala data zake hazipo spread throughout..., hivi unaposema wazungu unamaanisha Europe nzima ? unamaanisha Eastern Europe ambapo pia kuna masikini wa kumwaga au unaweka mpaka India ?
Unaweka mpaka Egypt kwenye Inventions za Pyramids n.k. as well as irrigation waliyokuwa wanaifanya kutoka kwenye mto Nile au unawaweka baadae sababu ya vita na mapigano na wao kupiga hatua nyuma ?
Umeongelea Belgium kutawala Congo.., hivi unadhani Belgium wangekuwa na kila kitu wangehangaika kuja Africa kutafuta malighafi ?
Kwahio narudia hata hapo kwenye magaidi sidhani kama haya mambo ya suicide bomber yalianzishwa na waislamu, mambo ya kutumia binadamu kama silaha pia yalifanywa na mjapan wakati wa vita baada ya Kamikaze Soldiers walivyokuwa wanaondoka na ndege ikipaa haina mafuta hata ya kutua na kutumia ndege zao kama silaha na wenyewe kujiua..
Sio kweli kwamba bila wazungu Africa hatuwezi kuendelea tukijipanga Africa ina kila kitu cha kuweza kujitegemea (as a continent) tofauti na Continents nyingine..., Hell if you believe History this is the Motherland... where life began...
Narudia tena Necessity is the Mother of Creation and Empires Rise and Fall huenda huu ni wakati wa Asia (China) na generations from now kutokana na changes fulani fulani ikatokea an African Empire ikawa juu
ukiielewa hii coment ina maana kubwa sana tatizo huyo mama hajui kama maji yako chini ya ardhi maana itahitajika vipimothere is a problem some where kuna katuni niliona mwanakme wa kiafrika anafuata maji kilometa sita kwa ndoo horizontally wakati vertically maji yapo mita 6 ardhini hana nyenzo za kuyachimba
sijatukana ni ukweli mchungu ndugu yangu tetea uafrika wako kwa point
sheria haitatuondolea Ebola, Mzungu atatuondolea. Muda wowote kuanzia j3 watafungua mikoba yao kutupatia dawa.Kwa maoni yangu si kweli kwamba wazungu wote wana akili sana kuzidi mtu mweusi. Tatizo lililopo hayo tunayoongea sijui mzungu nini IPO AKILINI MWETU . Mtoto mdogo tu anaonyeshwa kwenye tv jinsi ulaya ilivyo kuzuri, shuleni mtu unasoma lakini unawaza bahati itokee uende Ulaya. Ni fikra tu ukweli Africa kuzuri tu kama Ulaya.
TUFANYE NINI?
Tusimamie sheria tu. Mafisadi wafungwe na mtu akituhumiwa tu kuwa amekula rushwa au kafisadi Afilisiwe na aende jela.
Ukikamatwa unakwepa kodi au unajishughulisha na biashara haramu unafilisiwa na jela.
Kesi ziwe zinaendeshwa na hakimu au judge zaidi ya mmoja na wasiofahamiana.
so mtu atoke europe aje akuchimbie maji mita 6 ardhini some times lowassa na mapungufu yake tunahitaji watu wa dizaini ile shinyanga walikuwa hawana maji wakati ziwa victoria liko km chache aliamuru yapelekwe shinyangaukiielewa hii coment ina maana kubwa sana tatizo huyo mama hajui kama maji yako chini ya ardhi maana itahitajika vipimo