Mwafrika bila mzungu si chochote

Mwafrika bila mzungu si chochote

Kama hdi leo kuna watu wanawaza au kuwa na mawazo kama haya basi tuna safari ndefu sana ya kujitambua

Huenda hata isifikie mwisho!
 
siyo utumwa wa akili chief, akili yetu ndiyo inapoishiaaa utekelezaji wa mambo tatizo......kila mara kuomba msaada kwa wazungu wakati rasilimali zote tunazo

Juzi juzi mkuu wa nchi anaomba wachina waje watupangie miji wakati urban and regional planners wamejazana mitaani mpaka wengine wanafanya kazi za customer care kwenye makampuni ya simu, wengine wameamua kuwa mabank teller.
 
Ni kama Mtu anayesema Waislamu SIYO Magaidi lkn Magaidi wote wametokea kuwa Waislamu! Hivyo ni sawa kwamba Akili haifuatani na ngozi lkn Maendeleo ya Mtu ni alama pekee ya uwezo wake wa kiakili, yaani uwezo wake wa kutatua matatizo, ndio unaotofautisha binadamu mmoja na mwingine, hivyo kwa kuwa sisi tumetokea kuwa masikini kuliko Binadamu yoyote yule Dunia Hii kwa kigezo chochote kile cha kupima Maendeleo ina maana uwezo wetu wa kutatua Matatizo ni Mdogo!

Unasema Ubelgiji isingejengeka kama isingekuwa Kongo kwanini isiwe kinyume chake? Wabelgiji waliwezaje kutoka Ulaya kuja Kumnyonya Mkongo?
Kama Mkongo alikuwa na Uwezo wa kutatua Matatizo huo unyonyaji usingemkuta ama angehakikisha kwamba wote wawili wanafaidika yaani mbelgiji na Mkongo Pia!

Mifano iko mingi, Ujapani walitawala Taiwani, Korea na Uchina pia waliiba Rasilimali nyingi lkn mwisho wa siku waligawana na wote wameendelea!

Waingereza walitawala Hong kong Pia kama vile walivyotawala Kenya au sijui Malawi sasa kwa nini Hong Kong ni Matajiri Malawi Masikini? Walitwala Singapore pia hata Malyasia na waliiba pia kama kwetu lkn ni kwanini waliweza kugawana hizo Rasilimali na kwetu walichukua zote?

1. Sijui neno ugaidi unalitafsiri vipi mpaka uwatolee mfano waislamu kuwa ni magaidi.
2. Waafrika hawakuwa na mahitaji waliyokuwa nayo hao mnaowaita wazungu. Hivyo basi kwa kuwa wao ndiyo waliohitaji rasilimali zetu iliwapasa wao kuja huku.
 
Juzi juzi mkuu wa nchi anaomba wachina waje watupangie miji wakati urban and regional planners wamejazana mitaani mpaka wengine wanafanya kazi za customer care kwenye makampuni ya simu, wengine wameamua kuwa mabank teller.
umeona chief....wataalam tunao ila kuna baadhi ya watu wao wanataka kila kitu tuwafate hao wazungu.wao siyo watekelezaji hiyo ndiyo shida
 
1. Sijui neno ugaidi unalitafsiri vipi mpaka uwatolee mfano waislamu kuwa ni magaidi.
2. Waafrika hawakuwa na mahitaji waliyokuwa nayo hao mnaowaita wazungu. Hivyo basi kwa kuwa wao ndiyo waliohitaji rasilimali zetu iliwapasa wao kuja huku.

Huo ni Uongo Uliopitiliza, kwanza kama unaongelea Ukoloni Afrika ilikuwa ni ya mwisho kabisa kutawaliwa, Wafaransa, Waingereza, Wareno, Wajapani walianzia Marekani (zote Kusini na Kaskazini),Asia yaani India, Uchina, Indonesia, Vietnam n.k huku kwetu wamekuja mwishoni kabisa ukiondoa labda A.Kusini, na hiyo ilikuwa tayari mapinduzi ya Viwanda yalishafanyika ambapo Rasilimali zake kubwa walikuwa wanatoa Asia (India) na kwingineko!

Na kusema kwamba Waafrika tulikuwa hatuna mahitaji unamaanisha nini? Kuna sehemu nyingi tu Duniani wana Mazingira kama yetu nikimaanisha kuanzia hali ya Hewa mpaka chakula lkn wameeendelea kuliko sisi, sasa sijui una maanisha jini kwa kusema mahitaji?
 
Si ajabu ungekuwa mchina ungejichukia na kusema kwanini hamkuenda kuwatawala wajapani ila wao wakaja kuitawala china. Hivi hujiulizi kwanini mpaka leo wachina na wazungu wanang'ang'ania kuja kuishi Afrika? Unafikiri marais wa marekani na china wanampenda sana JK sio?
 
hatuna uchungu wa maendeleo kuanzia hao marais wetu hadi baadhi ya watu.....hatuwezi kujiwekea miundo mbinu ambayo itadumu badala yake tunajali maslahI ya watu fulani
 
Si ajabu ungekuwa mchina ungejichukia na kusema kwanini hamkuenda kuwatawala wajapani ila wao wakaja kuitawala china. Hivi hujiulizi kwanini mpaka leo wachina na wazungu wanang'ang'ania kuja kuishi Afrika? Unafikiri marais wa marekani na china wanampenda sana JK sio?

ukoloni wa kisasa huo unaitwa.......watu wanataka rasilimali huku wazikwangue mpaka ziisheee wazipeleke kwao
 
Si ajabu ungekuwa mchina ungejichukia na kusema kwanini hamkuenda kuwatawala wajapani ila wao wakaja kuitawala china. Hivi hujiulizi kwanini mpaka leo wachina na wazungu wanang'ang'ania kuja kuishi Afrika? Unafikiri marais wa marekani na china wanampenda sana JK sio?

Acha kujidangtanya! Hakuna Mzungu au Mchina anayeng'ang'ania kuja kuishi kwetu Afrika, bali kinyume chake, sisi ndio tunazama kwenye bahari kwa mamia kila siku kutaka kwenda kuishi Ulaya, nenda ubalozi wa Marekani ama Uchina uone foleni za kuomba viza lkn mbona wao huko kwao hakuna foleni kwenye Balozi zetu kama wanang'ang'ania kuja kwetu? kama ingekuwa hivyo si wangebakia? Kwani walishindwa kubakia Ghana au Malawi kama walivyofanya AK?

Ndio maana yake unafikiri wao Wachina wanafurahia kutawaliwa na Wajapani? na ndio maana mpaka leo wana bifu karibu waanze kuchapana, Wachina hawawapendi kabisa Wajapani kwa sababu hiyo!
 
(1) viongozi wetu marais na cabinet zao hawana uchungu wa nchi za africa wanajali maslahi yao kwa kuziweka nchi hizi katika wakati mgumu, kiuchumi na kijamii
(2) sisi baadhi yetu hatuna ustarabu wa kutunza miundo mbinu yetu....kama wenzetu wazungu
(3) sisi siyo wachapakazi mtu akiwa ofisini mfano ya serikali anaona hiyo kazi kama ya baba yake kulegelegea tu ofisini kwenda kuchukua faili yako anaona kama kazi kubwa kazi ya dakika 5 unakaa masaaa, hiyo watu wameona kwenye vitambulisho vya taifa mtu unakwenda saa tatu kurudi saa tisa...
 
Acha kujidangtanya! Hakuna Mzungu au Mchina anayeng'ang'ania kuja kuishi kwetu Afrika, bali kinyume chake, sisi ndio tunazama kwenye bahari kwa mamia kila siku kutaka kwenda kuishi Ulaya, nenda ubalozi wa Marekani ama Uchina uone foleni za kuomba viza lkn mbona wao huko kwao hakuna foleni kwenye Balozi zetu kama wanang'ang'ania kuja kwetu? kama ingekuwa hivyo si wangebakia? Kwani walishindwa kubakia Ghana au Malawi kama walivyofanya AK?

Ndio maana yake unafikiri wao Wachina wanafurahia kutawaliwa na Wajapani? na ndio maana mpaka leo wana bifu karibu waanze kuchapana, Wachina hawawapendi kabisa Wajapani kwa sababu hiyo!

Kwa hiyo marais wa marekani na china ambazo ni nchi kubwa tajiri duniani wanaurafiki sana na JK ndiyo maana walikuja TZ hivi majuzi sio? Wewe unazungumzia mambo ya watu kwenda kutafuta ajira au kibarua magharibi mi nazungumzia mambo ya wazungu na wa asia kuja kuwekeza Afrika na marais wao nyuma ya msafara.
 
Kwa maoni yangu si kweli kwamba wazungu wote wana akili sana kuzidi mtu mweusi. Tatizo lililopo hayo tunayoongea sijui mzungu nini IPO AKILINI MWETU . Mtoto mdogo tu anaonyeshwa kwenye tv jinsi ulaya ilivyo kuzuri, shuleni mtu unasoma lakini unawaza bahati itokee uende Ulaya. Ni fikra tu ukweli Africa kuzuri tu kama Ulaya.
TUFANYE NINI?
Tusimamie sheria tu. Mafisadi wafungwe na mtu akituhumiwa tu kuwa amekula rushwa au kafisadi Afilisiwe na aende jela.
Ukikamatwa unakwepa kodi au unajishughulisha na biashara haramu unafilisiwa na jela.
Kesi ziwe zinaendeshwa na hakimu au judge zaidi ya mmoja na wasiofahamiana.
 
Kwa hiyo marais wa marekani na china ambazo ni nchi kubwa tajiri duniani wanaurafiki sana JK ndiyo maana walikuja TZ hivi majuzi sio? Wewe unazungumzia mambo ya watu kwenda kutafuta ajira au kibarua magharibi mi nazungumzia mambo ya wazungu na wa asia kuja kuwekeza Afrika na marais wao nyuma ya msafara.

Na ndio hapo swala la Akili linapokuja sasa! Ni kwanini kwetu tu? Ni kwanini tunashindwa kuona kwamba tunaibiwa? Ni kwa nini Obama hajaitisha Ikulu ya Marekani Mkutano wa Maraisi wote wa Asia kwa mpigo kama alivyofanya kwetu badala yake Obama ndio anaondoka kwenda Asia kuhudhuria mkutano wa ASEAN (umoja wa Kiuchumi wa Asia)

Nimekwambia kwamba Umaskini unaendana moja kwa moja na uwezo wako wa kutatua Matatizo, kama wewe una tatizo hilo hilo kila siku na unashindwa kulitatua basi uwezo wako wa kiakili ni Mdogo ni rahisi kihivyo tu!
Kama wewe kila siku unashinda njaa kwa ajili ya ukame kwa Miaka nenda rudi unashindwa kufikiria kwamba siku Mvua nyingi ikinyesha basi wacha nivune Maji mengi yakutosha ili wakati wa ukame niweze kuyatumia na Matokeo yake kupata chakula cha kutosha basi una uwezo mdogo wa kiakili!

Hakuna Sehemu nyingine Dunia hii ambapo Nchi ina kila aina ya Rasirimali kuanzia Maji(Maziwa makuu 3), Mito mikubwa isiyo kauka, Bahari km² >1400, Madini, Milima na Mabonde lkn bado unasafiri na kutumia Mabilioni ya fedha kwenda kumuomba Binadamu mwenzako aje akusaidie wakati yeye ni Binadamu kama wewe, ISIPOKUWA kwetu Afrika TU!
Niambie Ni Nchi Raisi anaondoka kwenda kuomba msaada wa Binadamu mwenzake aje amsaidie kulima na kumzalishia Chakula? Halafu utaniambia huyo Mtu ana uwezo wa kutatua Matatizo?

Mimi tangu nasoma shule ya Msingi nimekaa Chini kwa sababu hakuna Madawati lkn tumezungukwa na Miti na Mapori Tabora nzima 3/4 ni Mapori yenye Miti na leo hii bado hiyo Shule Watoto wanakaa chini sasa utasema una uwezo wa kutatua Matatizo?
nenda W.Elimu utakuta Malnd cruiser ya milioni 200 yamepaki zaidi ya ishirini lkn watoto hawasomi, kwa kuwa hamna Vitabu,Madawati, Wana njaa... sasa utasema tuna uwezo wa kutatua Matatizo?
 
kijakazi umemaliza kila kitu tena hapa si viongozi tu bali hata viongozi watarajiwa uwezo wa kutatua matatizo yetu ni mdogo sana
 
kweli kabisa....watu wanauwezo wa kutatua wanafunzi wasikae chini lakini mpaka karne hii bado wanafunzi wanakaa chini hela nyingi wanaitumia katika mambo ya anasa tu...v8 anasa tu syo sifa kwa serikali kuitumoa
 
kijakazi umemaliza kila kitu tena hapa si viongozi tu bali hata viongozi watarajiwa uwezo wa kutatua matatizo yetu ni mdogo sana
viongozi hao ndiyo namba moja katika kuwa mabwege
 
Kama hdi leo kuna watu wanawaza au kuwa na mawazo kama haya basi tuna safari ndefu sana ya kujitambua

Huenda hata isifikie mwisho!
we utakuwa dennis haysebert wa ukweli hujui kinachoendelea africa
 
Mkuu Kijakazi Walioishi kwenye nyumba za kimila zilizoezekwa kwa nyasi waliona kuwa kuishi humo ni tatizo?
Mbona dola za misri na Afrika magharibi ziliwahi kuwa juu hata kuliko hao unaowataja? Kama waafrika wasingekuwa na uwezo yangewezekanaje hayo? Au sasa unazungumzia wa TZ na sio waafrika tena?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom