Mwafrika bila mzungu si chochote

Mwafrika bila mzungu si chochote

Mdakuzi hii nimeipenda maji horizontal distance 6 km wakati vertical distance 6m,sipati picha hapo hypotenuse itakuwaje.Kwahyo tunashindwa kuchimba visima mita 6 lakini tupo radhi tukapoteze muda na nguvu za kutembea kwa kufata maji km 6.
ni jukumu la nani kuchimba hicho kusima ni yule anayenda kuchota maji km 6 au ? tatizo ni huyo anayekabidhiwa jukumu hilo kusimamia zoezi hilo badala ya kutekeleza ah wanafanya mambo mengine....
 
uwezo wetu wa kufikiri ndio umeishia hapo
 
Wamewafanya muamini hivyo na wamefanikiwa ndiyo maana kila kitu kibaya kwenye kamusi zao wamekiita black...blackmagic, blackhat, blackmail, blackmarket, blackleg, blacklist, blackguard n.k na vitu vizuri vinaenda na white... whitemagic, whitehat, whitelist,n.k. Wachina, Wahindi na Wajapani wanakuja kushika uchumi wa dunia na tumeshuhudia kuwepo kwa wahindi weusi sasa kumbe na wao ni wazungu.
unajua synonymous meaning ya white house,house for white people,obama ndio kavunja huo mwiko nasi tuvunje miiko mingine lukuki iliyobaki
 
Kabla hujavunja unatakiwa uamini kwamba unaweza. Uamini kwamba mtu mweusi unauwezo sawa na race yoyote. Ukishindwa ndipo watu wana 'take the brain and keep the body'. It's what other calls it Mental Slavery
 
Kupiga makelele tu bila kuchukua hatua nao ni ujinga tu!
 
Unaposema wazungu unamaanisha watu wa aina gani na watu wa wapi...

Mimi naamini Necessity is the Mother of Invention kwahio kutokana na shida fulani au mahitaji ya jambo fulani watu wa sehemu fulani walijikuta wanatumia sana akili ili kuweza kuishi kuliko watu wa sehemu nyingine (waliobarikiwa na mazingira mazuri)

Naweza kusema sehemu kama Egypt (hawa sio wazungu) waligundua vitu vingi sana.., pia kutokana na mazingira na watu fulani (scholars) kutoka sehemu fulani unakuta walipelekea sehemu fulani fulani kuwa na seekers of knowledge.., pia sababu ya empires kubwa kubwa kuwa sehemu fulani na muingiliano na utafutaji wa wealth ulipelekea empires fulani kuwa na nguvu kuliko nyingine kitu ambacho kimepelekea mpaka leo baadhi ya hizo sehemu kuwa na nguvu mfano British Empire, Roman Empire au sehemu nyingine kama Belgium isingejengeka kama isingekuwa unyonyaji wa Congo..

Nachotaka kusema ni kwamba Akili haifuatani na Ngozi bali mazingira hujenga na culture ya watu ikishazoeleka ni vigumu kuondoka.., kwahio mtoto wako akilelewa na wanyama usishangae kama atakuwa na tabia za kinyama.., vilevile kwa haya matatizo yetu ya sasa usishangae ukakuta mtoto kutoka Africa akawa na upeo wa fikra kuliko mtoto aliye sehemu ambapo kuna kila kitu wala hakuna matatizo
 
Kupiga makelele tu bila kuchukua hatua nao ni ujinga tu!

Hatua zinaanzia kwenye 'makelele'. Without 'makelele' Nelson Mandela, Mohandas Karamchand Gandhi and Martin Luther could be nobodies in the planet earth...
 
unajua synonymous meaning ya white house,house for white people,obama ndio kavunja huo mwiko nasi tuvunje miiko mingine lukuki iliyobaki

mdukuzi itakuwa ngumu kuvunja kama tutakuwa tunaanza kuji downgrade wenyewe kwamba sisi si lolote mpaka aje mzungu.....ushawahi kujiuliza hao wazungu toka karne hizo walifuata nini Africa?Moja ya mwiko tunaotakiwa tuvunje ni kutimua hao wazungu wako wanatuibia tu na kututengezea magonjwa mara ngoma mara ebola shwaaaiiin hawa!
 
Last edited by a moderator:
1.africa ya kusini kabla ya mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina
2.wachezaji wa soka toka africa kama yaya toure,drogba,etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za afrika si lolote si chochote
3.zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama london mliofika harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote
4.tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi
5.reli zote za tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na oysterbay ni kazi ya wazungu
6.chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu
7.wasomi wazuri wa afica wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu
8.karne ya kumi na tano africa na ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi

hitimisho
kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote

Hata na hii Internet unayotumia imetoka kwa Wazungu. Wazungu wameturoga kweli kweli.
 
katika utekelezaji sisi bure kabisa .....
 
1.africa ya kusini kabla ya mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina
2.wachezaji wa soka toka africa kama yaya toure,drogba,etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za afrika si lolote si chochote
3.zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama london mliofika harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote
4.tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi
5.reli zote za tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na oysterbay ni kazi ya wazungu
6.chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu
7.wasomi wazuri wa afica wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu
8.karne ya kumi na tano africa na ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi

hitimisho
kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote

Ngoja niongezee; Sehemu zote zilizopangika na Mitaa yenye majina kama Kariakoo,Upanga, Kinondoni, Magomeni, Temeke, Kurasini, Ilala, Chang'ombe zilijengwa na Wazungu, sehemu zetu mpya kama Mikocheni, Mbezi Beach, Tegeta, Mbweni, Kinyerezi, Tabata hakuna majina ya Mitaa kila Mtu anajiwekea jina Lake, hata Halmashauri kuweka tu Vibao vya Mitaa tumeshindwa halafu tunaongelea Gas Economy!!

Beach pekee iliyo Dar ambayo ni wazi kwa kila Mtu coco beach au Ocean road ilitengwa na Wazungu, Sehemu zetu mpya zote kama msasani, Kunduchi, Mbezi Beach zote watu wamejenga mpaka Baharini na kuweka ukuta, Nyerere akiwa wa kwanza kujenga Msasani Baharini kabisa wakati sheria hairuhusu (inasema Mita hamsini ktk Baharini kama Ikulu ilivyojengwa na Wazungu), hivyo Wazungu wasingekuja na kutenga Coco beach leo hii tungekuwa hatuna sehemu ya kupumzika baharini ingawaje Mji wetu wa Dar Upo Bahari kabisa, tungejenga kote!

Madini yote tunayosema tunachimba kuanzia dhahabu, Almasi, Shaba yalifanyiwa utafiti tangu enzi za Wazungu hivyo sisi tumeenda kupekuwa Ramani tu lkn hakuna Migodi mipya kabisa!

Hata aliyesema hapa tulime Kahawa, pale katani, Mpunga ni Wazungu Pia!

huu ndio utumwa wa kiakili, na itaendelea kugharimu NYIE MIAFRIKA kwa muda wa miaka 1000 ijayo hadi mtakapo jitambua naonea huruma vibaraka wa wazungu, SHAME ON YOU. HAWA NDIO WAZEE CCM NAMBARI WANI
 
Unaposema wazungu unamaanisha watu wa aina gani na watu wa wapi...

Mimi naamini Necessity is the Mother of Invention kwahio kutokana na shida fulani au mahitaji ya jambo fulani watu wa sehemu fulani walijikuta wanatumia sana akili ili kuweza kuishi kuliko watu wa sehemu nyingine (waliobarikiwa na mazingira mazuri)

Naweza kusema sehemu kama Egypt (hawa sio wazungu) waligundua vitu vingi sana.., pia kutokana na mazingira na watu fulani (scholars) kutoka sehemu fulani unakuta walipelekea sehemu fulani fulani kuwa na seekers of knowledge.., pia sababu ya empires kubwa kubwa kuwa sehemu fulani na muingiliano na utafutaji wa wealth ulipelekea empires fulani kuwa na nguvu kuliko nyingine kitu ambacho kimepelekea mpaka leo baadhi ya hizo sehemu kuwa na nguvu mfano British Empire, Roman Empire au sehemu nyingine kama Belgium isingejengeka kama isingekuwa unyonyaji wa Congo..

Nachotaka kusema ni kwamba Akili haifuatani na Ngozi
bali mazingira hujenga na culture ya watu ikishazoeleka ni vigumu kuondoka.., kwahio mtoto wako akilelewa na wanyama usishangae kama atakuwa na tabia za kinyama.., vilevile kwa haya matatizo yetu ya sasa usishangae ukakuta mtoto kutoka Africa akawa na upeo wa fikra kuliko mtoto aliye sehemu ambapo kuna kila kitu wala hakuna matatizo

Ni kama Mtu anayesema Waislamu SIYO Magaidi lkn Magaidi wote wametokea kuwa Waislamu! Hivyo ni sawa kwamba Akili haifuatani na ngozi lkn Maendeleo ya Mtu ni alama pekee ya uwezo wake wa kiakili, yaani uwezo wake wa kutatua matatizo, ndio unaotofautisha binadamu mmoja na mwingine, hivyo kwa kuwa sisi tumetokea kuwa masikini kuliko Binadamu yoyote yule Dunia Hii kwa kigezo chochote kile cha kupima Maendeleo ina maana uwezo wetu wa kutatua Matatizo ni Mdogo!

Unasema Ubelgiji isingejengeka kama isingekuwa Kongo kwanini isiwe kinyume chake? Wabelgiji waliwezaje kutoka Ulaya kuja Kumnyonya Mkongo?
Kama Mkongo alikuwa na Uwezo wa kutatua Matatizo huo unyonyaji usingemkuta ama angehakikisha kwamba wote wawili wanafaidika yaani mbelgiji na Mkongo Pia!

Mifano iko mingi, Ujapani walitawala Taiwani, Korea na Uchina pia waliiba Rasilimali nyingi lkn mwisho wa siku waligawana na wote wameendelea!

Waingereza walitawala Hong kong Pia kama vile walivyotawala Kenya au sijui Malawi sasa kwa nini Hong Kong ni Matajiri Malawi Masikini? Walitwala Singapore pia hata Malyasia na waliiba pia kama kwetu lkn ni kwanini waliweza kugawana hizo Rasilimali na kwetu walichukua zote?
 
huu ndio utumwa wa kiakili, na itaendelea kugharimu NYIE MIAFRIKA kwa muda wa miaka 1000 ijayo hadi mtakapo jitambua naonea huruma vibaraka wa wazungu, SHAME ON YOU. HAWA NDIO WAZEE CCM NAMBARI WANI
ukweli sisi hatutaki mabadiliko ustarabu mpaka tulazimishane tushikiane bakora ndiyo tukubali, hata hao viongozi wetu wanaenda nje lakini wanashondwa angalau kuiga ustarabu wa wenzetu kuleta huku....
 
huu ndio utumwa wa kiakili, na itaendelea kugharimu NYIE MIAFRIKA kwa muda wa miaka 1000 ijayo hadi mtakapo jitambua naonea huruma vibaraka wa wazungu, SHAME ON YOU. HAWA NDIO WAZEE CCM NAMBARI WANI
siyo utumwa wa akili chief, akili yetu ndiyo inapoishiaaa utekelezaji wa mambo tatizo......kila mara kuomba msaada kwa wazungu wakati rasilimali zote tunazo
 
ni jukumu la nani kuchimba hicho kusima ni yule anayenda kuchota maji km 6 au ? tatizo ni huyo anayekabidhiwa jukumu hilo kusimamia zoezi hilo badala ya kutekeleza ah wanafanya mambo mengine....

Mwenye jukumu tuliomchagua ambaye anamamlaka ya kukusanya kodi na kupangia matumizi.Wawatuwakilishao huwakilisha waliomchagua, akiwa mwizi ujue jamii iloyomchagua ni wezi lakini yeye afadhali akiwa fisadi ujie jamii hiyo ni ya kifisadi na yeye ndo afadhali.
 
Ni kama Mtu anayesema Waislamu SIYO Magaidi lkn Magaidi wote wametokea kuwa Waislamu! Hivyo ni sawa kwamba Akili haifuatani na ngozi lkn Maendeleo ya Mtu ni alama pekee ya uwezo wake wa kiakili, yaani uwezo wake wa kutatua matatizo, ndio unaotofautisha binadamu mmoja na mwingine, hivyo kwa kuwa sisi tumetokea kuwa masikini kuliko Binadamu yoyote yule Dunia Hii kwa kigezo chochote kile cha kupima Maendeleo ina maana uwezo wetu wa kutatua Matatizo ni Mdogo!

Unasema Ubelgiji isingejengeka kama isingekuwa Kongo kwanini isiwe kinyume chake? Wabelgiji waliwezaje kutoka Ulaya kuja Kumnyonya Mkongo?
Kama Mkongo alikuwa na Uwezo wa kutatua Matatizo huo unyonyaji usingemkuta ama angehakikisha kwamba wote wawili wanafaidika yaani mbelgiji na Mkongo Pia!

Mifano iko mingi, Ujapani walitawala Taiwani, Korea na Uchina pia waliiba Rasilimali nyingi lkn mwisho wa siku waligawana na wote wameendelea!

Waingereza walitawala Hong kong Pia kama vile walivyotawala Kenya au sijui Malawi sasa kwa nini Hong Kong ni Matajiri Malawi Masikini? Walitwala Singapore pia hata Malyasia na waliiba pia kama kwetu lkn ni kwanini waliweza kugawana hizo Rasilimali na kwetu walichukua zote?

na mimi naongeza moja hapo, ilipozama mv bukoba serikali iliomba msaada africa kusini ma divers waje wapasue boti ndani ya maji na kusaidia katika uokoaji? wakati navy wetu wapo
 
Back
Top Bottom