Mwafrika bila mzungu si chochote

Mwafrika bila mzungu si chochote

Ni kweli mkuu!
Pia siamini kuwa Mwafrika ana akili ndogo.
Kuna member mmoja kaandika hapa kuwa nchi nyingi za Asia ktk miaka ya 1960, zilikuwa ktk viwango vya uchumi sawa na baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Najiuliza, hivi akili za Waafrika zilianza kupungua kuanzia 60's kwenda mbele?
Tatizo letu kubwa ni: UZEMBE, KUTOWAJIBIKA, UVIVU, ELIMU DUNI & UBINAFSI.
Siamini sana kama Mungu aliwapa akili ndogo Waafrika!

Huu UZEMBE, KUTOWAJIBIKA, UVIVU, ELIMU DUNI & UBINAFSI ni matokeo ya kuwaruhusu watu wasio na upeo wa kufikiri kutuamulia mambo ya msingi.
Baadhi ya viongozi wetu ni wanyonyaji wapumbavu tu wanofikiri kuwa wamechukua nafasi ya wakoloni dhidi ya waafrika wenzao na kwa bahati mbaya walipata na wanaendelea kupata nafasi zao kwa sababu za kihistoria (kurithi), kupindua na taratibu nyingine za hovyo za kuchaguana na kuteuana!
 
ukitaka kujua kuwa kazi bado ni kubwa angalia maclassmate wako kuanzia primary secondary ,chuo nk utagundua kuwa mbali ya kufaulu masomo kuna kitu kinamiss sasa hao ndio wanakuja kuwa viongozi watarajiwa so hiyo cycle haitaisha kirahisi
 
This is a speech made by Israel Prime Minister Benjamin Netanyahu to his cabinet about two days ago. It was reprinted by Affan Sosibo for the African National Congress Youth League on the 8th July 2014. I quote:

"We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks and Arabs that we are superior people. We have demonstrated that to the blacks and Arabs in 1001 ways.

The State of Israel that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expenses of intelligence, sweat and blood... We do not pretend like other whites that we like the blacks.

The fact that, blacks and Arabs look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike. If God had wanted us to be equal to the blacks and Arabs, he would have created us all of a uniform color and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled.

Intellectually, we are superior to the Blacks and Arabs; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that a Jew is honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being….

By now, every one of us has seen it practically that the Blacks and Arabs cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn’t it plausible?

Therefore that the White man is created to rule the Black man... And here is a creature (Black man) that lacks foresight….. The average Black does not plan his life beyond a year”.Toa maoni
 
This is a speech made by Israel Prime Minister Benjamin Netanyahu to his cabinet about two days ago. It was reprinted by Affan Sosibo for the African National Congress Youth League on the 8th July 2014. I quote:

"We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks and Arabs that we are superior people. We have demonstrated that to the blacks and Arabs in 1001 ways.

The State of Israel that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expenses of intelligence, sweat and blood... We do not pretend like other whites that we like the blacks.

The fact that, blacks and Arabs look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike. If God had wanted us to be equal to the blacks and Arabs, he would have created us all of a uniform color and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled.

Intellectually, we are superior to the Blacks and Arabs; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that a Jew is honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being….

By now, every one of us has seen it practically that the Blacks and Arabs cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible?

Therefore that the White man is created to rule the Black man... And here is a creature (Black man) that lacks foresight….. The average Black does not plan his life beyond a year".Toa maoni
ndio maana akaitwa netanyahu aka netapaka
 
Hata Raisi alisema huwa aneenda nje kuhemea ili watoto wasife njaa, na kweli unaona misaada tunapwewa kujenga barabara, madarana, maji nk. Hata makao makuu ya EAC na AU tulihemea, hata kuchimba gesi na dhahabu tulihemea. Hata Dr. Slaa na CDM huwa wanaenda nje kuhemea ila chama kipewe pesa kwa shughuli zake binafsi. Nakumbuka kuna wakati Dr.Slaa alienda Marekani kwa ziara ya kikazi na kujifunza, alipita pale NASA nk. The same to CUF, CCM and the like. Kwa lugha nyepesi Wazungu ndio kila kitu.
 
Hata Raisi alisema huwa aneenda nje kuhemea ili watoto wasife njaa, na kweli unaona misaada tunapwewa kujenga barabara, madarana, maji nk. Hata makao makuu ya EAC na EU tulihemea, hata kuchimba gesi na dhahabu tulihemea
na vyandarua tumehemea
 
Katika Biblia Kitabu cha mwanzo 9:22-27, Kuna neno hapa... Linaendana sana na haya hapa, naona laana imetolewa.

Genesis 9:22-27
[SUP]22 [/SUP]And Ham, the father of Canaan, saw the nakedness of his father, and told his two brothers outside. [SUP]23 [/SUP]Then Shem and Japheth took a garment, laid it upon both their shoulders, and walked backward and covered the nakedness of their father; their faces were turned away, and they did not see their father’s nakedness. [SUP]24 [/SUP]When Noah awoke from his wine and knew what his youngest son had done to him, [SUP]25 [/SUP]he said,“Cursed be Canaan;
a slave of slaves shall he be to his brothers.”

[SUP]26 [/SUP]He also said,
“Blessed by the Lord my God be Shem;[SUP][b][/SUP]
and let Canaan be his slave.
[SUP]27 [/SUP]God enlarge Japheth,
and let him dwell in the tents of Shem;
and let Canaan be his slave.”

Kiswahili,
Mwanzo 9:22-27

22 Hamu, baba wa Kanaani, akauona uchi wa baba yake, akawaeleza ndugu zake wawili waliokuwa nje.
23 Shemu na Yafethi wakatwaa vazi, wakalitanda mabegani mwao wote wawili, wakaenda kinyumenyume, wakaufunika uchi wa baba yao; na nyuso zao zilielekea nyuma, wala hawakuuona uchi wa baba yao.
24 Nuhu akalevuka katika ulevi wake, akajua mwana wake mdogo alivyomtendea.
25 Akasema,
26 Akasema,
27 Mungu akamnafisishe Yafethi.
 
Ni kweli mkuu!
Pia siamini kuwa Mwafrika ana akili ndogo.
Kuna member mmoja kaandika hapa kuwa nchi nyingi za Asia ktk miaka ya 1960, zilikuwa ktk viwango vya uchumi sawa na baadhi ya nchi za Afrika ikiwemo Tanzania. Najiuliza, hivi akili za Waafrika zilianza kupungua kuanzia 60's kwenda mbele?
Tatizo letu kubwa ni: UZEMBE, KUTOWAJIBIKA, UVIVU, ELIMU DUNI & UBINAFSI.
Siamini sana kama Mungu aliwapa akili ndogo Waafrika!
ni kweli miaka ya 60 uchumi wetu ulikuwa bora kuliko china na india, wakati huo wazalishaji walikuwa wazungu kwenye sekta karibu zote kasoro bao na tokomile.

Uwezo wa kufikiri haukupungua kuanzia 60s bali ulidhihirika kwakuwa tulipata nafasi ya kuongoza. makada wote walipewa vyeo hata kama uliishia mido skuli au la nne nawe ni kada mzuri ungeweza pewa uwaziri mkuu!

Wachina na waindi walipojikita kwenye maboresho ya elimu si tuliiua kwa mfumo wa UPE na wenzetu walipojikita kuinua kilimo sisi tulikuwa na kauli mbiu KILIMO NI SIASA.
waindi wamefanya vema kwenye kilimo 90s na sasa teknolojia wamejaa huko silicon v., Wachina walipo ni hatari hata mataifa makubwa wanawaona tishio.
 
kweli mkuu mwafrika huyuhuyu alimtimua mzungu eti anataka uhuru kwa madai anaweza kujitawala nusu karne marais lukuki wa afrika waliodai uhuru including nyerere wamefia kwa hao hao wazungu waliowatimua eti wamekwenda kucheki afya,this is a shame
 
Akili haifanyi rangi bali tamaduni za kuiga ndiyo zimetufanya tuwe duni,mtoto wa kiafrika akiwa darasa na wazungu atapeta
 
mbona lemutuz kasoma na wazungu ,ila nasikia mpaka leo eti anaishi kwa wazazi
 
timu ya b afanabafana imechukua kombe la africa mwaka 1996,,miaka miwili baada ya mandela kuwa rais,mandela alitoka gerezani 1990,najaribu kuweka rekodi zako sawa.
 
Akili haifanyi rangi bali tamaduni za kuiga ndiyo zimetufanya tuwe duni,mtoto wa kiafrika akiwa darasa na wazungu atapeta

Ingekua akili za Darasani zinasaidia sana kuwa na maarifa na ugunduzi nadhani tungeanza kuona dalili za kusonga mbele kiteknolojia.
Darasani hawafindishwi kugundua bali namna ya kutumia vile vilivyogunduliwa.Ndio Afrika tuna madaktari wengi waliojifunza namna ya kutibu na kutumia madawa yaliyogunduliwa na wazungu kwa kutumia vitabu vya wazungu lakini hawana jawabu la magonjwa yanayoibuka kwenye bara la Afrika kila kukicha mpaka tena wazungu waje watusaidie japo darasani waafrika ni wazuri kwa kujifunza na kukariri kama ambavyo mbwa anvyofundishwa namna ya kutafuta kitu na mbinu nyingine lakini hana maarifa ya kuuliza kwa nini hivi naisiwe vile.

Waafrika na wazungu ni viumbe vinavyofanana kama MCHWA na SIAFU lakini sio kitu kimoja.

Mwenyezi Mungu kwa bahati mbaya akaamua kuondoa kila kitu kilicholetwa Afrika au kufundishwa na mzungu kwa Waafrika tangu enzi hizo mpaka leo,Ni uhakika bado tungekua tunaishi mapangoni. Hata kiberiti tutakua hatuna .Ukumbuke hata Farasi ,ngamia na punda hatukua tunavitumia kwa ajili ya usafiri.

Hebu angalia kichekesho cha Viongozi na Wasomi wa kiafrika: Wakati mzungu alipokua anahitaji binadamu kwa maana ya watumwa kwa ajili ya kuzalisha mali ili watu wao huko Ulaya waishi maisha mazuri na rahisi ,viongozi wetu wa kiafrika kwa maana ya machifu walikimbilia kuwauza watu wao ili wapate nguo,shanga kwa ajili ya wake zao wengi na bunduki .Hawakusimama kutetea uhai na heshima ya watu wao .

Wasomi wa Kiafrika ambao wengi ni viongozi nao wakaja na kichekesho tena zaidi ;Mzungu aliposema anataka rasilimali kwa ajili ya watu wake kule ulaya na kwingineko ili tu aendelee kuishi maisha mazuri zaidi na rahisi zaidi, viongozi wasomi wa kiafrika walikimbilia kusaini mikataba ya kuwapa rasilimali zote na kutumia bunduki ya mzungu kuwaua waafrika wale wanaojitahidi kupingana nao na kudai rasilimali ni za kwao. Wasomi wakasimama kutetea maslahi na teknolojia ya mzungu na kufurahia ajira ya mzungu.Uhai wa mwafrika ukaonekana si chochote mbele ya teknolojia ya mzungu na maisha yao ya anasa.
Sasa tujiulize swali ,Je,elimu ya darasani anayopata huyu kiumbe anayeitwa mwafrika ni tishio kwa viumbe wenzake anaofanana nao katika ulimwengu huu wa sayansi,teknolojia na maarifa mengi?
 
Pengine ungesema tunategemeana sababu mzungu bila mwafrika hakuja mzungu....
 
This is a speech made by Israel Prime Minister Benjamin Netanyahu to his cabinet about two days ago. It was reprinted by Affan Sosibo for the African National Congress Youth League on the 8th July 2014. I quote:

"We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks and Arabs that we are superior people. We have demonstrated that to the blacks and Arabs in 1001 ways.

The State of Israel that we know of today has not been created by wishful thinking. We have created it at the expenses of intelligence, sweat and blood... We do not pretend like other whites that we like the blacks.

The fact that, blacks and Arabs look like human beings and act like human beings do not necessarily make them sensible human beings. Hedgehogs are not porcupines and lizards are not crocodiles because they look alike. If God had wanted us to be equal to the blacks and Arabs, he would have created us all of a uniform color and intellect. But he created us differently: Whites, Blacks, Yellow, Rulers and the ruled.

Intellectually, we are superior to the Blacks and Arabs; that has been proven beyond any reasonable doubt over the years. I believe that a Jew is honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being….

By now, every one of us has seen it practically that the Blacks and Arabs cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other. They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Black man is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence. Isn't it plausible?

Therefore that the White man is created to rule the Black man... And here is a creature (Black man) that lacks foresight….. The average Black does not plan his life beyond a year".Toa maoni
hii speech aliitoa Botha wa south africa kipindi kile cha apartheid, lakini waarabu wameisambaza ili ijulikane aliiongea netanyau ili israel ichukiwe. wewe ndio akili yako yote haiwezi kufanya kazi bila waarabu kwasababu wao ndio wanaokulisha na kukuaminisha mambo ambayo hata hayapo. hata wakisema uvae mabom ukapate mabikira wewe utakubali na kuamini wanachosema. funguka akili walau kidogo.
 
1. Africa ya Kusini kabla ya Mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali ( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina.

2. Wachezaji wa soka toka Africa kama Yaya Toure,Drogba,Etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za Afrika si lolote si chochote.

3. Zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama London mliofika Harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote

4. Tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi

5. Reli zote za Tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na Oysterbay ni kazi ya wazungu.

6. Chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu.

7. Wasomi wazuri wa Africa wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu.

8. Karne ya kumi na tano Africa na Ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi

Hitimisho

Kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote.
ulishafika ulaya? unajua namna ndoa nyingi za wazungu zinavyovunjika kwasababu ya wanaume weusi? wanawake wa kizungu wanaamini bila black man hakuna hujaona utamu wa mapenzi. sisi wengine tulikuwa tunagombaniwa kama almasi kipindi tunabeba box hata kama hatukuwa na kitu. black man anaminika kuwa na nguvu nyingi hata za kufanya kazi. na tukija kwenye uelewa kichwani, my friend, kuna wazungu wengi sana bure kabisa sema tu wanawakilishwa na wazungu wenzao waliofanikiwa. na zaidi ya yote ili mtu awe na akili hata ya kuvumbua vitu its just a matter ya kumwandaa mtoto tangia mdogo kielimu etc, waafrica tunaandaliwa vibaya sana kielimu na tunasoma kimagumashi tofauti na wazungu lakini kama battle ground ingekuwa sawa kwa wazungu na waafrica nakwambia waafrica tungekuwa mbali sana kuliko wazungu. cha kuelewa pia ni kwamba wazungu waliendelea kabla yetu hivyo kukimbia nao kwenye level sawa si sahihi.
 
Sisi tunajiangusha wenyewe. sasa kama Philipo Mulugo ni waziri wa ELIMU anaediriki kusema suplimentary ni somo kama jiografia unategemea miujiza gani ? hata hao wasomi kama Anna Tibaijuka waliotaka kuanzisha miji Kibamba Dar. mara Kigamboni na leo eti Lindi au huyu Mulongo ambae chini yake Tanesco inakata umeme na kupandisha bei au hili boya la maji ambapo hata jumbani yake hakuna maji ya bomba tutegemee maajabu gani ?
 
bora alivyosema supplimentary ni soma aliwahi kwenda south africa akiwakilisha nchi akasema tanzania ni unification ya visiwa vya zimbabwe
 
ulishafika ulaya? unajua namna ndoa nyingi za wazungu zinavyovunjika kwasababu ya wanaume weusi? wanawake wa kizungu wanaamini bila black man hakuna hujaona utamu wa mapenzi. sisi wengine tulikuwa tunagombaniwa kama almasi kipindi tunabeba box hata kama hatukuwa na kitu. black man anaminika kuwa na nguvu nyingi hata za kufanya kazi. na tukija kwenye uelewa kichwani, my friend, kuna wazungu wengi sana bure kabisa sema tu wanawakilishwa na wazungu wenzao waliofanikiwa. na zaidi ya yote ili mtu awe na akili hata ya kuvumbua vitu its just a matter ya kumwandaa mtoto tangia mdogo kielimu etc, waafrica tunaandaliwa vibaya sana kielimu na tunasoma kimagumashi tofauti na wazungu lakini kama battle ground ingekuwa sawa kwa wazungu na waafrica nakwambia waafrica tungekuwa mbali sana kuliko wazungu. cha kuelewa pia ni kwamba wazungu waliendelea kabla yetu hivyo kukimbia nao kwenye level sawa si sahihi.

Mwongo mkubwa wee, wanawake wa kizungu wanaopenda weusi ni wale wa ''grade'' ya chini kabisa kabisa wanaokataliwa na wazungu. Kuna wanawake wazuri wa kizungu wachache sana wanaopenda weusi.
 
Back
Top Bottom