mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,071
- 132,535
its true wafrica tuna matatizo kupita maelezo......kuanzia viongozi wetu, hadi sisi raia...kuna usemi wa wale wabaguzi klu klaz clan kuwa hata mwafrica umfanyie nini ataishia kuharibu, tunaona watu wana haribu miundo mbinu watu wana ngoa vyuma vya madaraja watu wana iba mafuta ya transfoma....upande wa marais wetu ndiyo kabisa hawana uchungu wa nchi kusafiri kote nje na viongozi wetu tunashindwa kuweka miundo mbinu iwe katika hali nzuri ni aibu sana.....mleta mada hujakosea na ulichokisema