Mwafrika bila mzungu si chochote

Mwafrika bila mzungu si chochote

Hata huku ndan tupo kwa hisan ya wazungu na msaada wa wachina na hiii ndo inatutafuna na kutumaliza (social media) ya n kujadili tuu mpaka asubuh nothing more...unakuta kitu kimetangazwa kweny tv ,tunakisoma magazetin ,tunakihamishia facebook tunakijadili tena ,then tunashare whatsapp,instagram then tunakitengenezea uzi wake jamii forum n kujadili tuuu na saiv ambao wpo hot seat n diamond ,maguful na majaliwa ni ku like na kushare tuuuu....ila tunawashukur Wametuletea usafir ,elimu ,madawa ya kutbu na kulevya,makampun ,magonjwa kama ukimwi,ebola,n.k
Ila sahiv naona mchina kaishika Africa
 
They say the truth is hard to swallow naelewa watu wanavokasirika baada ya kujua ukweli.
But imthe truth is also hard to say. Am sure mleta uzi hajakurupuka.
 
Tatizo la utumwa wa akili ni kwamba "waliokuwa watumwa,Ni watumwa, na Wataendelea kuwa watumwa"

Kibaya zaidi watumwa wanafikiri utumwa ni kwenda na wakati.
 
1. Africa ya Kusini kabla ya Mandela kuwa huru ilikuwa na uchumi unaotisha na timu kali ( bafanabafana ),baada ya waafika kushika dola uchumi hauridhishi na timu imebaki jina.

2. Wachezaji wa soka toka Africa kama Yaya Toure,Drogba,Etoo nk utawajua ni wachezaji wakiwa ulaya wakija kuchezea timu zao za Afrika si lolote si chochote.

3. Zimbabwe kabla ya uhuru ilikuwa kama London mliofika Harare mtaona mitaa yake ilivyo sasa si lolote si chochote

4. Tanzania kiwanda cha bia na sigara vilitaka kufa baada ya wazungu kuvichukua vinaongoza kwa kulipa kodi

5. Reli zote za Tanzania ,(tazara mchina)majengo mazuri ya serikali kando ya bahari ya hindi including ikulu na Oysterbay ni kazi ya wazungu.

6. Chaguzi zote za kidemokrasia huwa zinapata bajeti toka kwa wazungu.

7. Wasomi wazuri wa Africa wengi wao waliwahi kwenda nje ya nchi kujiendeleza kielimu.

8. Karne ya kumi na tano Africa na Ulaya vilikuwa sana kiuchumi na kitechnolojia leo ni mbingu na ardhi

Hitimisho

Kwa vile katiba zetu zinaandaliwa na waafika wenyewe si lolote si chochote.
Ukoo wako inaonekana uli athirika sana na biashara ya utumwa,maana bado una mawazo ya kitumwa tumwa.
 
imenichoma hasa nkikumbuka kuwa nafanya kazi kwa mzungu, dah, ila nipo nchini kwangu.
 
Back
Top Bottom