KipimaPembe
JF-Expert Member
- Aug 5, 2007
- 1,285
- 696
Tunajificha kwenye VALUE FOR MONEY ili ku conceal our real intentions na kwenye hili tusidanganyane. Value for money haipo kwa sababu tunadeal na kampuni ambayo hatuielewi vizuri, na kwenye biashara huwa kuna kitu kinaitwa goodwill.
Ikiwa tulishakubali kuwa mkataba na Richmond ulikuwa illegal, na transfer ya asset kutona Richmond kwenda Dowans ilikuwa illegal, kwa nini tusitie shaka kile tunachoelezwa na Dowans hata kama Dowans ni kampuni halali?
Tunatumia Nguvu aliyotumia Mramba kutetea ununuzi wa Ndege ya rais. Hapa tuna kila sababu ya kutojiingiza kwenye Mradi huu. Sababu ni kuwa Asset yenyewe tunayonunua imezungukwa na wingu la Kutoaminika kutokana na hizo deals mbili zote kuwa illegal.
Sasa tukiununua huo mtambo ukagundulika baadaye kuwa na matatizo huyu Dowans ambaye tayari ameshajihusisha na mkataba illegal wa kununua mali kinyume na taratibu kutoka kwa Kampuni isiyokuwepo, tutamlaumu nani?
This is a shit na Zitto you are in it! Huwezi kujitoa kwenye uozo huu kwa kutumia kigezo cha value for money. HAKUNA VALUE FOR MONEY UNAPODEAL NA MTU AMBAYE HAAMINIKI. DOWANS HAAMINIKI KWA SABABU AMESHIRIKI ILLEGAL DEAL NA RICHMOND. HIVI HAKUNA WATAALAM WA MIKATABA HAP??? WE ARE ALL LOST!!!