Mlachake
JF-Expert Member
- Oct 13, 2009
- 4,458
- 4,673
Siku hizi hawa Jamaa wanapatia sana. sio wa kupuuzwa kabisa. Big up sana mamlaka ya hali ya hewa mumepiga hatua sana, Enzi hizo walikua wanatupa utabiri lakini hakuna kitu.
Mkuu uko mbagala gn?!Mbagara chief
Charambe mkuuMkuu uko mbagala gn?!
Kumbe mbagala tupo wengi, Mimi nipo Chamazi!Charambe mkuu
Ok karibu bapa scopionKumbe mbagala tupo wengi, Mimi nipo Chamazi!
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87] mbona na mm Niko hapo hapo mkuu?!!Charambe mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4]Hali ya hewa ya leo ni ile njoo basiii, chukua tax nitalipa.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wanajf Wa mbagala tuunganeKumbe mbagala tupo wengi, Mimi nipo Chamazi!
Chamazi ya wapi?! Kwa mkongo,au magengeni au ?Kumbe mbagala tupo wengi, Mimi nipo Chamazi!
Waoooo nakuja ingawa hujaniitia mieOk karibu bapa scopion
haya maeneo mbagara na viunga vyake vyote na gongo la mboto banana mpaka kitunda kuna wakazi wengi sana ipo haja ya kujengwa reli kwa wakazi wa mbagara kupunguza adha ya usafiri....Chamazi ya wapi?! Kwa mkongo,au magengeni au ?
Ok karibuWaoooo nakuja ingawa hujaniitia mie
mpaka kwa wahaya umepita captain[emoji1]Hii mvua inanyesha Jiji zima na vitongoji vyake kuanzia chanika, gongo la mboto, Buguruni, ubungo, tabata, k/koo, mbagala, kigamboni, tegeta ,goba , mpiji, mbweni, mbande , kisewe. , kitonga, mvuti, chamazi, kimboka, msasani, wailes, oysterbay , masaki, tuangoma, pugu kajiungeni, pugu dampo, karakata, Buza, kwa rulenge, kwa bibi nyau, manzese , tandale popobawa, kwa mfuga mbwa, Maputo, kidogo fresh,mwenge , narung'onmbe, kibada, masaki, kwa wahaya, external, mwananchi, mabibo, kisukuru, kote huko nimepita kuna booonge la mvua.
mpaka kwa wahaya umepita captain[emoji1]
Mbagara-MbagalaMbagara chief
Wapo wengi Hasa pande za kisewe, mbiku, chamazi, kwa bwege, kitonga ,mpaka mvuti mwisho (pale tii Sheria bila shurti) kote huko ni full kina halima kimwana tu.Kumbe Chamazi kuna warembo...!