kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Huku majohe viwege ni balaa hakuna pa kupita
Msalimie rafiki yangu mmoja hapo jirani ya secondary ya viwege.
Huku majohe viwege ni balaa hakuna pa kupita
Bagamoyo....daa hii ni balaa aisee, na TMA ndo wanazidisha utata.
Yaani, Ukifika Dodoma wilaya Chamwino ndipo utakubali Tanzania ni kubwa sana!Hii mvua sasa too much! Ikanyeshe vijijini huko watu walime.....Huku mjini riziki ziko miguuni
Mahindi na alizeti yamekauka kwa kukosa maji! Ni uwele kidogo ndiyo watu watavuna.Kuna nini huko mkuu?
Yaani hapa ndipo ninapomkumbuka Comred Ghadafi (R.I.P); aliamisha maji kutoka mitoni na bahari na kuyapeleka jangwani kwa idadi kubwa ya kilometa za umbali na watu wakaanza kulima kilimo cha maana. Wakajitosheleleza...! Yaani we acha.Duh sasa huku mvua inatuletea madimbwi tu hamna wakulima.
Hata Ally Mufuruki aliandika wakati Fulani kuhusu mafuriko na bomoa bomoa. Lilikuwa andiko zuri sana kuhusu chanzo cha mafuriko. Najaribu kulitafuta nitalibandika hapaMkuu mimi nimezaliwa chini ya km kutoka jangwani. Wakati huo kulikuwa viwanja vya mpira hapo, vingi sana. Hata Simba walikuwa wanafanya mazoezi mara moja moja tena hapo ilipo Udart na maji yalikuwa hayafuriki viwanjani hata mvua inyeshe vipi.
Kabla ya udart kulikuwa na yard ya Kajima (japanese construction company) wamekaa miaka mingi sana. Sababu ya hayo mafuriko ni mto kujaa uchafu na kina kupungua. Upande wa muhimbili hapo palikuwa plain na mchanga mweupe kama wa bahari ndio maji yakizidi mtoni yanakaa hapo sasa hivi kuna takataka na magugu kibao.
NEMC inabidi wafanye kazi sana.
Acha tu wafaidi. Kwani wewe ni marioooo. Mpaka usubiriwe uitwe??Wakubwa mnafaidi....
Hata mbagala inapiga balaajamani hii mvua sasa balaa hapa nimejibaza mahali hatali sana kitunda
Njooo mana ni highly boring kwa kweli, inabd ujitengenezee ratiba ya vitu vya kuaccomplish at the end of the day to stay motivatedNaomba nije tufanye wote kazi. Working from home alone is kinda boring....